Kwanini RC wa Manyara, Makongoro Nyerere alimpigia saluti ya kijeshi Rais wakati wa kiapo?

Kwanini RC wa Manyara, Makongoro Nyerere alimpigia saluti ya kijeshi Rais wakati wa kiapo?

Sa mbona anajifanyaga chizi au mi ndio huwa simuelewi
Hili ndilo tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania - masaa yote kuwasema sema watu vibaya - ungekuwa walao umepitia hata jeshi la mgambo wala husingemshangaa Makongoro hapo alikuwa ana maanisha nini?? Kwa taarifa yako Makongoro ni Afisa mstaafu wa JWTZ.
 
Unajua nimesemea nini au umejisikia tu kuhorojokoa???
 
Wewe unayejua umetoa somo gani kuwaelimisha wasiojua? Wewe usiye shabiki nini Cha maana au tofauti umeandika? Au Ni majivuno tu ya ujuaji wakati HUNA ujualo! Kosoa halafu onyesha njia!
Samahani ulikuwa unajua kuwa Makongiro ni mwanajeshi!!?? Unajua maana yake hiyo salute/salamu!!?
 
Siyo unafiki. Hiyo ndiyo mbadala wa saluti kama mhusika anayetoa heshima hiyo hajavaa sare ya jeshi. Makongoro ni ofisa mstaafu wa JWTZ katika cheo cha Captain.
Ka staafu lini ?
Maana 1995 alikuwa Mbunge kupitia NCCR
 
Rais nae akikatiza mbele ya IGP na CDF huwa anakunja ngumi na kunyoosha mikono kama alivyokuwa anafanya hayati JPM. Wale makamanda wanamtazama kiaina, nadhani kimoyomoyo watakuwa wanacheka sana.
Mwendazake alikuwa Mshamba sana
 
Hili ndilo tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania - masaa yote kuwasema sema watu vibaya - ungekuwa walao umepitia hata jeshi la mgambo wala husingemshangaa Makongoro hapo alikuwa ana maanisha nini?? Kwa taarifa yako Makongoro ni Afisa mstaafu wa JWTZ.
Ka staafu Lini ?
 
Uko sahihii mkuu Tena baba yake aliwaambia wampange msitari wa mbele
Hamjui kuwa Makongoro ni askari Jeshi? Kapigana vita ya Kagera huyu sio sawa na haya makinda yanalelewa kama mayai hata ubunge yanapata kwa nguvu za baba zao!!
 
Unafahamu utaratibu wa kustaafu jeshi !!?? Au tu utumishi wa umma!!?? Unafikiri ni lazima ifike miaka 60 eti !!??
Nafahamu, kwa Afisa wa jeshi (Kuanzia Second Lieutenant) Lazima isipungue 55
Sasa Bwana Mako ka Staafu 1990 akiwa na umri gani ?
Huyu Msanii hakuwa Mwanajeshi pasee, ni wale waliopelekwa vitani na kurudi
Hutokaa uone akiwa katika Military Uniform
 
Well,er, yes,Kuna matatizo kidogo ya pombe.
Tokea alipoanza kuwa mbunge wa NCCR mpaka leo Mako amepata ajali nne au tano za gari,au zaidi.
Kama hivi amechaguliwa kuwa Mkuu wa Mkoa he will have to focus his mind on the task.
Halafu ule Mkoa wa Manyara ndipo uuipo mgodi wa Mererani.
 
Back
Top Bottom