STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Ooh, kwo sasaivi unagonga advance?mimi pia nilianza nikiwa 7yrs,nikimaliza 2011,2012 nikiingia form one mwaka jana nikimaliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh, kwo sasaivi unagonga advance?mimi pia nilianza nikiwa 7yrs,nikimaliza 2011,2012 nikiingia form one mwaka jana nikimaliza
nitaenda chuo novemba maka huuOoh, kwo sasaivi unagonga advance?
Punguza michezo dogo..hahaa...nitaenda chuo novemba maka huu
Mkuu ulikuwa F3 session A au B? Ulikuwa darasa gani? Mimi nilikuwa session B lebo nyekundu, F1 hadi F2 nilikuwa darasa N, nilipoingia F3 nilikuwa R (commerce).
Vv
Hapo ullikuwa na jamaa yangu Khatibu Mwengera ha haNilipelekwa Malangali Iringa.
ndo nimechaguliwa kwenda muda huoPunguza michezo dogo..hahaa...
Muda wote huo unasubiri nini
Oh, Big up mwanando nimechaguliwa kwenda muda huo
Oh, Big up mwana
Mushi alikuwa mnoko sana. Kule ofisini kwake kama wanatunza barua kuna barua zangu za kujieleza nilizoandika.Mkuu Kiranga,
kwa kiasi kikubwa mwalimu Mushi ndiye aliyeharibu spirit ya Tambaza, mimi nimekuwa pale chini ya Head Master Kalumuna na baadaye Mwl Julius Mushi (RIP)
Baada ya Kalumuna kuhamishiwa Makongo tukaletewa Mushi. - akitokea Forodhani Secondary, kwa mara ya kwanza tukaanza kushuhudia suspension na kufukuzwa wanafunzi shuleni, na wazazi kuitwa tukaanza kuchapwa parade na wazazi mbele ya shule.
Nakumbuka kipindi cha Kalumuna, mwanafunzi wake alikuwa hakamatwi kijinga na polisi/ vyombo vya usalama , iwapo itatokea mwanafunzi kakinukisha huko mtaani kwa kondakta atafika polisi atahoji huyu mwanafunzi alifanya hilo tukio saa ngapi? Akiambiwa ni say saa 4 atajibu hapana muda huo mwanafunzi wangu alikuwa darasani, na kesi inaishia hapo.
Hapana nilipoongelea akili.hata hivyo umri sio kipimo cha akili.....nadhani mimi ndo JF youngest great thinker of all timenapita tu![]()
uliongelea umri,nikaongezea na manjonjo.Hapana nilipoongelea akili.
Ukiona hivyo, hujafikiri.
No,nimemuelewa dogo,ni matumizi ya lugha tu kuonesha ni namna gani scorpion anatisha..Dogo anashindwa kutofautisha mnyama na mdudu
Manjonjo hujayajua mtoto wewe hujapewa hata vya uani bado.uliongelea umri,nikaongezea na manjonjo.
ukiona hivyo we mgumu kuelewa.
![]()
mkuu basi yaisheManjonjo hujayajua mtoto wewe hujapewa hata vya uani bado.
Kutoa toa ulimi kama hivyo mitaa fulani unaweza kufanywa kitu mbaya.
Hii ni enzi ya Mwinyi 1990 -1994 Tambaza ilivyofungwa. Hapo bado hata Mkapa hajawa rais.naona maruwe maruwe tu...ngoja nikianzishe uzi wa watoto waliosoma wakati Kikwete yupo madarakani,maana anaanza urais mi nipo std 1 anamaliza nimaliza kdato cha 4![]()
![]()
![]()
inabidi niwe na heshima humu ndani,maana wengi wamenizidi umri sana............Hii ni enzi ya Mwinyi 1990 -1994 Tambaza ilivyofungwa. Hapo bado hata Mkapa hajawa rais.
Wengine hamjazaliwa au mko kwenye nepi bado.
Enzi hiyo wanafunzi tunasoma Dr. Asimov na Carl Sagan, Mr. Lulindi anafundisha kuhusu Socrates. Mrs. Cheyo anafundisha style and grace, na watubtuna flow OPP kama "Naughty By Nature" while being naughty by nature.
Combination ya Kalumuna alikuwa na Second Master anaitwa Mwaipopo, walikuwa teamed vizuri sana, nakukuwa na hizo habari za kuandika maelezo, nakumbuka for the first time (form one) tuko parade/ assembly - Kalumuna anauliza mmewapokea wenzenu vizuri? Jamaa wanajibu badoooo, akaendelea akasema wapokeeni tu ili wazoee, duh ila baada ya kutawanjishwa tu na kuingia class jamaa wakatuanzia kupiga stick, ukibisha wanakuambia mmemsikia headmaster alivyotuambia? Ndio tunawakaribisha sasa.Mushi alikuwa mnoko sana. Kule ofisini kwake kama wanatunza barua kuna barua zangu za kujieleza nilizoandika.
Pamoja na mwenzake yule Hawanga. Tena bora ya Mushi unamjua nyoka tangu mwanzo. Hawanga anajifanya mshkaji wako anachukua data kisaikolojia halafu anakuchoma.
Ilikuwa kama polisi hapo hapo shuleni. Leo nikiangalia mahojiano ya polisi kipindi cha "Law and Order" naona du, michezo hii tulichezewa Tambaza tukiwa wadogo sana.
Duh, nilikuwa najaribu kukumbuka masela nikamkumbuka Eric Cassian. Eric alikuwa na visa sana. Naambiwa alikuwa baharia akatua pot of New Orleans Louisiana USA, akataka kukimbia US asirudi bongo, wakamshika na kumrudisha, akaenda South Africa kuwa Buddhist monk sijamsikia tena mpaka leo.
Watu walikuwa na vituko sana.
Upande mwingine tumetoa washua wametulia kina Rajab Mchatta, Marijani Rajab na Hussein Mwinyi just to mention a few.
Na Jobungu (R.I.P.) mlikuwa nae? Nae alitokea Tambaza.Mangosongo,funza,obwago,miarji,matutu nk,walitukuta Nsumba.jamaa wskipenda sana misosiii
Mushi alikuwa mnoko sana. Kule ofisini kwake kama wanatunza barua kuna barua zangu za kujieleza nilizoandika.