Kwanini Rais mstaafu Kikwete hakupewa nafasi ya kuongea katika uzinduzi wa Kavazi la Dkt. Salim?

Magufuli alizaliwa Nkome, kisha wakaahamia Chato. miaka ya themanini mwanzoni wakazi wengi wa Nkome walihamishwa na wengi walienda Morogoro huko Ifakara na wengine Tabora na kadhalika.
Magafuli aliingia mjini miaka ya themanini akisoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Wakati huo wanaomuita mshamba walikuwa hata Dar hawaijui. Wengine walikuwa bado wako Kigoma wakivuna mawese na kwenda primary bila viatu huku miguu imejawa na vumbi.
Bila kusahau funza miguuni
 
Babu Seya ni Mtanzania kama alivyo Yeriko Nyerere, Said Kubenea, Peter Madeleka na wengine

Kama alidhulumiwa na kuteswa bila sababu nina haki ya kuulizia alipo

Aliwaletea vigogo upuuzi gani mama?
Unaonesha wazi huna unalolijua, akili yako bado changa kwenye maswala mazima ya uletaji hoja na kuzitetea. Kaa vijiweni bishana na watu wa aina yako.
 
Kwa sababu ratiba Alibaba sana hakukuwa na muda wa kutosha halafu machege umbea.
We nae ni muha wa wapi?!

Sasa watu waachage umbea gani na wakati ni maswala yaliyo ndani ya nchi yao, yanawahusu viongozi wao na ni lazima kuyajua!?!?!

Mbona unaleta majibu marahisi na ya kishamba sana ambayo yanadhihirisha ni kiasi gani uwezo wako wa fikra ni mdogo?!
 
Dini ambayo haijaweza kukubadili moyo unaivaa kama koti...haina msaada.
Wewe yaliyopo ndani ya moyo wake umeyajuaje??!! Chamuhimu ni Hilo koti , kuhusu yaliyopo ndani ya moyo wa mtu ni Siri yake mwenyewe. Kusema kwamba dini haijabadili moyo wake ni madai ambayo huna uwezo wa kuyathibitisha.
 
Kwani vijana wa siku hizi Dr. Wanajua nini?!

Ni hasara tupu maskini! Yaan nikitafakari miaka ishirini ijayo tutakuwa na kizazi cha KISENGE MNO! jitu linabahatisha kumaliza degree halina chochote linajua masikini zaidi ya story za kina Diamond na kina Nay wa mitego, iPhone mpya, Umalaya na ngono, mademu, kuwaza maisha mazuri na magari makali bila hata kujua vinapotoka ndomana matoto yetu mengi yanaishia kuwa MASENGE!, Club na Kunyoa minyoo ya KISENGEKISENGE tu! Napatwaga na hasira sana!

Natamani aje kiongozi kama yule wa Korea anyooshe hiki kizazi.. [emoji17][emoji17][emoji17]
Aise umetoa point kubwa sana

Ova
 
Magufuli alizaliwa Nkome, kisha wakaahamia Chato. miaka ya themanini mwanzoni wakazi wengi wa Nkome walihamishwa na wengi walienda Morogoro huko Ifakara na wengine Tabora na kadhalika.
Magafuli aliingia mjini miaka ya themanini akisoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Wakati huo wanaomuita mshamba walikuwa hata Dar hawaijui. Wengine walikuwa bado wako Kigoma wakivuna mawese na kwenda primary bila viatu huku miguu imejawa na vumbi.

huwa nashangaa wanomuita raisi mstaafu kikwete mtoto wa mjini wakati cv yake inaonyesha akizaliwa kijijini msoga tena msoga ya miaka hiyo kilikuwa ni kijiji hasa kama ni mjini kajia ukubwani kama wengine wengi tu sasa huo utoto wa mjini unatokea wapi? chukulia zito kabwe kazaliwa na kukulia kigoma huo utoto wa mjini kautoa wapi?
 
Magufuli mjini hakuletwa na JK.... Magufuli aliingia mjini enzi ya Mwinyi chini ya bahasha toka kwa Julius Nyerere na kukabidhiwa kwa Mkapa aliyemfikisha hapo alipoishia.

