Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kusahau funza miguuniMagufuli alizaliwa Nkome, kisha wakaahamia Chato. miaka ya themanini mwanzoni wakazi wengi wa Nkome walihamishwa na wengi walienda Morogoro huko Ifakara na wengine Tabora na kadhalika.
Magafuli aliingia mjini miaka ya themanini akisoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Wakati huo wanaomuita mshamba walikuwa hata Dar hawaijui. Wengine walikuwa bado wako Kigoma wakivuna mawese na kwenda primary bila viatu huku miguu imejawa na vumbi.
Unaonesha wazi huna unalolijua, akili yako bado changa kwenye maswala mazima ya uletaji hoja na kuzitetea. Kaa vijiweni bishana na watu wa aina yako.Babu Seya ni Mtanzania kama alivyo Yeriko Nyerere, Said Kubenea, Peter Madeleka na wengine
Kama alidhulumiwa na kuteswa bila sababu nina haki ya kuulizia alipo
Aliwaletea vigogo upuuzi gani mama?
We nae ni muha wa wapi?!Kwa sababu ratiba Alibaba sana hakukuwa na muda wa kutosha halafu machege umbea.
Wewe yaliyopo ndani ya moyo wake umeyajuaje??!! Chamuhimu ni Hilo koti , kuhusu yaliyopo ndani ya moyo wa mtu ni Siri yake mwenyewe. Kusema kwamba dini haijabadili moyo wake ni madai ambayo huna uwezo wa kuyathibitisha.Dini ambayo haijaweza kukubadili moyo unaivaa kama koti...haina msaada.
Nenda jukwaa la historia utamkuta Braza Muddy anatoa darsaNa ndug wetu Mohamed Said mban yukonkimya bila kuandiaka hbr za Dr muislmu mwezake
Aise umetoa point kubwa sanaKwani vijana wa siku hizi Dr. Wanajua nini?!
Ni hasara tupu maskini! Yaan nikitafakari miaka ishirini ijayo tutakuwa na kizazi cha KISENGE MNO! jitu linabahatisha kumaliza degree halina chochote linajua masikini zaidi ya story za kina Diamond na kina Nay wa mitego, iPhone mpya, Umalaya na ngono, mademu, kuwaza maisha mazuri na magari makali bila hata kujua vinapotoka ndomana matoto yetu mengi yanaishia kuwa MASENGE!, Club na Kunyoa minyoo ya KISENGEKISENGE tu! Napatwaga na hasira sana!
Natamani aje kiongozi kama yule wa Korea anyooshe hiki kizazi.. [emoji17][emoji17][emoji17]
Magufuli alizaliwa Nkome, kisha wakaahamia Chato. miaka ya themanini mwanzoni wakazi wengi wa Nkome walihamishwa na wengi walienda Morogoro huko Ifakara na wengine Tabora na kadhalika.
Magafuli aliingia mjini miaka ya themanini akisoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Wakati huo wanaomuita mshamba walikuwa hata Dar hawaijui. Wengine walikuwa bado wako Kigoma wakivuna mawese na kwenda primary bila viatu huku miguu imejawa na vumbi.
Huyo CHAWA hajui loloteMagufuli mjini hakuletwa na JK.... Magufuli aliingia mjini enzi ya Mwinyi chini ya bahasha toka kwa Julius Nyerere na kukabidhiwa kwa Mkapa aliyemfikisha hapo alipoishia.
Unajua nani aliileta familia yao nchini? Dhumuni lake unalijua? Unaonekana mtoto sana kwa siasa za nchi hii.
Walio haribu hii nchi ni Lowasa na Kikwete kwa tamaa zao kutaka uongozi wa nchi. Ndo maana waliishia kusalitiana.
Hili nitaongea wazi. Kikwete ni mtu mbaya sana tena ni mwenye fitina, anaroho ya husuda na anadhani bila yeye Tanzania aiwezi kwenda. Huyu Kikwete na mwenzie Lowasa walimzushia DR: Salim Hamed Salim na kujenga chuku dhidi yake.
