MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,296
johnthebaptist,
Katika hili nimeamini kuwa Jiwe ni mtu anayeheshimu sana mikataba. Haya yalikuwa baadhi ya makubaliano makuu ya 'kuunga mkono juhudi' na ameonesha kuyaheshimu liwake, inyeshe!!
Pili, hao 'waunga mkono juhudi' si wafuasi wa CCM per se (na ndio maana wajumbe waliwatosa, kihalali kabisa), bali ni waumini kindakindaki wa magufulism. Kumbuka Jiwe anapenda sana ufalme (akikooa mnapiga makofi, akiwatukana mnapiga makofi) na anatengeneza waumini ambao ndio watakuwa nguzo ya kumtawazisha ufalme.