Unajua nani aliileta familia yao nchini? Dhumuni lake unalijua? Unaonekana mtoto sana kwa siasa za nchi hii.
Huyo CHAWA hajui lolote

Enendeni Ulimwenguni Kote 😀
 
Dua ya kuku haimpati mwewe. Bila kujali katumia njia gani mafanikio aliyoyapata wewe na wajukuu zako hamtayafikia. Toka kajitafutie riziki yako ama mambo ya siasa yana wenyewe. Wanasiasa woteee ! Nasema wote waliopita na waliopo wa chama tawala na pia wapinzani kwa kuwa ni wanasiasa woteee!! Uwaonavyo sivyo walivyo!!,uwafikiriavyo sivyo walivyo, ila wao wapo kama walivyo. Ni watu wanaotangaza kwa nguvu zote kile wanachotaka watu wakiamini hata kama kitu chenyewe wao hawakiamini lakini kama kinawapa maslahi watajifanya wanakiamini. Kwaufupi WANASIASA WOTE NI WAIGIZAJI.
Walio haribu hii nchi ni Lowasa na Kikwete kwa tamaa zao kutaka uongozi wa nchi. Ndo maana waliishia kusalitiana.
Hili nitaongea wazi. Kikwete ni mtu mbaya sana tena ni mwenye fitina, anaroho ya husuda na anadhani bila yeye Tanzania aiwezi kwenda. Huyu Kikwete na mwenzie Lowasa walimzushia DR: Salim Hamed Salim na kujenga chuku dhidi yake.

Huyu huyu Kikwete alimchukia Nyerere hadi leo. Kikwete hafai hata kukaribishwa Ikulu. Ukimkaribisha anataka yeye awe na sauti. Muda alotumika ulimtosha aachie nchi iongozwe na Rais aliyepo. Si kujifanya yeye ni mshauri mkuu.

Kikwete amefanya nchi hii imekuwa na vijana machawa kuwekana katika madaraka na kujenga siasa za chuki. Yeye mwenyewe alishakiri kuwa CCM ilifikia wakati uwezi acha maji mezani. Kisa kuogopa kumalizana. Na hii ilikuwa wakati wake Kikwete.

Kikwete ndo alianza mambo ya mtandao na Lowasa, madaraka yakaanza kutolewa kwa upendeleo. UDC, URC, na kadhalika vikawa vyeo vya kujuana. Hakukuwa tena na utaalam na sifa kama za zamani.

Wakavuruga hadi usalama wa Taifa kwa kuanza kuweka watu kiundugu na kujuana. Umahili ule wa zamani wa usalama wa Taifa ukaisha. Usalama umebaki kujipendekeza tu.

Hii mbegu imepandwa kipindi cha Kikwete na Lowasa. Kikwete hafai, harafu hana hata soni. Alitakiwa akae nyumbani kwake apumzike.

Kwa mara ya kwanza alipokuwa Rais kijana wake akawa kama prince, yaani anasauti utadhani nae anacheo katika nchi. Haya mambo hayakuwepo toka wakati wa Nyerere, Mwinyi, na Mkapa.

Kikwete umemaliza muda wako pumzika. Tuachie mama yetu. Muache basi nae afanye maamuzi yake. Usipomuingilia akatulia anauwezo wa kufanya vizuri. Shida Kikwete. Please leave her!

Kama Kikwete usikii Mungu anakuona. Anaona unayoyafanya kwa watanzania. Soon ukishupaza shingo Mungu ataingilia kati.
 
We nae ni muha wa wapi?!

Sasa watu waachage umbea gani na wakati ni maswala yaliyo ndani ya nchi yao, yanawahusu viongozi wao na ni lazima kuyajua!?!?!

Mbona unaleta majibu marahisi na ya kishamba sana ambayo yanadhihirisha ni kiasi gani uwezo wako wa fikra ni mdogo?!
Duh! Sasa povu la nini bwanamdogo wa mtego wa noti?
 
huwa nashangaa wanomuita raisi mstaafu kikwete mtoto wa mjini wakati cv yake inaonyesha akizaliwa kijijini msoga tena msoga ya miaka hiyo kilikuwa ni kijiji hasa kama ni mjini kajia ukubwani kama wengine wengi tu sasa huo utoto wa mjini unatokea wapi? chukulia zito kabwe kazaliwa na kukulia kigoma huo utoto wa mjini kautoa wapi?
Kuwa mtoto wa mjini siyo lazima uzaliwe mjini.! Kuwa mtoto wa mjini Kunahitaji tu, akili ya kuufahmu mji,Kona zake ,shughuli zake, mipango yake na kuwa na uwezo wa kunufaika na hata kutawala na kudhibiti fursa zote za muhimu zilizopo mjini.
Kuwa mtoto wa mjini Kunahitaji uelewa wa kila kinachoendelea mjini na kuwa na uwezo wa kunufaika na kila fursa iliyopo mjini.
Ukiwa na uwezo wa kutawala au kudhibiti fursa zilizopo mjini hapo wewe ni zaidi ya mtoto wa mjini. Kwa maelezo haya utaelewa kuwa kuzaliwa mjini na kuwa mtoto wa mjini ni vitu viwili tafauti sana.
Unaweza kuzaliwa mjini, ukakulia mjini lakini ukawa huna habari ya chochote kinachoendelea mjini , hapo utaanzaje kujiita mtoto wa mjini??!!
 
