minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Hana vyeti lakini mtukufu atampa ubunge wa bure na kumzawadia uwaziri piaBashite kilichompoza nivyeti vyake vya uvuvi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana vyeti lakini mtukufu atampa ubunge wa bure na kumzawadia uwaziri piaBashite kilichompoza nivyeti vyake vya uvuvi
JF hawezi kuifunga ipo kama Whatsapp wamiliki wapo USA na endapo ataifanyia figisu figisu tutaitumia JF ya kenya ambayo hawana tabuWewe zuia tu komenti zangu ya mwisho mwisho nikusaidie tu kidogo Jiwe anaenda kuifunga jamii forum muda si mrefu pamoja na unavyojitahidi kumbeba Hana shukrani ,we mbebe tu anafunga mark my words.
Wewe zuia tu komenti zangu ya mwisho mwisho nikusaidie tu kidogo Jiwe anaenda kuifunga jamii forum muda si mrefu pamoja na unavyojitahidi kumbeba Hana shukrani ,we mbebe tu anafunga mark my words.
Nakuunga mkono mkuu.Hapana aisee kwa haya ni wazi kuwa Paul Makonda kaonewa sana. Nimejikuta nikipata huruma juu yake maana si kwa faulo hii iliyochezwa.
Yani mfano kwa Shinyanga mjini mtu kakataliwa na wajumbe 456 kapata kura 12 tu eti ndiye amepitishwa? Hapana!
Pia nimegundua kumbe ile hama hama ilikuwa ni makubaliano endelevu.
Makonda umeonewa na nasimama na wewe leo.
Kwa hali ilivyo wasingelazimisha Makonda pale Kigamboni, lakini wanaweza kumpa ubunge wa kuteuliwa kama watashinda!
Maana alishashawavkmbia wote hadi PM kasoro samia tu...anakwenda kwenye cabinet kabisa.
..ila itakuwa shughuli pevu kwelikweli humo ndani ya baraza la mawaziri.
Nakuunga mkono mkuu.
Makonda ni kijana Jasiri sana halafu hana siasa za kutunga kama Katambi.
Katambi hata yeye nakuahakikishia ni muda tuu atapotea kabisa kwenye siasa.
Chadema ilitumia jasho na damu kumuandaa yule kijana Katambi na hata kumpa nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa Bavicha. Huenda Ukabila ndio umempeleka alikoennda kuunga mkono juhudi za nyumbani lakini isiwe sababu ya kukata mkono uliomlea kwa kiwango anachofanya.
Huenda alikimbia Ukabila wa yule Mlevi Mbowe aliyemlea kilevi levi lakini akajikuta Ameunda Ukabila tena japo ni wenye Maslahi ni kila aina ya fursa.
Ni hizi nchi zetu tu zilizojaa watu wengi wenye elimu duni na wasio na Elimu kabisa na wengine ni umaskini unasababisha washindwe kujua kuwa wanasiasa wanapaswa kuwatumikia wananchi bila kubagua ila kiukweli Katambi hastahili kupeperusha Bendera ya CCM kwa kuacha nafasi ya uteuzi na kukimbilia Ubunge na sasa wanalazimisha kumbeba wakati wananchi wamemkataa kupitia wajumbe waliowatuma.
Ndio maana CCM inakataa wagombea ninafsi ili iendelee kuwatawala watanzania Kimabavu kuliko Makaburu na wakoloni. Yani hata kodi zetu zinagawanywa kwa kupiga magoti eti Fulani ameleta maendeleo badala ya serikali kupitia mipango iliyoidhinishwa na Bunge kwa kodi za wananchi.
Tumeona wasomi zaidi ya 43,000 wakikimbilia kwenye siasa. Wote wana uhakika sasa kupata fursa za uteuzi kupitia MTU mmoja tuu. Tena teuzi zenye nafasi ya kula kodi ya umma kwa mishahara na marupurupu manono.
Huu ni mwanzo tu kivumbi ni 2025 endapo 28/10/2020 tutaamua kuizika Demokrasia ndani ya nchi hii. Tutalia kilio na hatutapata wa kutufuta machozi.
Wewe ndo mbumbumbu mkuu,kwa hiyo CCM ndiyo Takukukuru??Hivi kwa nini watanzania ni mbumbumbu kama wewe?Ulishaambiwa watoa rushwa watakiona cha moto,sasa ulitaka Masele na rushwa yote abaki kisa wajumbe wamempigia kura?
Au kwa akili yako ya kiutopolo ulitaka Dr Ndungulile atoswe tu kwa ajili ya kumfurahisha Makonda pamoja na uadilifu na kupata kura halali bila rushwa?
johnthebaptist
Makonda bado ni mtumishi kwenye idara ya nchi hivyo anaendelea na kazi yake nje ya siasa za moja kwa moja.Makonda safari yake ya kisiasa au utumishi wa umma imefika tamati.
Nchi haiwezi kuwekewa vikwazo na mabeberu kwa sababu ya Makonda, huyu Makonda yupo ktk tanuru la wazi la moto ametumika sasa hana thamani tena.
Na mbaya zaidi wakubwa wanamuona Makonda ni kama 'mgonjwa wa ukoma' hastaili kuingia mjini, ndani ya ngome, kasri zao au zizini.
Itabidi arudi Gamboshi aendelee na maisha mengine.
Huyo Katambi unayemuongelea alikuwa Chadema kimkakati. Kazi yake kaitenda vyema ingawa lengo kuu halikufanikiwa mpaka kurudi CCM. Ndani ya upinzani kuna mapandikizi toka kwenye system, na kwa kasi ya siasa nchini wengine wameshaanza kujulikanaSiasa bhana hazitabiriki kabisa.
Bado sijavijua vigezo vya kumtosa kijana aliyeipigania CCM kwa jasho na damu Paul Makonda na kumpitisha Patrobas Katambi ambaye mchango wake mkubwa uko CHADEMA.
Namsubiri mNEC mzee Mgaya aje anipe ufafanuzi.
Maendeleo hayana vyama!
Wapo wawili mzee Agustino manyanda masele na Steven masele wote wamekatwaNamaanisha kuwa Masele mbunge wa Shy Town ndo huyohuyo alikuwa mbunge wa Pan!!!
Huyo Katambi unayemuongelea alikuwa Chadema kimkakati. Kazi yake kaitenda vyema ingawa lengo kuu halikufanikiwa mpaka kurudi CCM. Ndani ya upinzani kuna mapandikizi toka kwenye system, na kwa kasi ya siasa nchini wengine wameshaanza kujulikana
Afisa kipenyoPatrobas ni usalama was Taifa
Kama Gwaja kateuliwa na Bashite kaachwa sijui watu bado hawajaelewa kauli ya mzee...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani maana ya "itategemea nitamkaje" ni nini?