Wabongo wepes kuhukum bila kuelewa maana ya kitu. Huyo jamaa kwahi kuwa mjeda.Hiyo ni salam ya kijeshi hutolewa pale mhusika anapokuwa hajavaa sare za kijeshi au amevaa sare lakini hajavaa kofia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo wepes kuhukum bila kuelewa maana ya kitu. Huyo jamaa kwahi kuwa mjeda.Hiyo ni salam ya kijeshi hutolewa pale mhusika anapokuwa hajavaa sare za kijeshi au amevaa sare lakini hajavaa kofia
Hili ndilo tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania - masaa yote kuwasema sema watu vibaya - ungekuwa walao umepitia hata jeshi la mgambo wala husingemshangaa Makongoro hapo alikuwa ana maanisha nini?? Kwa taarifa yako Makongoro ni Afisa mstaafu wa JWTZ.Sa mbona anajifanyaga chizi au mi ndio huwa simuelewi
Unajua nimesemea nini au umejisikia tu kuhorojokoa???Hili ndilo tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania - masaa yote kuwasema sema watu vibaya - ungekuwa walao umepitia hata jeshi la mgambo wala husingemshangaa Makongoro hapo alikuwa ana maanisha nini?? Kwa taarifa yako Makongoro ni Afisa mstaafu wa JWTZ.
Samahani ulikuwa unajua kuwa Makongiro ni mwanajeshi!!?? Unajua maana yake hiyo salute/salamu!!?Wewe unayejua umetoa somo gani kuwaelimisha wasiojua? Wewe usiye shabiki nini Cha maana au tofauti umeandika? Au Ni majivuno tu ya ujuaji wakati HUNA ujualo! Kosoa halafu onyesha njia!
Mboni kama amesimamia kucha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ka staafu lini ?Siyo unafiki. Hiyo ndiyo mbadala wa saluti kama mhusika anayetoa heshima hiyo hajavaa sare ya jeshi. Makongoro ni ofisa mstaafu wa JWTZ katika cheo cha Captain.
Mwendazake alikuwa Mshamba sanaRais nae akikatiza mbele ya IGP na CDF huwa anakunja ngumi na kunyoosha mikono kama alivyokuwa anafanya hayati JPM. Wale makamanda wanamtazama kiaina, nadhani kimoyomoyo watakuwa wanacheka sana.
Ka staafu Lini ?Hili ndilo tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania - masaa yote kuwasema sema watu vibaya - ungekuwa walao umepitia hata jeshi la mgambo wala husingemshangaa Makongoro hapo alikuwa ana maanisha nini?? Kwa taarifa yako Makongoro ni Afisa mstaafu wa JWTZ.
Mako alienda Vitani ya Kagera kama Raia wengine waliopelekwa, aliporudi akajifanya kishakuwa MwanajeshiSamahani ulikuwa unajua kuwa Makongiro ni mwanajeshi!!?? Unajua maana yake hiyo salute/salamu!!?
Amestaafu 1990 mzee.Ka staafu lini ?
Maana 1995 alikuwa Mbunge kupitia NCCR
Hamjui kuwa Makongoro ni askari Jeshi? Kapigana vita ya Kagera huyu sio sawa na haya makinda yanalelewa kama mayai hata ubunge yanapata kwa nguvu za baba zao!!
Akiwa na umri gani ?Amestaafu 1990 mzee.
Hakufika huko alistaafu akiwa na cheo cha Kapten Tena akitokea Kikosi Cha mizinga 341 KJLuten General mstaafu huyo.
Unafahamu utaratibu wa kustaafu jeshi !!?? Au tu utumishi wa umma!!?? Unafikiri ni lazima ifike miaka 60 eti !!??Akiwa na umri gani ?
Nafahamu, kwa Afisa wa jeshi (Kuanzia Second Lieutenant) Lazima isipungue 55Unafahamu utaratibu wa kustaafu jeshi !!?? Au tu utumishi wa umma!!?? Unafikiri ni lazima ifike miaka 60 eti !!??
Daaah huyu comedian
CrapMwendazake alikuwa Mshamba sana