Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 2,090
- 3,928
Tusiwasahau wakina Waryoba
In short sisi watu wa Mara ni waaminifu na tunachapa kazi.
In short sisi watu wa Mara ni waaminifu na tunachapa kazi.
Umesau 80% ya wakuu wa wilayaJaji mkuu mstaafu Prof Ibrahim Juma ni mwenyeji wa mkoa wa Mara, Jaji mteule Maseju nae ni mwenyeji wa mkoa wa Mara.
IGP mstaafu Simon Sirro ni mtu wa Mara, IGP wa sasa pia ni mtu wa Mara. ADC wa Rais Samia nae ni mtu wa Mara, pia nimedokezwa hapo ikulu kwa sasa wasaidizi wengi wa mheshimiwa Rais ni watu wenye asili ya mkoa wa Mara.
Je, kwanini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?
Jaji mkuu uwe unakosolewa kila siku, maana yake unafanya makosa siku zote. Haki za wananchi nani atazilinda?Kukosolewa ni jambo la kawaida, kukosolewa kunakupa nafasi ya kujirekebisha ulipokesea na hakuna mtu asiyekosea.
Sidhani masaju amezaliwa 1958. Unless biography yake imekosewa sana. Simjui sana ila kwa tulivyomuona bunge la Katiba 2014,, kutakuwa na makosa ya makusudi au ya bahati mbaya kuandika tarehe yake ya kuzaliwa.Lazima kuna shida kupita maelezo.
Inakuwaje prof. Ibrahim Juma alizaliwa tarehe 16,Juni 1958 ndio kastaafu na Mteule Masaju kuzaliwa tarehe 18,Juni 1958 kuna tofauti ya siku mbili tu. Kweli taifa halina young age people wenye elimu na wekedi?
Mfano wassira, ni ving'ang'a..na hawajui kuweka akiba badae wakistaafu wapumzike vzr, angalia wassira the way anafanya ni km hicho ndio cheo chake cha kwanza kutumikia! means hana lingine lolote kichwani isipokuwa huo umakamu mwenyekiti aliopewa, kwa umri huo nafasi hiyo ilitakiwa iwe km part time kwake..sabab ana mambo muhim zaid ya kifamilia yanahitaji attention yake..!Ukweli ni huu: Watu wa Mara ni watu wanaopenda kutumia nguvu badala ya akili na ni wengi, hasa wanaume ni wakatili kwa asili. Halafu ni watu wabinafsi sana na wanapenda vyeo. Hivyo basi wako tayari kufanya lolote (hata kuua) ili tu waendelee kuwa na vyeo.
Waswahili husema ukitaka kukimbizana na kila mbwa abwekae barabarani utachelewa safari. Mambo mengine watu wanakosoa ni ya kipuuzi tu na ni haki yao kufanya hivyo . Kwa hiyo sio kila jambo alilokuwa anakosolewa Jaji Juma lilikuwa bayaJaji mkuu uwe unakosolewa kila siku, maana yake unafanya makosa siku zote. Haki za wananchi nani atazilinda?
U-snitch kujipendekeza na ili mtu ajipendekeze lazima awe na njaa sana. Hao uliwaonea tu, vyuo vyote vilikuwa na informers na sio wote walikuwa watu wa Mara.Kwa, uzoefu wangu kidogo, (unaweza, ikawa ni, stereo type tu), watu kutoka mkoa wa, Mara, ni, ma snitch Sana, kwa, rugha ya kule kwetu Mexico kwenye drugs, ni rats, they find very easy to rat on you, snitch.
Nakumbuka nikiwa DIT,wakati principal ni John kondoro, kwenye migomo ya wanafunzi, alitumia Sana wanafunzi kutoka Mara kama ma informers, ma snitch.
Stereo type zingine,
Pale TIS, watu wa rukwa ni wengi, inasemekana ni waaminifu Sana.
Taasisi za elimu ya juu, Muhaya yupo msingi, IQ Yao inatisha.
Kwenye finance docket, wakwe zangu wachaga, wamejaa tele.
Mkuu lazima wafatilie siasa za Kenya kwasababu zina wa husu moja kwa moja kwasababu Kenya kuna wa kurya ambao wote ni ndugu ndiyo Maana usije kushangaa siku moja ukasikia Mkurya ni Raisi au Mkuu wa majeshi Kenya, wakurya wapo wengi sana Kenya kwenye vyuo na kwenye Siasa na Serikalini.Naongezea: Ni wakabila sana, wanadharau sana viongozi kwenye taasisi wasio wakurya, hawamweshimu. Wanafuatilia sana siasa za Kenya, hawaheshimu mwanamke hata kidogo.
Hapana Mwalimu Haku wajaza zamani ajira zilikua nyingi tu vijana walikua wanachagua, Mimi Babu yangu alivyokua kijana alipata ajira ya Jeshi bila hata kuigizwa na mtu, yeye alikua anatembea mjini akaona vijana wanachukuliwa kwenda Jeshini na yeye akajiandikisha.Jeshini wapo wengi, na Mwalimu ndio alianza kuwajaza huko. Hivyo, hiyo kazi imekuwa kama ni ya kurithi kwa hao watu.
