Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Mkuu ulikuwa F3 session A au B? Ulikuwa darasa gani? Mimi nilikuwa session B lebo nyekundu, F1 hadi F2 nilikuwa darasa N, nilipoingia F3 nilikuwa R (commerce).

Vv

Mimi nilkuwa sesssion two na red lebo, but nakumbuka madarasa ya commerce yalikuwa mawaili tu U na z, mengine kma R, T, M yalikuw sayansi....nakumbuka tulikuwa streams 6 za red na 6 green ndio kumbukumbu yangu. nikumbesheni wadau...!! zaman tuliokuwa wakali wa hesabu primary ndio tulkuwa Tambaza....madem zetu wa zanaki ya tukiitana "TambaZana" . Ukikutana na mtoto wa zanaki tabasam hilo....!! ndio kipind soda ya sprite ndio imetoka miaka ya 90 na tunakuja shule na mzinga wa konyagi na kujichimbia mitaa ya mazengo kuna viduka fulani tunamix na sprite, na sigara unanunua pakt linaisha lote siku hyo hyo....
Mushi ndio alikuja kuharibu ile shule akitokea forodhani, alikuwa anakugua mpka maua wakati mwenzake Kalumuna akikuta mtaani muda wa masomo, akikushika utamsikia "turudi shulen kijana" kwa sauti ya kihaya.....
Binafsi nilishalala lock-up msimbazi mara tatu....na katika zoez la kura za waarifu wa shule nilipata kura nyngi sana ..hadi mushi aliuliza unagombea ubunge wapi??/
Tilipigwa viboko sana mpka uokozi ulifanywa na mkuu wa majeshi meja kiaro kwa kuwa mwanae ernest tulikuwa nae,,,, mwenyekiti wa bodi mama kijakazi kihelula (marehemu) alikuja kumaliza mambo.

Tambaza ndio chanzo cha maarifa kwangu......sumit juu ndio place ya kula msuba.....!!!
 
Oh, Big up mwana
pray.png
 
Mkuu Kiranga,
kwa kiasi kikubwa mwalimu Mushi ndiye aliyeharibu spirit ya Tambaza, mimi nimekuwa pale chini ya Head Master Kalumuna na baadaye Mwl Julius Mushi (RIP)

Baada ya Kalumuna kuhamishiwa Makongo tukaletewa Mushi. - akitokea Forodhani Secondary, kwa mara ya kwanza tukaanza kushuhudia suspension na kufukuzwa wanafunzi shuleni, na wazazi kuitwa tukaanza kuchapwa parade na wazazi mbele ya shule.
Nakumbuka kipindi cha Kalumuna, mwanafunzi wake alikuwa hakamatwi kijinga na polisi/ vyombo vya usalama , iwapo itatokea mwanafunzi kakinukisha huko mtaani kwa kondakta atafika polisi atahoji huyu mwanafunzi alifanya hilo tukio saa ngapi? Akiambiwa ni say saa 4 atajibu hapana muda huo mwanafunzi wangu alikuwa darasani, na kesi inaishia hapo.
Mushi alikuwa mnoko sana. Kule ofisini kwake kama wanatunza barua kuna barua zangu za kujieleza nilizoandika.

Pamoja na mwenzake yule Hawanga. Tena bora ya Mushi unamjua nyoka tangu mwanzo. Hawanga anajifanya mshkaji wako anachukua data kisaikolojia halafu anakuchoma.

Ilikuwa kama polisi hapo hapo shuleni. Leo nikiangalia mahojiano ya polisi kipindi cha "Law and Order" naona du, michezo hii tulichezewa Tambaza tukiwa wadogo sana.

Duh, nilikuwa najaribu kukumbuka masela nikamkumbuka Eric Cassian. Eric alikuwa na visa sana. Naambiwa alikuwa baharia akatua pot of New Orleans Louisiana USA, akataka kukimbia US asirudi bongo, wakamshika na kumrudisha, akaenda South Africa kuwa Buddhist monk sijamsikia tena mpaka leo.

Watu walikuwa na vituko sana.

Upande mwingine tumetoa washua wametulia kina Rashid Mchatta, Marijani Rajab na Hussein Mwinyi just to mention a few.
 
naona maruwe maruwe tu...ngoja nikianzishe uzi wa watoto waliosoma wakati Kikwete yupo madarakani,maana anaanza urais mi nipo std 1 anamaliza nimaliza kdato cha 4
horse_racing.png
horse_racing.png
horse_racing.png
Hii ni enzi ya Mwinyi 1990 -1994 Tambaza ilivyofungwa. Hapo bado hata Mkapa hajawa rais.

Wengine hamjazaliwa au mko kwenye nepi bado.

