Ingawa hawajahudhuria lakini Raisi wetu Magufuli aka jiwe kashaapishwa tayari, na hata hao maraisi wawili wasingehudhuria angeapishwa pia.Duh! Hivi Tanzania mlikosea wapi, naona kwa dunia yote na Afrika, ni marais wa nchi mbili tu waliohudhuria, Uganda na Zimbabwe, yaani hata huko SADC yote waliwakwepa.
Yaani mlishaangukia pua kidiplomasia, japo huwa hamtaki kuambiwa. Hivi hivi ndivyo mlikwepwa kwenye mazishi ya Mkapa.
Wakati wewe unaandika hizo hekaya:Uhuru anajitambua. He is a democrat. Hawezi kuunga mkono what happened in Tanzania. Kuna marafiki wengine ni bora kutokuwa nao karibu. Why would you like to be associated with a thief, a dictator?
Kama hayo yote yanafanyika mbona bado mna uchumi mdogo kutushinda?JPM amempiga 3 bila so hana hamu naye, hasa akikumbuka SGR, HOSPITALS, AIRPORTS, PIPELINE, FREE EDUCATION, BRT, HIGH CLASS FLYOVERS, AGRICULTURE, INDUSTRIAL REVOLUTION, HAHAHAAA
Bora Tanzania tuwe wenyewe kuliko kuwa na majirani wanafiki hivi design ya kenya.Kama Kagame the biggest dictator in East Africa anawapa kisogo basi nyie mumekuwa kicheko cha Afrika. Kila mtu anawakataa. Uchaguzi wenu unavunda
Aisee hebu sahihisha jina la huyo jamaa.....Mnanangwa ni walewale.
Sio majirani tu, mumekataliwa na Afrika na dunia yote.Bora Tanzania tuwe wenyewe kuliko kuwa na majirani wanafiki hivi design ya kenya
Hatujali sisi hyo tunajali ustawi wa taifa letu Kwanza mda wa kubembelezana hatuna kabisa.Sio majirani tu, mumekataliwa na Afrika na dunia yote.
Hatujali sisi hyo tunajali ustawi wa taifa letu Kwanza mda wa kubembelezana hatuna kabisa
Unataka aje alete korona?Toeni maoni yenu. Yangu ni kwamba Rais Magufuli bado ana machungu kwa sababu Rais Uhuru alifuata maagizo ya wanasayansi kuhusu njia za kudhibiti Corona ikiwemo kupima madereva wa Tanzania waliokuwa wanaleta Corona huku. Rais Magufuli naye akaamua kufutilia mbali urafiki na Kenya kama vile alifutilia mbali upinzani au kama vile alifutilia mbali Corona kwa maombi pekee
Only two dictators attended
Na wewe pia umekosea.Jina lake ni Mgangangwa