Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Old is gold, Puza ni jina kubwa sana miaka hiyo, kila kijana au mtoto wa miaka hiyo alitamani kuwa pengine asome Tambaza au Azania, tulitamani hivyo kwa kuwa mbali na undava pia walikua wana Akili nzuri darasani.

Habari mbaya kwa vifo vya watu hawa, akina Puza na baadhi wa wasemi wa miaka hiyo, ila Puza nadhani alikua na Nguvu za kuzaliwa, maana ukiangalia wadogo zake kama marehemu Uli na Aliko wate walikua ni Majibaba na chembe chembe za ubabe hazikuisha, wote wame isha kuwa na matukio kadhaa mtaani ila bahati mabaya maisha yao haya kua marefu , Mungu awa laze pema peponi.
 
Ha ha
 
Mkuu wa shule Mtera
 
-Alexander Ndeki alikuwa Kamishna wa Elimu kipindi hiko.
-Mkuu wa shule alikuwa Mtera kama sijakosea jina.
 
Mkuu nakumbuka mie nasoma Kigoma Secondary miaka hiyo,wakaletwa wanafunzi wa Tambaza,kuna jamaa mmoja anaitwa Zungu alikuwa white hivi,alikuwa bangi mtu lakini kwenye somo la hesabu alikuwa mkali sana.

Unajuatambaza ilikuwa na wakorofi ila walikuwa vichwa sana darasani.
 
Aisee miaka hiyo tulikuwa tunawaogopa tambaza hasa wakati Wa mechi. Kila tunayemuona tuliamini anatumia sigara bwege. Huyo puza ndio balaa kipindi hicho nipo St antony
 
Yeah mkuu,washikaji wengi waliperekwa shule za mbali mno,kwa kipato duni wengi walishindwa kwenda,pia tulikoenda huko duu walimu wengi walikuwa na visasi na sisi walituchukulia sisi viumbe wakorofi mno na hiyo wengi walifukuzwa shule kwa makosa madogo Sana,lakini shule nyingi tulikoperekwa vingi viliboreshwa hususani msos...daaah long time.
 
Ya hata bro wangu alipohamia alipata shida kwa kumuona kama mtukutu Na akapiga 1 kali
 
Mimi nilikuwa mdogo mno ila kaka John Meja alikuwa anasoma huko azania 1999 hawezi kumjua huyo puza..hatinaye miaka ikaenda na mimi nikapangwa azania form 1 ,ila hii thread naifuatilia sana hapa.Nilichogundua mpka sasa ni kuwa azania yangu ilikuwa kibonde cha tambaza..
 
Lazima tulete nyodo. Watu hatujazaliwa nyie mko secondary leo tupo wote JF tunachati. Kuna sehemu mtakuwa mmekosea lazima naelewa nw kwanini wengi humu hamuipendi CCM.
Kwan kua jf ni kua ni kwamba mtu ume lost...kijana kijana nadhan umekosea njia saiz yako ni fb...kwa taarifa yako watu wote makin wapo humu jf..vikojoz kama ww mmekuja humu kwa bahat mbaya!
 
Kwan kua jf ni kua ni kwamba mtu ume lost...kijana kijana nadhan umekosea njia saiz yako ni fb...kwa taarifa yako watu wote makin wapo humu jf..vikojoz kama ww mmekuja humu kwa bahat mbaya!
Bado mtoto huyo social network inakutanisha matajiri,maskini,wehu Na wenye akili ndio sifa Kuu kubadilishana mawazo kutoa habari,kuelimisha,maoni Na pia manung'uniko.Ajue kuna majukwaa mengi tu kwenye jf.hapa hampatoshi.
 
Mimi nachokumbuka kuhusu Tambaza kipindi hicho tunasoma nursery aisee watu wakisema kaeni kimya leo tambaza wanakuja haongei mtu darasa zima ingawa tulikua watoto wadogo wa miaka 4 mpaka 5...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…