Kwanini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?

Kwanini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?

Yule ADC Nyambuli yuko poa sana ingawa sijui kama ana mme. Nadhani ndiye jenerali wa kwanza wa jeshi kutoka kwenye kabila la wajita. Wajita wengi ni wanasheria ila mama huyu ndiye wa kwanza kuzamia kwenye ulinzi kwa ndani kwani wengi wa wajita walikuwa wanaishia kuwa kapteni au meja.
Mme wa Nyamburi ni miongoni mwa waurugenzi wa TPA alikua Meneja moja ya matawi ya CRDB hapo Dar.
 
..kuna shida kubwa mahali hapo ikulu..wambura, Masaju, wassira, mafuru, nyansaho, chacha, gisima nyabudege..ni nini hii?
Lazima kuna shida kupita maelezo.
Inakuwaje prof. Ibrahim Juma alizaliwa tarehe 16,Juni 1958 ndio kastaafu na Mteule Masaju kuzaliwa tarehe 18,Juni 1958 kuna tofauti ya siku mbili tu. Kweli taifa halina young age people wenye elimu na wekedi?
 
Jaji mkuu mstaafu Prof Ibrahim Juma ni mwenyeji wa mkoa wa Mara, Jaji mteule Maseju nae ni mwenyeji wa mkoa wa Mara.

IGP mstaafu Simon Sirro ni mtu wa Mara, IGP wa sasa pia ni mtu wa Mara. ADC wa Rais Samia nae ni mtu wa Mara, pia nimedokezwa hapo ikulu kwa sasa wasaidizi wengi wa mheshimiwa Rais ni watu wenye asili ya mkoa wa Mara.

Je, kwanini Rais Samia anapenda kufanya kazi kwa ukaribu na watu kutoka mkoa wa Mara?
Watu wa Mara wengi ni Vipenyo. You should know that
 
Kwa, uzoefu wangu kidogo, (unaweza, ikawa ni, stereo type tu), watu kutoka mkoa wa, Mara, ni, ma snitch Sana, kwa, rugha ya kule kwetu Mexico kwenye drugs, ni rats, they find very easy to rat on you, snitch.
Nakumbuka nikiwa DIT,wakati principal ni John kondoro, kwenye migomo ya wanafunzi, alitumia Sana wanafunzi kutoka Mara kama ma informers, ma snitch.
Stereo type zingine,
Pale TIS, watu wa rukwa ni wengi, inasemekana ni waaminifu Sana.
Taasisi za elimu ya juu, Muhaya yupo msingi, IQ Yao inatisha.
Kwenye finance docket, wakwe zangu wachaga, wamejaa tele.
Sikubaliani na wewe kwamba watuwa Rukwa ni waaminifu. Ulichoandika kiko kinyume
 
Ni wenye ubinafsi hivyo hutii asemacho boss wao, wako vizuri kwa ndio boss
 
Huwezi ukawa Mtii kwa mamlaka halafu ukanyooka.

Nachoona hapa ni unafiki
Ukweli ni huu: Watu wa Mara ni watu wanaopenda kutumia nguvu badala ya akili na ni wengi, hasa wanaume ni wakatili kwa asili. Halafu ni watu wabinafsi sana na wanapenda vyeo. Hivyo basi wako tayari kufanya lolote (hata kuua) ili tu waendelee kuwa na vyeo.
 
Nime wiwa niku quote "wakurya ni watu wazuri Sanaa WAZALENDO Sanaa wachapa kazi sio waonevu pia hawapendi kuonewa.. ni watetezi wa haki na wasema kweli pia wengi Wana akili sana

Wana mapungufu ubabe,wivu,ugomvi,visasi ,hasira za OVYO ovyo, wizi, roho ngumu.

NB. Sio kila mtu kutoka mkoa wa Mara ni mkurya...Hapana Kuna wazanaki, wajaluo,wajita, wangoremi e.t.c

Watu wa hovyoo kutoka mkoa wa MARA ni WAJALUO NA WAJITA 🤣🤣🤣
Naongezea: Ni wakabila sana, wanadharau sana viongozi kwenye taasisi wasio wakurya, hawamweshimu. Wanafuatilia sana siasa za Kenya, hawaheshimu mwanamke hata kidogo.
 
Ni kwasababu tayari wapo kwenye mfumo, yaani kipindi kile tulikuwa na sijui ni mindset au attitude ya kuwa watu wa jamii Fulani wengi watakaa hapa nk hii ilijenga umiliki usio rasmi wa baadhi ya nafasi kwenye taasisi Fulani, hivyo ukichanganya na kusoma basi kubebana ni rahisi sana.
 
Ni kwasababu tayari wapo kwenye mfumo, yaani kipindi kile tulikuwa na sijui ni mindset au attitude ya kuwa watu wa jamii Fulani wengi watakaa hapa nk hii ilijenga umiliki usio rasmi wa baadhi ya nafasi kwenye taasisi Fulani, hivyo ukichanganya na kusoma basi kubebana ni rahisi sana.
Umemaliza Kila kitu
 
Back
Top Bottom