Huyu huyu Kikwete alimchukia Nyerere hadi leo. Kikwete hafai hata kukaribishwa Ikulu. Ukimkaribisha anataka yeye awe na sauti. Muda alotumika ulimtosha aachie nchi iongozwe na Rais aliyepo. Si kujifanya yeye ni mshauri mkuu.
Kikwete amefanya nchi hii imekuwa na vijana machawa kuwekana katika madaraka na kujenga siasa za chuki. Yeye mwenyewe alishakiri kuwa CCM ilifikia wakati uwezi acha maji mezani. Kisa kuogopa kumalizana. Na hii ilikuwa wakati wake Kikwete.
Kikwete ndo alianza mambo ya mtandao na Lowasa, madaraka yakaanza kutolewa kwa upendeleo. UDC, URC, na kadhalika vikawa vyeo vya kujuana. Hakukuwa tena na utaalam na sifa kama za zamani.
Wakavuruga hadi usalama wa Taifa kwa kuanza kuweka watu kiundugu na kujuana. Umahili ule wa zamani wa usalama wa Taifa ukaisha. Usalama umebaki kujipendekeza tu.
Hii mbegu imepandwa kipindi cha Kikwete na Lowasa. Kikwete hafai, harafu hana hata soni. Alitakiwa akae nyumbani kwake apumzike.
Kwa mara ya kwanza alipokuwa Rais kijana wake akawa kama prince, yaani anasauti utadhani nae anacheo katika nchi. Haya mambo hayakuwepo toka wakati wa Nyerere, Mwinyi, na Mkapa.
Kikwete umemaliza muda wako pumzika. Tuachie mama yetu. Muache basi nae afanye maamuzi yake. Usipomuingilia akatulia anauwezo wa kufanya vizuri. Shida Kikwete. Please leave her!
Kama Kikwete usikii Mungu anakuona. Anaona unayoyafanya kwa watanzania. Soon ukishupaza shingo Mungu ataingilia kati.
Duh! Sasa povu la nini bwanamdogo wa mtego wa noti?We nae ni muha wa wapi?!
Sasa watu waachage umbea gani na wakati ni maswala yaliyo ndani ya nchi yao, yanawahusu viongozi wao na ni lazima kuyajua!?!?!
Mbona unaleta majibu marahisi na ya kishamba sana ambayo yanadhihirisha ni kiasi gani uwezo wako wa fikra ni mdogo?!
Kuwa mtoto wa mjini siyo lazima uzaliwe mjini.! Kuwa mtoto wa mjini Kunahitaji tu, akili ya kuufahmu mji,Kona zake ,shughuli zake, mipango yake na kuwa na uwezo wa kunufaika na hata kutawala na kudhibiti fursa zote za muhimu zilizopo mjini.huwa nashangaa wanomuita raisi mstaafu kikwete mtoto wa mjini wakati cv yake inaonyesha akizaliwa kijijini msoga tena msoga ya miaka hiyo kilikuwa ni kijiji hasa kama ni mjini kajia ukubwani kama wengine wengi tu sasa huo utoto wa mjini unatokea wapi? chukulia zito kabwe kazaliwa na kukulia kigoma huo utoto wa mjini kautoa wapi?
ila mbona huwa naona kikwete ni mjanja mno kùliko mzee Eddo?Ila kwa 95% zambi za lile genge la mtandao zilitendwa na Lowassa... bila Lowassa JK asingefurukuta kuingia magogoni 2005 na ndio maana mtu wa kwanza kulipia gharama ya Dhambi za ule mtandao ni Lowassa!
MatendoWewe yaliyopo ndani ya moyo wake umeyajuaje??!! Chamuhimu ni Hilo koti , kuhusu yaliyopo ndani ya moyo wa mtu ni Siri yake mwenyewe. Kusema kwamba dini haijabadili moyo wake ni madai ambayo huna uwezo wa kuyathibitisha.
Jaffo?Na sasa anapika fitina kwa full minister mmoja toka Pwani ikiwezekana afe kabisa ili mwanae awe full minister.
Eti nimesikia Mama hawezi hata kumteua DC bila kushauriana na Kikwete juu ya jina au majina husika. Je ni kweli?Walio haribu hii nchi ni Lowasa na Kikwete kwa tamaa zao kutaka uongozi wa nchi. Ndo maana waliishia kusalitiana.