Yawezekana alimpeleka Kagera ili afanye yale aliyoyafanya JKT, au zaidi ya hayo.Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.
Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?
Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
You Nail it.Kwa sababu hatokei ukanda wa pwani, visiwani na sio mwislamu
Hili nalo limekuwa changamoto, kuna dc tulikuwa naye sehemu daah unajiuliza ameupataje huo udisiiVetting zero
Bado tupo kaananiHili nalo limekuwa changamoto, kuna dc tulikuwa naye sehemu daah unajiuliza ameupataje huo udisii
Mbona hukuwahi kuuliza kwa nini Magufuli alimuondoa CAG-Prof Assad ilihali hakuwa ametimiza miaka 60? Kama Katiba inavyotaka?Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT.
Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a demotion?
Ni sababu zipi zilipelekea Mbuge kuondolewa kama Mkuu wa JKT?
Swali, je aliyepo kakidhi vigezo hivyo?Kwa sababu hatokei ukanda wa pwani, visiwani na sio mwislamu
Ndio ilikuwa inahamiwa ile suku ya kutumbuliwa.Hivi Ikulu iliyokuwa imebakiza miezi miwili kukamilika imeisha?
Nailed not NailYou Nail it.
Jamaa ndio Kabudi wa zama hiziMchengerwa anajua
Ajenge stend ya Bukoba tuone kama alikuwa anaweza kweliYawezekana alimpeleka Kagera ili afanye yale aliyoyafanya JKT, au zaidi ya hayo.
Rais hawezi kutishwa na kiongozi yeyote wa kijeshi,upole na unyonge unaouona kwa raia ndo huo huo upo Jwtz,polisi,Magereza nk hamna watu majasiri wa kumtingisha rais hata Iweje,,,hivyo Mbuge hakuondolewa kwa sababu ya kuogopwa bali kwa mipango mingine ambayo rais aliipima akaona ampeleke hukoMbuge ni moja ya Askari wanaopendwa sana na Wanajeshi waliopitia mikononi mwake, the Guy is so smart
Samia na watu wake wa Karibu walihofia ushawishi wake ndani ya jeshi.
Acha ujinga wa kidini ndg yangu!!! Kumpa ukuu wa mkoa kampendelea sana,maslahi ya jeshini tunayajua ni madogo ukilinganisha na maslahi mapana aliyopewa sasa hiviAngekuwa Muslim mpaka muda huu tunavyojadili hili suala angekuwa bado yupo katika nafasi aliyoondolewa. Kwa sasa siyo Muislam basi ndiyo maana aliondolewa katika kitengo kile.