johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Usije shangaa kateuliwa kuwa mkurugenzi wa taasisi kubwa au katibu wa wizara
atakuwa katibu wa makatibu maana alikuwa mkuu wa wakuu wa mikoa..anakwenda kwenye cabinet kabisa.
..ila itakuwa shughuli pevu kwelikweli humo ndani ya baraza la mawaziri.
Kwa kuwateua wale waliokataliwa na wajumbe kuwa wagombea,ccm[JIWE] imeweka credibility yake on the line. Msije mkashangaa kuwa wote wakashindwa kwani wajumbe ndio wapiga debe huko kwenye constituencies!!!! Kushindwa kwao kutaonesha kutokubalika kwa JIWE.
Shinyanga mjiniKatambi kapewa jimbo gani mbona ninetafuta sijaona mkuu
SHINYANGA MJINIKatambi kapewa jimbo gani mbona ninetafuta sijaona mkuu
huyu jamaa kichwa anaonekanaaMtu namna hii utamuachaje kwa akili ya kawaida? Endelea
Huwezi acha mtu kama yeye, yupo vizuri na ni kete kwa CCMhuyu jamaa kichwa anaonekanaa