..ndio maana nchi imefika hapa tulipo sabab ya ujinga km huu..Mara wana asili ya uaminifu, akikwambia ndio, ujue atafanya, akiona mashaka katika jambo, atakwambia uso kwa macho
..ndio maana nchi imefika hapa tulipo sabab ya ujinga km huu..Mara wana asili ya uaminifu, akikwambia ndio, ujue atafanya, akiona mashaka katika jambo, atakwambia uso kwa macho
Wangejazana wa visiwani pia mgesema tu, watanzania hamjui mnachokitaka!..kuna shida kubwa mahali hapo ikulu..wambura, Masaju, wassira, mafuru, nyansaho, chacha, gisima nyabudege..ni nini hii?
Nime wiwa niku quote "wakurya ni watu wazuri Sanaa WAZALENDO Sanaa wachapa kazi sio waonevu pia hawapendi kuonewa.. ni watetezi wa haki na wasema kweli pia wengi Wana akili sanaKwa, uzoefu wangu kidogo, (unaweza, ikawa ni, stereo type tu), watu kutoka mkoa wa, Mara, ni, ma snitch Sana, kwa, rugha ya kule kwetu Mexico kwenye drugs, ni rats, they find very easy to rat on you, snitch.
Nakumbuka nikiwa DIT,wakati principal ni John kondoro, kwenye migomo ya wanafunzi, alitumia Sana wanafunzi kutoka Mara kama ma informers, ma snitch.
Stereo type zingine,
Pale TIS, watu wa rukwa ni wengi, inasemekana ni waaminifu Sana.
Taasisi za elimu ya juu, Muhaya yupo msingi, IQ Yao inatisha.
Kwenye finance docket, wakwe zangu wachaga, wamejaa tele.
Watu wa Mara ni waaminifu, wana weledi na msimamoJaji mkuu mstaafu Prof Ibrahim Juma ni mwenyeji wa mkoa wa Mara,jaji mteule Maseju nae ni mwenyeji wa mkoa wa Mara.
IGP mstaafu Simon Sirro ni mtu wa Mara,IGP wa sasa pia ni mtu wa Mara.ADC wa Rais Samia nae ni mtu wa Mara,pia nimedokezwa hapo ikulu kwa sasa wasaidizi wengi wa mheshimiwa Rais ni watu wenye asili ya mkoa wa Mara.
Je kwa nini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?
Mbona utendaji wa jaji mkuu aliyeondoka umekosolewa sana!Watu wa Mara ni waaminifu, wana weledi na msimamo
Ni Kwa sababu wamenyooka... labda na wewe ukinyooka kama poti wako Wambura - watakufikiliaJaji mkuu mstaafu Prof Ibrahim Juma ni mwenyeji wa mkoa wa Mara, Jaji mteule Maseju nae ni mwenyeji wa mkoa wa Mara.
IGP mstaafu Simon Sirro ni mtu wa Mara, IGP wa sasa pia ni mtu wa Mara. ADC wa Rais Samia nae ni mtu wa Mara, pia nimedokezwa hapo ikulu kwa sasa wasaidizi wengi wa mheshimiwa Rais ni watu wenye asili ya mkoa wa Mara.
Je, kwanini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?
Nyansaho ni mtu anayependwa sana siyo tu ikulu bali hata kule serengeti, na huyo ni mbunge kule serengeti kupitia uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025, nyansaho ni mtu mpole sana na mwenye msimamo..kuna shida kubwa mahali hapo ikulu..wambura, Masaju, wassira, mafuru, nyansaho, chacha, gisima nyabudege..ni nini hii?
Mlifanyanaje na hao wawili?Nime wiwa niku quote "wakurya ni watu wazuri Sanaa WAZALENDO Sanaa wachapa kazi sio waonevu pia hawapendi kuonewa.. ni watetezi wa haki na wasema kweli pia wengi Wana akili sana
Wana mapungufu ubabe,wivu,ugomvi,visasi ,hasira za OVYO ovyo, wizi, roho ngumu.
NB. Sio kila mtu kutoka mkoa wa Mara ni mkurya...Hapana Kuna wazanaki, wajaluo,wajita, wangoremi e.t.c
Watu wa hovyoo kutoka mkoa wa MARA ni WAJALUO NA WAJITA
Miaka mingi sana. UDSM kupanda cheo mtihani, bara uliamsha, kuandika madude ambayo no one reads anywaySirro alikuwa kamanda mzuri sana kipolisi!! Ibrahim Juma simjui sana ingawa tulikuwa Assitant Lectures wa UDSM kwa pamoja kipindi fulani kabla hajapanda kuwa Lecturer na mimi kuzamia nje ya nchi. Kwenye upande wa sheria na haki watu wa Mara wako vizuri sana
Wabinafsi Sana , Wana wivu wa kijinga, wanamajungu Sanaa, wachawi Sanaa, ogopa wajaluo wakiwa wengi vile vile wajita wakiwa wengi ni hatareee sanaa.Mlifanyanaje na hao wawili?
