Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,416
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2297][emoji2297][emoji2321][emoji2321]johnthebaptist,
Sababu PM ana ugonjwa wa kudharau na kusahau kuwa, hata baharini anayevuma ni papa, ila wengine wapo. Kuna samaki wana umeme grid ya Taifa cha mtoto ila size zao kama kisosa cha chai ya mama ntilie
kasemaje?Nakwambia jamaa katuma kitu hatari kwenye mitandao Shinyanga kumechafuka! Kimegoma tu kuwekwa hapa ningeweka watu wajisikilizie!
SahihiDogo yupo vizuri sana maana kupenya hadi kamati kuu CHADEMA kuwa mwenyekiti bavicha uwe umekwiva kweli kweli.
KPMtu namna hii utamuachaje kwa akili ya kawaida? Endelea
Hahahaaaa.........!
Mabeberu walifikisha faili la Makonda, hivyo ikawa hakuna namna ikabidi Mzee baba atengeneze mazingira ya kumuondoa kwa njia iliyofanyika. Win win situation serikali ya CCM imeepukana na mbinyo bila wananchi kujua kuwa ni mbinyo wa mabeberu, wakati mwingine kama alivyosema Palamagamba Kabudi masuala mengine yanafanyika kwa siri kulinda heshima.
Serikali ya awamu sita, sio,kumbuka nayo haitakaa,wapo watakao ingia ambao ni Sabaya&Makonda affiliated,nao wataanza kulipa kisasi,mwisho wa siku litakuwa Taifa la visasi na chili na mgawamyiko na Hata vita.tunafanya haya kwa nia nzuri kuwaajibisha waliofanya uonevu na uvujifu wa sheria,Ila tutaumia baadae.Je aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam muda huu baada ya hukumu ya miaka 30 jela kwa Lengai ole Sabaya, amejitayarisha vipi kisaikolojia? Maana mabeberu wana faili kubwa na huku sauti za watanzania zinazidi kusikika zikipazwa Paul Makonda naye achunguzwe na kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria katika zama hizi za utawala wa awamu ya 6 ya uongozi wa CCM iliyopo madarakani.
Serikali ya awamu sita, sio,kumbuka nayo haitakaa,wapo watakao ingia ambao ni Sabaya&Makonda affiliated,nao wataanza kulipa kisasi,mwisho wa siku litakuwa Taifa la visasi na chili na mgawamyiko na Hata vita.tunafanya haya kwa nia nzuri kuwaajibisha waliofanya uonevu na uvujifu wa sheria,Ila tutaumia baadae.
Dah!Mnasahau kwamba huyo Paul hata elimu yake ni shida. Yeye safari hii atabaki kulea mwanae tu hakuna namna