Ila kwa 95% zambi za lile genge la mtandao zilitendwa na Lowassa... bila Lowassa JK asingefurukuta kuingia magogoni 2005 na ndio maana mtu wa kwanza kulipia gharama ya Dhambi za ule mtandao ni Lowassa!
ila mbona huwa naona kikwete ni mjanja mno kùliko mzee Eddo?
 
Wewe yaliyopo ndani ya moyo wake umeyajuaje??!! Chamuhimu ni Hilo koti , kuhusu yaliyopo ndani ya moyo wa mtu ni Siri yake mwenyewe. Kusema kwamba dini haijabadili moyo wake ni madai ambayo huna uwezo wa kuyathibitisha.
Matendo
 
Walio haribu hii nchi ni Lowasa na Kikwete kwa tamaa zao kutaka uongozi wa nchi. Ndo maana waliishia kusalitiana.
Hili nitaongea wazi. Kikwete ni mtu mbaya sana tena ni mwenye fitina, anaroho ya husuda na anadhani bila yeye Tanzania aiwezi kwenda. Huyu Kikwete na mwenzie Lowasa walimzushia DR: Salim Hamed Salim na kujenga chuku dhidi yake.

Huyu huyu Kikwete alimchukia Nyerere hadi leo. Kikwete hafai hata kukaribishwa Ikulu. Ukimkaribisha anataka yeye awe na sauti. Muda alotumika ulimtosha aachie nchi iongozwe na Rais aliyepo. Si kujifanya yeye ni mshauri mkuu.

Kikwete amefanya nchi hii imekuwa na vijana machawa kuwekana katika madaraka na kujenga siasa za chuki. Yeye mwenyewe alishakiri kuwa CCM ilifikia wakati uwezi acha maji mezani. Kisa kuogopa kumalizana. Na hii ilikuwa wakati wake Kikwete.

Kikwete ndo alianza mambo ya mtandao na Lowasa, madaraka yakaanza kutolewa kwa upendeleo. UDC, URC, na kadhalika vikawa vyeo vya kujuana. Hakukuwa tena na utaalam na sifa kama za zamani.

Wakavuruga hadi usalama wa Taifa kwa kuanza kuweka watu kiundugu na kujuana. Umahili ule wa zamani wa usalama wa Taifa ukaisha. Usalama umebaki kujipendekeza tu.

Hii mbegu imepandwa kipindi cha Kikwete na Lowasa. Kikwete hafai, harafu hana hata soni. Alitakiwa akae nyumbani kwake apumzike.

Kwa mara ya kwanza alipokuwa Rais kijana wake akawa kama prince, yaani anasauti utadhani nae anacheo katika nchi. Haya mambo hayakuwepo toka wakati wa Nyerere, Mwinyi, na Mkapa.

Kikwete umemaliza muda wako pumzika. Tuachie mama yetu. Muache basi nae afanye maamuzi yake. Usipomuingilia akatulia anauwezo wa kufanya vizuri. Shida Kikwete. Please leave her!

Kama Kikwete usikii Mungu anakuona. Anaona unayoyafanya kwa watanzania. Soon ukishupaza shingo Mungu ataingilia kati.
Eti nimesikia Mama hawezi hata kumteua DC bila kushauriana na Kikwete juu ya jina au majina husika. Je ni kweli?
 
Sasa mama Faiza katenda tendo gani ovu kiasi Cha kumtuhumu kwamba dini yake haijabadili moyo wake??!! Au unataka kutuambia kuwa unashinda na kulala nae huko anakoishi kiasi Cha kuyajua matendo yake??!! Hata hivyo ingethibitika kuwa ana matendo mabaya unayoyajua ingefaa kusema kuwa dini yake haijabadili MATENDO YAKE na siyo kusema kuwa dini yake haijabadili MOYO WAKE kwa sababu wewe yaliyopo moyoni mwake hujawahi kuyaona!!.
 
Back
Top Bottom