Enzi hiyo wanafunzi tunasoma Dr. Asimov na Carl Sagan, Mr. Lulindi anafundisha kuhusu Socrates. Mrs. Cheyo anafundisha style and grace, na watu tuna flow OPP kama "Naughty By Nature" while being naughty by nature.
 
Hii ni enzi ya Mwinyi 1990 -1994 Tambaza ilivyofungwa. Hapo bado hata Mkapa hajawa rais.

Wengine hamjazaliwa au mko kwenye nepi bado.

Enzi hiyo wanafunzi tunasoma Dr. Asimov na Carl Sagan, Mr. Lulindi anafundisha kuhusu Socrates. Mrs. Cheyo anafundisha style and grace, na watubtuna flow OPP kama "Naughty By Nature" while being naughty by nature.
inabidi niwe na heshima humu ndani,maana wengi wamenizidi umri sana............

Enzi zetu tunasoma vitabu vya Watoto wa Mama ntilie,Ngoswe~Penzi kitovu cha uzembe,Takadini,Orodha,Kilio Chetu,This Time Tomorrow,Things Fall Apart n.k

Tukirudi nyumbani,ni kulogin Fesibuku,Instagram n.k

Ikifika jioni,Disko Vumbi au Klabu.

I HATE OUR GENERATION
 
Mushi alikuwa mnoko sana. Kule ofisini kwake kama wanatunza barua kuna barua zangu za kujieleza nilizoandika.

Pamoja na mwenzake yule Hawanga. Tena bora ya Mushi unamjua nyoka tangu mwanzo. Hawanga anajifanya mshkaji wako anachukua data kisaikolojia halafu anakuchoma.

Ilikuwa kama polisi hapo hapo shuleni. Leo nikiangalia mahojiano ya polisi kipindi cha "Law and Order" naona du, michezo hii tulichezewa Tambaza tukiwa wadogo sana.

Duh, nilikuwa najaribu kukumbuka masela nikamkumbuka Eric Cassian. Eric alikuwa na visa sana. Naambiwa alikuwa baharia akatua pot of New Orleans Louisiana USA, akataka kukimbia US asirudi bongo, wakamshika na kumrudisha, akaenda South Africa kuwa Buddhist monk sijamsikia tena mpaka leo.

Watu walikuwa na vituko sana.

Upande mwingine tumetoa washua wametulia kina Rajab Mchatta, Marijani Rajab na Hussein Mwinyi just to mention a few.
Combination ya Kalumuna alikuwa na Second Master anaitwa Mwaipopo, walikuwa teamed vizuri sana, nakukuwa na hizo habari za kuandika maelezo, nakumbuka for the first time (form one) tuko parade/ assembly - Kalumuna anauliza mmewapokea wenzenu vizuri? Jamaa wanajibu badoooo, akaendelea akasema wapokeeni tu ili wazoee, duh ila baada ya kutawanjishwa tu na kuingia class jamaa wakatuanzia kupiga stick, ukibisha wanakuambia mmemsikia headmaster alivyotuambia? Ndio tunawakaribisha sasa.

Namkumbuka Eric Kasian, jamaa mrefu manene fulani hivi, yes story ya ubaharia ni ukweli, kila mtu ana njia yake ya maisha yeye amepitia hio na ndio changamoto zake.

Pamoja na akina Marijani Rajabu kuna mpiga kinanda maarufu Andrew Sekedia yupo na Christian Bella - maarufu kama "papa na mimi" naye ni product ya Tambaza.

Kuna DG wa SIDO aliyetumbuliwa na JPM hivi karibuni somebody Omari naye ni product ya Tambaza, na akina sisi bado tupo tupo humo tunaendeleza.
 
Mushi alikuwa mnoko sana. Kule ofisini kwake kama wanatunza barua kuna barua zangu za kujieleza nilizoandika.

Pamoja na mwenzake yule Hawanga. Tena bora ya Mushi unamjua nyoka tangu mwanzo. Hawanga anajifanya mshkaji wako anachukua data kisaikolojia halafu anakuchoma.

Ilikuwa kama polisi hapo hapo shuleni. Leo nikiangalia mahojiano ya polisi kipindi cha "Law and Order" naona du, michezo hii tulichezewa Tambaza tukiwa wadogo sana.

Duh, nilikuwa najaribu kukumbuka masela nikamkumbuka Eric Cassian. Eric alikuwa na visa sana. Naambiwa alikuwa baharia akatua pot of New Orleans Louisiana USA, akataka kukimbia US asirudi bongo, wakamshika na kumrudisha, akaenda South Africa kuwa Buddhist monk sijamsikia tena mpaka leo.

Watu walikuwa na vituko sana.

Upande mwingine tumetoa washua wametulia kina Rajab Mchatta, Marijani Rajab na Hussein Mwinyi just to mention a few.

Umemsahau na Justin Kalikawe
 
Back
Top Bottom