Kwanini Rais Samia anatumia ndege za ATCL kwa safari zake hata fupi badala ya ndege ya Rais?

Kwanini Rais Samia anatumia ndege za ATCL kwa safari zake hata fupi badala ya ndege ya Rais?

Si ni wao walinunua wenyewe? Hawakujua gharama zake ni kubwa sana? Sasa walinunua ya nini? Na kama Magufuli asingefanya ubabe wa kununua ndege angesafiri na nini?
Mimi nashauri ndege moja ya ATCL ipaki pale kwenye uwanja wa ndege wa chato popo wa kule wazaliane mle maana watu wa kule wamiimiss sana ndege
 
Are you sure that the Gulf Stream is fly able? For the past six years how many flying hours has it acquired?
 
Dah watu mkikosa vitu vya msingi huwa mna hoji hata mambo yasiyoeleweka, ama kweli binadamu hatuna jema
Rais kutumia ndege inayobeba abiria zaidi ya miambili ni jambo lisiloingia akilini, endapo hiyo ingekuwa ndiyo ndege ya Rais nisingeshangaa kwani ningejua humo ndani kuna shughuri zaidi ya viti, likiwemo bafu, jiko, zahanati, ofisi, ukumbi wa mikutano na chumba cha kulala.
 
Ndiyo kusema walinunua ili kuja kukaa chini tu? Haisafirishi abiria?
Sasa ndege haina route za nje na vibali vya kusafirisha Iko Iko tu si bora itumiwe na Rais maana magufuli alikuwa obsessed na ndege na alinununua bila hata bussiness plan yoyote
 
Hata hiyo ya rais uliingizwa air Tanzania na mwenda zake
Mwache mama ale maisha na ndege mpya aina ya Airbus!! Ile ya Rais imechoka bhana!! Tangu enzi hizo!!

Viti vyenyewe tu vya kukalia, unaweza ukakuta ni zaidi ya vile vya ile TATA ya Simba.
 
Rais kutumia ndege inayobeba abiria zaidi ya miambili ni jambo lisiloingia akilini, endapo hiyo ingekuwa ndiyo ndege ya Rais nisingeshangaa kwani ningejua humo ndani kuna shughuri zaidi ya viti, likiwemo bafu, jiko, zahanati, ofisi, ukumbi wa mikutano na chumba cha kulala.
Mkuu mulitaka ikae ipigwe na upepo had iwe mbovu kwa kutokutumiwa aisee, magufuli msafara wake mlilalamika lipi jema hapo sasa
 
Dah. Mkuu na wewe unasema matumizi ya ndege za ATC siyo ya msingi? Ni ya msingi kweli kweli. Safari moja ya ndege inatumia gharama kubwa. Halafu kumbuka hizi ndege zimenunuliwa kwa ajili ya shirika la ndege. Ina maana hazifanyi kazi? Kama zinafanya, inapotumika kumbeba rais abiria ambao wamekata tiketi na walipangiwa kusafiri nayo wanasafiri na nini? Na kingine: rais anayo ndege yake iliyonunuliwa kwa ajili yake. Kwa nini haitumii? Na pia: Kama Magufuli asingenunua hizo ndege angesafiria nini? Kumbuka hizi ndege zimegharimu fedha nyingi za wananchi hivyo ni lazima wahoji matumizi yake.
Air Tanzania ina ndege nyingi sasa hivi kusema eti Rais kutumia hyo ndege moja ni hasara sidhani pia kusema abiria wanahairishwa au kucheleweshwa sidhani kila kitu huwa kiko planned no mkurupuko wa kukwamisha abiria, na hyo ndege ya Rais waweza kuta ina shida sehemu, so kulalamika Rais eti kutumia ndege ya air tanzania ni gharama naona not fair kiasi flani yeye ni Raisi
 
expenditure zimeongezeka kwenye serikali hii ya awamu ya 6 hizi tozo zitatukondesha walah
 