Ukabila ,ukabila kila utawala unateua mtu wanaye ona anafaa kupondea kabila Fulani sio poa kwanza hawajeteui ooh sijui wajita watu wa hovyo Mimi nimefanya nao kazi jamaa wana ethic's na wana akili na wamenyooka sana ukiacha tabia za majungu....tu Kuna makibila ukikafanya nao kazi na ofisini wako wawo ndo maboss utakimbia ofisi nb Mchagga ,wahaya no offense ,otherwise pia nachukia ukabila sote wamojaNyansaho ni mtu anayependwa sana siyo tu ikulu bali hata kule serengeti, na huyo ni mbunge kule serengeti kupitia uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025, nyansaho ni mtu mpole sana na mwenye msimamo
Usimsimange nyansaho aisee, hana makuu namfahamu sana, tumesoma naye o level shule na anatoka kijiji jirani..ni mtu pendwa sana!
Nyansaho hata Mimi nimemsikia sifa zake!Huko psssf tuokoe wastaafu kwanza, kabla ya kwenda huko Bungeni.Nyansaho ni mtu anayependwa sana siyo tu ikulu bali hata kule serengeti, na huyo ni mbunge kule serengeti kupitia uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025, nyansaho ni mtu mpole sana na mwenye msimamo
Usimsimange nyansaho aisee, hana makuu namfahamu sana, tumesoma naye o level shule na anatoka kijiji jirani..ni mtu pendwa sana!
Juzi nilikuwa naye dodoma, ile ofisi imepata mtu sahihiNyansaho hata Mimi nimemsikia sifa zake!Huko psssf tuokoe wastaafu kwanza, kabla ya kwenda huko Bungeni.
Mpaka wauaji anachagua huko huko Mara.Jaji mkuu mstaafu Prof Ibrahim Juma ni mwenyeji wa mkoa wa Mara, Jaji mteule Maseju nae ni mwenyeji wa mkoa wa Mara.
IGP mstaafu Simon Sirro ni mtu wa Mara, IGP wa sasa pia ni mtu wa Mara. ADC wa Rais Samia nae ni mtu wa Mara, pia nimedokezwa hapo ikulu kwa sasa wasaidizi wengi wa mheshimiwa Rais ni watu wenye asili ya mkoa wa Mara.
Je, kwanini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?
akina timothy apiyoHata enzi za Nyerere ikulu na usalama wa taifa walijaa watu wa Mara, huenda ni watiifu si waoga.
..inaweza kuwa kweli, lkn hoja hapa ni kuonyesha kasoro za uteuzi kuwapendelea watu wa eneo moja, watu wa tabia km za nyansaho wapo wengi pengine hata kumzidi..hivyo vyema kutoa nafasi kwa wote kushindanishwa apatikane mwenye uwezo na anafaa nafasi husika kuliko wengine..hivi ilivyo sasa ni dhahiri upo upendeleo wa wazi kwa watu kutoka mkoa wa mara!Nyansaho ni mtu anayependwa sana siyo tu ikulu bali hata kule serengeti, na huyo ni mbunge kule serengeti kupitia uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025, nyansaho ni mtu mpole sana na mwenye msimamo
Usimsimange nyansaho aisee, hana makuu namfahamu sana, tumesoma naye o level shule na anatoka kijiji jirani..ni mtu pendwa sana!
Hizo ndio sifa za watu wa huko, lakini hawa waliochaguliwa sasa sifa kuu ni uchawa. Hivyo ongezea hii sifa mpya kwenye hilo kabila lenu.Majibu.....
1. Kiasili tuna AKILI sana
2. Kiasili sisi ni WATENDAJI wazuri
3. Kiasili sisi ni Watu wa KUJIAMINI mno
4. Kiasili sisi siyo WAOGA kama hawa Washamba (Watani zangu) Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakara na Wanyamwezi
5. Kiasili sisi ni WATIIFU sana
6. Kiasili sisi ni Watu WAAMINIFU mno
7. Kiasili sisi siyo Watu WANAFIKI kabisa
Kwa NIABA ya Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) Mzanaki Mimi TUKUKA GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE alias "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nimemaliza.
Kudadadeki.....
Cc: Bantu Lady