Mzee wa Miaka zaidi ya 70 awe tena mambo ya kifamilia mtu ana vitukuu kasha maliza kulea, ni sawa na Kikwete useme ana mambo ya kifamiliaMfano wassira, ni ving'ang'a..na hawajui kuweka akiba badae wakistaafu wapumzike vzr, angalia wassira the way anafanya ni km hicho ndio cheo chake cha kwanza kutumikia! means hana lingine lolote kichwani isipokuwa huo umakamu mwenyekiti aliopewa, kwa umri huo nafasi hiyo ilitakiwa iwe km part time kwake..sabab ana mambo muhim zaid ya kifamilia yanahitaji attention yake..!
Kwa hiyo mambo ya kifamilia ni kulea peke yake..kuna umri ukifikia jamii za kiafrika unakuwa huna majukumu? au vile umri unongezeka majukumu huongezeka au hupungua..?Mzee wa Miaka zaidi ya 70 awe tena mambo ya kifamilia mtu ana vitukuu kasha maliza kulea, ni sawa na Kikwete useme ana mambo ya kifamilia
Ndiyo kuna Umri ukifikia majukumu yana pungua na stress zinaondoka tena ukiwa kionhozi mwenye Maisha mazuri, kwasababu una kua umemaliza kulea na watoto wako wote wana jitegemea kwenye shuguli nzuri za kujiingizia kipato, kwahiyo mawazo ya watoto wako watateseka kimaisha yanakua hayapo, kuwaza ni kistaafu nitaishi maisha yapi na watoto wangu sijawaingiza kwenye mfumo mzur wa serikalini. Kwahiyo umri wa miaka kama ya Wasira na Kinana wanakua hawana Majukumu ya kifamilia zaidi ya kuombwa connection na ndugu ba jamaa na marafiki tu.Kwa hiyo mambo ya kifamilia ni kulea peke yake..kuna umri ukifikia jamii za kiafrika unakuwa huna majukumu? au vile umri unongezeka majukumu huongezeka au hupungua..?
Wajita wengi ni walimu wa shule za msingi na sekondari,hakuna kabila lenye watu wanafiki na masnitch kama wajita na wasukumaYule ADC Nyambuli yuko poa sana ingawa sijui kama ana mme. Nadhani ndiye jenerali wa kwanza wa jeshi kutoka kwenye kabila la wajita. Wajita wengi ni wanasheria ila mama huyu ndiye wa kwanza kuzamia kwenye ulinzi kwa ndani kwani wengi wa wajita walikuwa wanaishia kuwa kapteni au meja.
Chadema ya mzee mbowe ilijaa wamangi watupuMifumo imejaa wazanzibar tupu
Classified.Kwa, uzoefu wangu kidogo, (unaweza, ikawa ni, stereo type tu), watu kutoka mkoa wa, Mara, ni, ma snitch Sana, kwa, rugha ya kule kwetu Mexico kwenye drugs, ni rats, they find very easy to rat on you, snitch.
Nakumbuka nikiwa DIT,wakati principal ni John kondoro, kwenye migomo ya wanafunzi, alitumia Sana wanafunzi kutoka Mara kama ma informers, ma snitch.
Stereo type zingine,
Pale TIS, watu wa rukwa ni wengi, inasemekana ni waaminifu Sana.
Taasisi za elimu ya juu, Muhaya yupo msingi, IQ Yao inatisha.
Kwenye finance docket, wakwe zangu wachaga, wamejaa tele.
Hicho ndio unachojua, lkn kiuhalisia..ukiacha jukumu la kuwa mshauri mkuu..mstaafu ana jukumu kubwa sana kiimani hata mpagani, binadamu tuna maisha ya ndani/kiroho na huko ndiko kwenye uhalisia wa mambo yote..ni kawaida kufikiri mtu anapozeeka siku za kuishi duniani zinapungua na hivyo anapaswa kutumia muda mwingi kuweka sawa mambo yake na muumba wake..muda mwingi ni sala na dua au attention inakuwa kwenye mambo hayo, umri huo si wa kukwaruzana na watu kwa matendo au kauli km anavyofanya wassira..na kwa hivyo mstaafu ana majukumu makubwa zaidi kiimani ambayo ndiyo yanaumba uhalisia..hivyo ndivyo binadamu wanaofahamu wajibu wa kuishi maisha yenye amani na kumpendeza Mungu wanafanya kadiri umri unavyoongezeka! Jiwekee akiba mbinguni pale ambapo hakuna nondo wala mwizi anaweza kuharibu..Ndiyo kuna Umri ukifikia majukumu yana pungua na stress zinaondoka tena ukiwa kionhozi mwenye Maisha mazuri, kwasababu una kua umemaliza kulea na watoto wako wote wana jitegemea kwenye shuguli nzuri za kujiingizia kipato, kwahiyo mawazo ya watoto wako watateseka kimaisha yanakua hayapo, kuwaza ni kistaafu nitaishi maisha yapi na watoto wangu sijawaingiza kwenye mfumo mzur wa serikalini. Kwahiyo umri wa miaka kama ya Wasira na Kinana wanakua hawana Majukumu ya kifamilia zaidi ya kuombwa connection na ndugu ba jamaa na marafiki tu.
Utakufa na uongo wakoChadema ya mzee mbowe ilijaa wamangi watupu