Mama hajui kabisa kubana matumizi. Hapo akipanda hiyo ndege ikipiga rout moja ya kwenda malawi na kurudi si chini ya bilion 1
Watendaji wake ndio wanaompotosha. Ile Gulf stream iliyonunuliwa enzi za Mkapa ipo tu pale Kipawa, wakati ilistahili kuwa inatumika kwa safari kama hizi
 
Air Tanzania ina ndege nyingi sasa hivi kusema eti Rais kutumia hyo ndege moja ni hasara sidhani pia kusema abiria wanahairishwa au kucheleweshwa sidhani kila kitu huwa kiko planned no mkurupuko wa kukwamisha abiria, na hyo ndege ya Rais waweza kuta ina shida sehemu, so kulalamika Rais eti kutumia ndege ya air tanzania ni gharama naona not fair kiasi flani yeye ni Raisi
Mh... Ina maana hiyo ndege haina kazi? Je, unajua shirika bado lina ndege chache sana? Vitu vinakuwa planned namna gani wakati ndege kawaida zinakuwa na route na hutumika kila siku? Hiyo ya rais kama ina shida kwa nini wasiondowe hiyo shida. Your reasons just doesnt make sense at all.
 
Sasa ndege haina route za nje na vibali vya kusafirisha Iko Iko tu si bora itumiwe na Rais maana magufuli alikuwa obsessed na ndege na alinununua bila hata bussiness plan yoyote
Ahaa. Tumefika penyewe sasa. Asante kwa kuliona hili. Kumbe ndege ziko ziko tu na hazifanyi kazi yoyote! Ni lini zitaanza kufanya? Mbona bado zinazidi kuletwa na kupokelewa na serikali nzima? Kwa nini wasiziuze ili fedha zikatumika kwenye mambo yenye manufaa? Au kama wataamua hiyo ndiyo iwe ndege ya rais basi wafanye hivyo na nyingine ziuzwe. (Japo nchi maskini kama yetu rais kuwa na ndege kama hiyo nayo ni kituko kingine)
 
hahahahah alisema atahakikisha anai brand ATCL isipate hasara .... labda ndio kuibrand uko hahaha tusubiri report ya CAG
CAG atakuja na mazito sana msimu huu 😂😂😂 yani nawaza tu zile hela za Tozo kama zitapitia mikononi mwa CAG basi jua msumari ambao tutapigwa wananchi kila mmoja atatoka na panga kwenda kumtafuta bwana Lameki na genge lake
 
Watendaji wake ndio wanaompotosha. Ile Gulf stream iliyonunuliwa enzi za Mkapa ipo tu pale Kipawa, wakati ilistahili kuwa inatumika kwa safari kama hizi
Idimi ndugu yangu hiki kisingizio cha kusema ''watendaji wake ndiyo wanampotosha'' siku hizi hakuna anayeamini tena. Kwa kifupi ukiona rais anapotoshwa na watendaji wake ujue huyo rais ni boya.
Hapo nakubaliana na wewe, kubana matumizi hawezi ila kwa kauli kwamba ndege imetumia zaidi ya 1B. Labda kama alimaanisha pamoja na watu aliokua nao ila sio ndege peke ake
Mwanzisha thread ndiye aliyetoa hiyo takwimu. All in all, kuna tatizo kubwa sana kwa rais kutumia hii ndege hapa (sizungumzii mambo ya gharama tu).
 
Na report ya CAG haitakaa izungumzie hasara iliyotengenezwa na ATCL mpaka Bimkubwa akitoka madarakani.

Hizi routes za Dar-Dom nazo anapigia hilo hilo pipa.
Kama kwa hayati jiwe hasara ilikuwa 50 billions! Kwa huyu mama hasara itakuwa tripple maana anaruka nayo kila akiamka asubuhi 😂
 
Ndege kubwa ni muhimu ili kujinafasi na kuepuka msongamano, mama sio mjinga kiviiiile..!![emoji276]
 
Back
Top Bottom