Kwanini Rais Uhuru hajahudhuria uapishwaji wa Rais Magufuli?

Magufuri ataongoza kwa shida sana kipindi hiki, ICC inamsubiri mikono yake ina damu. nahisi km atajifia tu
Hujielewi Magufuli ni rais Wa Tanzania kachaguliwa kihalali na Watanzania wanamkubali na atafanya kazi zake vizuri na huna cha kufanya na mtasubiri Sana Tanzania kuwekewa vikwazo.Tanzania sio nchi ya mchezomchezo tuna ushawishi mkubwa Afrika so Hakuna Wa kuiwekea vikwazo Kwanza kwenye uapishwaji Leo balozi Wa ulaya, marekani,china walikuwepo means wamamuunga mkono magufuli. Kwa hiyo acha kuota ujinga.
 
Hakua Rais aliposhtakiwa malenge wewe.
 
Muelewa Wa nini?wakati kwake kashindwa kuelewa rushwa, umasiki uliokithiri

Njaa iliyokithiri Kwa wakenya.vitu vya kipumbavu vimejaa Kenya na na kashindwa kuviondoa. Acha kukomenti Kwa chuki.

Mtu muelewa kama Kenyatta hawezi kujishughulisha na vitu vya kipumbavu
 
Hakua Rais aliposhtakiwa malenge wewe.


,, Kenyan President Uhuru Kenyatta has appeared before the International Criminal Court (ICC), where he faces charges of crimes against humanity.
He is the first serving head of state to come before the court in The Hague '' , ...
 
Hahahaha sasa mbona balozi wa US kaenda Dodoma mmeanza kumnanga huko Twittwer?

Wananchi wamewakataa
Mabalozi wamewakataa
Mmebaki wajane

Hujui kuwa balozi ni mtu mdogo sana?

Kwamba balozi kaenda hawa si huwa wanakuwa summoned hata na kina wapara magamba tu?

Kwa hiyo kwa akili yenu mlikuwa na wakuu wa nchi 53?

Basi kumbe na Uhuru alikuwapo.
 
Hujui kuwa balozi ni mtu mdogo sana?

Kwamba balozi kaenda hawa si huwa wanakuwa summoned hata na kina wapara magamba tu?

Kwa hiyo kwa akili yenu mlikuwa na wakuu wa nchi 53?

Basi kumbe na Uhuru alikuwapo.
Sasa mbona hili takataka lenu linalialia huko mitandaoni hovyo na kumtishia maisha balozi wa watu?

Hivi ninyi mnafikiri kuna kiongozi dunia hii ataacha kuongea na Magufuli aje pale kwenye zile mbavu za mbwa ufipa jalalani kumtafuta mbowe? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

You no body saivi, mlikua mnadeserve kidogo kipindi cha campaign, saivi ni proved failures typically

 
hata mimi ningalikuwa Uhuru singehudhuria
ushawahi kumwona Maghufuli kwenye sherehe yeyote hapa Kenya?
 
Alimtuma Waziri wake amuwakilishe.

Pia Uhuru anajisikia vibaya kidiplomasia kwa sababu mchi yake imejaribu kuingilia uchaguzi wa Tanzania kwa kuanzisha na kuhost FichuaTanzania.org na Tanzania Election Watch.

Ukiangalia kwa makini hata Kigogo tangu anajisajili twitter ameweka bendera ya Kenya kwenye dp yake kuonyesha allienation baina yake na special unit ya Kenya.

Tanzania hatunaga hiyana anakaribishwa muda wowote
 

Inakaa US Embassy imemgeuka Uhuru amejikuta yeye tu hajakaribishwa!
 
Endelea kushangaa

Sisi tunasonga mbele. In a year to come Tanzania inaenda kuwa economic giant wa East Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…