Kwanini Rais Samia anatumia ndege za ATCL kwa safari zake hata fupi badala ya ndege ya Rais?

me naona wangeichukua halafu wakaiandika
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

iwe yake basiii
 
Dah watu mkikosa vitu vya msingi huwa mna hoji hata mambo yasiyoeleweka, ama kweli binadamu hatuna jema
Sasa ndio umeongea nini? Tunahoji mambo yasiyoeleweka ili tueleweshwe. Sasa kama wewe unapokuwa huelewi unakaa kimya, nina wasiwasi sana na ulivyofanya darasani.

Unafanya nikulinganishe na dada mmoja wa Kaskazini alimshitaki mtu kuwa alimbaka. Akaambiwa tueleze tukio lilikuwaje.
Akasema
  • alinivutia kwenye pori, nikawa sielewi namuangalia tu
  • akapandisha gauni yangu juu, sielewi namwangalia tu
  • akafungua saliwali yake, simwelewi namwangalia tu

...nadhani umepata mtiririko.
 
Mwache mama ale maisha na ndege mpya aina ya Airbus!! Ile ya Rais imechoka bhana!! Tangu enzi hizo!!

Viti vyenyewe tu vya kukalia, unaweza ukakuta ni zaidi ya vile vya ile TATA ya Simba.
Hujui usemalo, hakuna ndege luxury kama ya rais. Haina ubovu wowote kabisa
 
So kulalamika Rais eti kutumia ndege ya air tanzania ni gharama naona not fair kiasi flani yeye ni Raisi
I say wewe ni wa kuhurumiwa sana. Ni kweli ulivyosema tunaongelea mambo yasiyoeleweka. Yaani unaonyehsa huelewi kabisa na unapojaribu kueleza kitu usichoelewa ndio unajikoroganya moja kwa moja sengi!
 
Anakwepa nini kutumia ndege ya rais na ni nzima?
Huyu hapotshwi bali yeye amepotoka mazima
 
Dah watu mkikosa vitu vya msingi huwa mna hoji hata mambo yasiyoeleweka, ama kweli binadamu hatuna jema
ni suala la msingi sana kwa watu wanaojali ufanisi katika matumizi ya serikali. Lakini kwetu tunapima maendeleo kwa kuona ndege, madaraja, majengo ya hospitali, shule, soko n.k. bila kujisumbua kutaka kujua pesa iliyotumika kununua, kujenga. Na Rais tunaona anastahili kutumia anavyotaka. Hivyo ni sawa tu.
 
Wee jamaaa una akili kweli. Lakini serekali ya CCM ni kama hawajali kitu, TRA ni kama mtu anaechota maji kwa kapu yote yanavuja. Hela zinaliwa na zinaliwa bila huruma , kisheria na kinyume cha sheria
 
Wee jamaaa una akili kweli. Lakini serekali ya CCM ni kama hawajali kitu, TRA ni kama mtu anaechota maji kwa kapu yote yanavuja. Hela zinaliwa na zinaliwa bila huruma , kisheria na kinyume cha sheria
Mie nadhani wanajua tunakubali lolote tunalofanyiwa. Angalia hapa chini. Tunaswagwa hadi na wenyeviti wa viijiji

 
Hapa naona Idara ya Propaganda ya Raisi wameufyata, maana huwa wako mbelembele sana kufananua hoja nyepesi nyepesi za JF. Vipi, hii imewashinda? Caught between a rock and hard place?
 
Sasa mnataka atembee na msafara wa magari mengi ka mwendazake hyo ndio hasara ila ndege ninafuu, pia hyo Airbus haichakai kuliko kukaa tu chini bila kutumika mda mrefu
Atumie ndege ya raisi
 
CAG atakuja na mazito sana msimu huu 😂😂😂 yani nawaza tu zile hela za Tozo kama zitapitia mikononi mwa CAG basi jua msumari ambao tutapigwa wananchi kila mmoja atatoka na panga kwenda kumtafuta bwana Lameki na genge lake
Afu ndugu nimekusoma comments zako nyingi unaropoka na kumdis Sana mama,jitathmin,hii si awamu ya kutekana na kupotezana,Ila onyesha heshima kwa mamlaka🙏
 
Kaka pole; Rudia kusoma ripoti ya CAG Kicheere utajua hiyo ndege iliko!
 
Kaka pole; Rudia kusoma ripoti ya CAG Kicheere utajua hiyo ndege iliko!
 
Anakwepa nini kutumia ndege ya rais na ni nzima?
Huyu hapotshwi bali yeye amepotoka mazima
Lini uliifanyia uchunguzi ndege ya Raisi na ukaona ni nzima?post report ya ukaguzi wa ndege ya Raisi within three months ago tujiridhishe na tujadili ujasemayo.
 
Mimi sioni kama ni tatizo sana ilimradi kusiwe na ndege zime park kama zote zinafanya kazi haina shida. Vilevile inawezekana anasafiri na watu wengine mfano wafanyabiashara wa Tanzania
Pia sasahivi kuna covid, watu wanatakiwa wakae kwa nafasi/umbali wa kutosha ndani ya ndege. Watu wachache ndege kubwa.
 
Afu ndugu nimekusoma comments zako nyingi unaropoka na kumdis Sana mama,jitathmin,hii si awamu ya kutekana na kupotezana,Ila onyesha heshima kwa mamlaka🙏
Ila mama amesema anapenda haki kwahio uhuru wetu wa kuongea tumerudishiwa kwa sasa acha tuongee kama ambavyo mnamuongeleaga mbovu hayati mwendazake kuwa ni mzoga sijui unaliwa na funza mtulie hivyo hivyo mama nae akisemwa sababu kila mtu anatoa maoni yake bana!
 
Wewe ulitakaje labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…