Kwanini Ratiba ya Mazishi inabadilika badilika hovyo?

Ila watu jamani!
Nadhani kucompare na vifo vya marais wengine, magufuli amefia madarakani no one expected this.

Ingawa huko wako intelligent people kumbuka ni binadamu na pia yako maridhiano.
Sidhan Kama KWA hili tunahaki ya kuanza kumjudge madam president.
It has been tough, so fast and even with no expectations.
Let's give her time.
 
Kweli kabisa hata mimi niliwaza hiii kitu
 
Bilashaka utakuwa teacher nenda kazini acha uvivu
😂😂😂....nadhan mapumziko yatakua trh 22& 26 j3 na ijumaa.

Ingawa Sasa nao wangetoa tangazo la mapumziko together na hilo la mabadiliko la ratiba...
 
Wangeaga tu makao ya nchi Dodoma na Chato basi, hizi habari zingine mbona ni kurudishana nyuma.

Wajiulize kama Magufuli angeweza kufanya kitu kama hicho.
 
Ni Kuchanganyikiwa au ni Upumbavu wa Waandaaji? Acheni kuwa Wanafiki tafadhali Upuuzi huu haukupaswa Kufanyika kwa Watu kutoka Ikulu na Wanaosaidiwa vyema Kiuratibu na Idara zetu Kuu ( Nyeti ) mbili za Ulinzi na Usalama.
Msigwa juzi mpaka kakumbushwa kutoa tangazo la kuapishwa mama Samia ni dalili moja wapo
 
acha wafu wazike wafu wao, achana na haya ya jiwe. Wacha wafanye wanavyotka na mwili huo. achana na petty issues za dead bodies. He is dad bado shimo la kwako na wanaokuhusu
 
Angalia na ww ulivyokurupuka hapa badala ya siku 14 umeandika 24 hizi ni common human error
 
[emoji23][emoji23][emoji23]....nadhan mapumziko yatakua trh 22& 26 j3 na ijumaa.

Ingawa Sasa nao wangetoa tangazo la mapumziko together na hilo la mabadiliko la ratiba...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mateacher na mastudent wanapenda likizo ndefu balaa
 
mkuu umewai kusafiri na ndege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…