Kwanini Rais Uhuru hajahudhuria uapishwaji wa Rais Magufuli?

Nadhani umechanganya madesa.

Huu uzi subject na contents zake hata ume mind kuzielewa?

Wapi pana neno balozi? Kwenye uzi huu?

Mbona mnajidhalilisha bila sababu jombi?

Kama unataka kujadili kuhusu mabalozi anzisha uzi wako wenye mada hiyo.
Ukiwa na mashiko tutachangia.

But so far to tell you the truth you keep on writing out of point and very typical utopolo!
 
Hahahaha kwanini unaogopa kuniquote kwenye ile ID yako nyingine mpaka unajificha kwenye hii nyingine?

Una agenda gani? πŸ€”
 
Inakaa US Embassy imemgeuka Uhuru amejikuta yeye tu hajakaribishwa!
Nchi ya Kenya ndio isahau kabisa uhusiano mzuri na Tanzania, kuwa piga u-turn ile delegates yao ilikua na maana kubwa sana, nimepata mitandaoni kama kawaida crying babies wanamnanga Magufuli eti kwanini hakumualika uhuru

Wanaforce sana kuwa relevant sehemu ambayo tayari wapo omitted.

Uhusika wao kwenye kutaka Tanzania iingie kwenye machafuko kipindi cha uchaguzi bado tunafikiria tuwajibuje
 
Hahahaha kwanini unaogopa kuniquote kwenye ile ID yako nyingine mpaka unajificha kwenye hii nyingine?

Una agenda gani? πŸ€”

Wewe endelea kudanga. Huna hoja, huna lolote, bure kabisa.

Mwisho umeamua kujitekenya na kujichekesha mwenyewe. Yamekushinda. Loooh!

Hopeless!
 
Wewe endelea kudanga. Huna hoja, huna lolote, bure kabisa.

Mwisho umeamua kujitekenya na kujichekesha mwenyewe. Yamekushinda. Loooh!

Hopeless!
We mkunyaa taarab yote hii ya kishankupe umeitoa wapi? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
We mkunyaa taarab yote hii ya kishankupe umeitoa wapi? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Umeshindwa kuanzisha uzi wa balozi?

Acha sisi tuendelee kupambana na mkoloni mweusi.

Wewe endelea kudanga! Ufanye nini kingine Mr. Delicious wa ukweli?
 
Kigogo huwa ni nani?
 
Inakaa US Embassy imemgeuka Uhuru amejikuta yeye tu hajakaribishwa!
Ingekuwa ni Mike Pompeo au Donald Trump kahudhuria ndio ningemind lakini wachumia tumbo hawa ambassadors wanafuata maagizo ya rais wao au minister of foreign affairs wao. Marekani ana interests fulani Tanzania ambazo anajaribu kuprotect.
 
Hujielewi chama chake kimejijenga kuanzia mashinani, inawanachama zaidi ya milioni 15.sasa huyo lisu angeshindaje.magu kafanya makubwa. Unless huna akili kusema Lisu anauwezo Wa kumshinda magu.alafu wakati magu anajenga nchi huyo lisu huko nchi za nje alafu from no where apate Kura nyingi.
Kashinda Kihalali??!!
My foot.
 
Ingekuwa ni Mike Pompeo au Donald Trump kahudhuria ndio ningemind lakini wachumia tumbo hawa ambassadors wanafuata maagizo ya rais wao au minister of foreign affairs wao. Marekani ana interests fulani Tanzania ambazo anajaribu kuprotect.
Do u listen to urself? hebu soma tena ulichoandika halafu utafute ulichomaanisha!
 
Maagizo ya wana sayansi yamesaidia nini kama mlitii na kufuata approach ya JPM thereafter?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…