Kwanini Rais Samia akienda nje ya nchi hapokelewi na viongozi wenzake wa juu?

Unajua Unajua JF imeingiliwa na wasiokuwa na uwezo wa kufanya study kabla ya kukimbilia kwenye keyboards. JF inapoteza its status of being a forum for great thinkers
 
Duh! kuna pisi kali nimeiona hapo naomba connection tafadhali?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeh
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] jf never boring!
 
@cocastic napasuka mbavu huku[emoji1787][emoji1787]🫂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa halina kisogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!
 
Labda hii itamsadia so that she will come to her senses na aache kuzurura kwenye nchi za watu
 
Si nimekuita wee mie, [emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Apige hata kama zile suti za Kamala Harris.
 
Inatudhalirisha nchi nzima aisee

Ngoja na wao waje! Tutawapa Zitto kuwapokea we waache tu!
 
Wachangiaji wengi humu wana gubu tu, hivyo wao kila kitu ni kukosoa
Hapana wachangiaji hawana gubu Sisi wa Tanzania tunataka kuona na tunapenda Raisi wetu na Mama yetu akienda Kwa watu apokelewe Kwa Mapokez mazuri na yakimataifa na Sisi tulioko nyumbani tupate raha natuone ufahar Raisi akipokewa Kwa viwango vyaki mataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…