Uchaguzi 2020 Kwanini Paul Makonda ametoswa na Patrobas Katambi amepata uteuzi?

Uchaguzi 2020 Kwanini Paul Makonda ametoswa na Patrobas Katambi amepata uteuzi?

Wewe zuia tu komenti zangu ya mwisho mwisho nikusaidie tu kidogo Jiwe anaenda kuifunga jamii forum muda si mrefu pamoja na unavyojitahidi kumbeba Hana shukrani ,we mbebe tu anafunga mark my words.
 
MAKONDA AIJIBU HIVI MAREKANI BAAD YA KUMFUNGIA KWENDA HUKO



Mabeberu hatari sana wakishakuweka katika buku lile buku jeusi basi hata waliokuwa wanakubeba watakutosa, na wapo tayari kuafikiana na serikali inayohusika kuwakubalia wamshughulikie vipi bila kuitia serikali husika aibu mradi wapewe uhakikisho kuwa aliyetuhumiwa kwa ushahidi aondolewe madarakani asije kuleta madhara zaidi kwa jamii.
Makonda genius hadi mabeberu aliwa zingua
 
Ndugulile kashinda kihalali. Hakutoa Rushwa. Makonda alitoa Rushwa.
Shy town number moja mpaka tano wote walitoa Rushwa. Katambi hakutoa Rushwa.
Moja mpaka 5 wakati wagombea walikuwepo wa 4
 
Ana nafasi bado ya kupanga na kisha kuwatumia watu wasiojulikana kuwateka na kuwapoteza wale wote wanaomnyima babake usingizi. Pia ana nafasi ya kuwavamia wazee wastaafu na kuwatandika vibao. Pia bado kuna nafasi ya kumpata mtu jasiri wakuvamia vituo vya habari pamoja na kuzing'oa cctv camera kwenye maeneo ya uvamizi na yale maeneo yenye kutekelezwa uharamia na ukatili dhidi ya wapenda haki.
 
Wewe zuia tu komenti zangu ya mwisho mwisho nikusaidie tu kidogo Jiwe anaenda kuifunga jamii forum muda si mrefu pamoja na unavyojitahidi kumbeba Hana shukrani ,we mbebe tu anafunga mark my words.
Kwani hakuna opposition party?
Acheni mawazo ya kijima
 
Psycholoical warfares against voters, but finally atakuwa waziri kupitia uteuzi wa baba J.
fedha ya mfukoni kwa mtu usiipigie mahesabu aisee..atachaguliwa mpaka iwe sasa kwasasa hivi ni raia kama sie wengne tu
 
Heheh maji yanazidi kukorogeka tu.. kwa ndani tayari imeisha hiyo...kwa nje ndio imebaki picha tu kivuli.
Hujui mazingaombwe na sarakasi za ccm ww.

Waliojiapiza kua walioacha nafasi za uteuzi Kamwe hawatapitishwa ziko wapi mkuu.

Huyajui maccm ww🤔🤔
 
Usije shangaa kateuliwa kuwa mkurugenzi wa taasisi kubwa au katibu wa wizara
Katibu mkuu wa wizara fulani ? Hapana, ile ni nafasi ya technical personnel haihitaji kabisa siasa wala mwanasiasa. Utaangusha nchi ukiweka siasa pale
 
Back
Top Bottom