Kwanini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?

Kwanini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?

Hao watu wengi wao ni wasabato na wasabato wengi ni wasomi wanzuri na wananafasi kubwa kubwa serikalini na wanzuri wa kupeana connection.

Usalama wengi ni wasabato na watoa ushauri namba moja kuhusu teuzi ni haohao tiss unategemea nini!
Kwa hiyo wanapitiashiana majina ???
 
Jaji mkuu mstaafu Prof Ibrahim Juma ni mwenyeji wa mkoa wa Mara,jaji mteule Maseju nae ni mwenyeji wa mkoa wa Mara.
IGP mstaafu Simon Sirro ni mtu wa Mara,IGP wa sasa pia ni mtu wa Mara.ADC wa Rais Samia nae ni mtu wa Mara,pia nimedokezwa hapo ikulu kwa sasa wasaidizi wengi wa mheshimiwa Rais ni watu wenye asili ya mkoa wa Mara.
Je kwa nini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?
Mara wana asili ya uaminifu, akikwambia ndio, ujue atafanya, akiona mashaka katika jambo, atakwambia uso kwa macho
 
Jaji mkuu mstaafu Prof Ibrahim Juma ni mwenyeji wa mkoa wa Mara,jaji mteule Maseju nae ni mwenyeji wa mkoa wa Mara.
IGP mstaafu Simon Sirro ni mtu wa Mara,IGP wa sasa pia ni mtu wa Mara.ADC wa Rais Samia nae ni mtu wa Mara,pia nimedokezwa hapo ikulu kwa sasa wasaidizi wengi wa mheshimiwa Rais ni watu wenye asili ya mkoa wa Mara.
Je kwa nini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?
Wale ni wapenda starehe haswa wanawake.
Ukiwasifia hawahitaji kitu kingine
 
Majibu.....

1. Kiasili tuna AKILI sana

2. Kiasili sisi ni WATENDAJI wazuri

3. Kiasili sisi ni Watu wa KUJIAMINI mno

4. Kiasili sisi siyo WAOGA kama hawa Washamba (Watani zangu) Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakara na Wanyamwezi

5. Kiasili sisi ni WATIIFU sana

6. Kiasili sisi ni Watu WAAMINIFU mno

7. Kiasili sisi siyo Watu WANAFIKI kabisa

Kwa NIABA ya Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) Mzanaki Mimi TUKUKA GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE alias "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nimemaliza.

Kudadadeki.....

Cc: Bantu Lady
Naunga mkono
 
Kwa, uzoefu wangu kidogo, (unaweza, ikawa ni, stereo type tu), watu kutoka mkoa wa, Mara, ni, ma snitch Sana, kwa, rugha ya kule kwetu Mexico kwenye drugs, ni rats, they find very easy to rat on you, snitch.
Nakumbuka nikiwa DIT,wakati principal ni John kondoro, kwenye migomo ya wanafunzi, alitumia Sana wanafunzi kutoka Mara kama ma informers, ma snitch.
Stereo type zingine,
Pale TIS, watu wa rukwa ni wengi, inasemekana ni waaminifu Sana.
Taasisi za elimu ya juu, Muhaya yupo msingi, IQ Yao inatisha.
Kwenye finance docket, wakwe zangu wachaga, wamejaa tele.
Wasukuma wanakaa upande upi?
 
Majibu.....

1. Kiasili tuna AKILI sana

2. Kiasili sisi ni WATENDAJI wazuri

3. Kiasili sisi ni Watu wa KUJIAMINI mno

4. Kiasili sisi siyo WAOGA kama hawa Washamba (Watani zangu) Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakara na Wanyamwezi

5. Kiasili sisi ni WATIIFU sana

6. Kiasili sisi ni Watu WAAMINIFU mno

7. Kiasili sisi siyo Watu WANAFIKI kabisa

Kwa NIABA ya Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) Mzanaki Mimi TUKUKA GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE alias "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nimemaliza.

Kudadadeki.....

Cc: Bantu Lady
Huwezi kuwa na characters zote hizo kwa wakati mmoja... Unless uwe ni mnafiki pro max...
 
Wajita wengi wamepiga Shule ila la kwanza ila Pia ni watu fulani ambao ni informers wazuri yani snitches sio wakuaminika sana kwenye nafasi sensitive ila nafasi za uchawa ni wazuri sana

Infact Loyalist wale deep kabisa achana na hao wajita wanaonekana kwa macho kwenye nafasi za Wazi wale wa ndani ndani ni Ndugu zangu wa Rukwa, Iringa kwa mbali na Wagosi wa Tanga kule

Makabila ambayo ni Minority ndio yanapaswa kutoa watu ambao ni engine na Kuwa Loyalist wa Mtawala
 
Back
Top Bottom