Safi sana. Lakini
Chige apunguze hulka ya kuwa na jazba pamoja na panic...
Dogo mimi sina jazba kama mtu ninayejadiliana nae ana-behave!! Tatizo langu mimi ni moja, na nitarejea Jukwaa la Siasa ambako ndiko huwa nakesha!!!
Mimi sikatai always nampa Magu vitasa, but nothing personal!!
Sasa basi, pale jukwaani, kuna
wafuasi wa vyama na
wafuasi wa watu!
Ni nadra sana unikute natoleana povu na Wafuasi wa CCM! Narudia, "Wafuasi wa CCM"! Wanaonikera mimi sio Wafuasi wa CCM bali Wafuasi wa Magu!!! Ukiwa mfuatiliaji mzuri wa siasa ni rahisi sana kufahamu Wafuasi wa CCM na Wafuasi wa Magu!!!
Hawa Wafuasi wa Magu wananikera sana kwa sababu majority hawana agenda na badala yake wanasukumwa na ukabila!!!
Hata kwenye mijadala, hukuti wakitoa hoja za maana! Trust me, kama nakuona unafanya jitihada kuongea kwa hoja hata kama naamini sio hoja ya msingi, katu hutanikera! Na hata ukinikera kwa sababu naona unanisumbua, nitajitahidi kukuvumilia!!
Lakini unakuta boya linaibuka from nowhere, hakuna anachoweza kuandika: "We jamaa unamchukia sana Magufuli"! Wtf! Nimchukie Magufuli kwa sababu zipi!!! Mtu kama huyo lazima nimpe vitasa tu!!
Huyo
TUJITEGEMEE mwenyewe ni mfuasi kindaki kindaki wa CCM na serikali yake!! Kama nimeshawahi kukwaruzana nae basi ni katika ubinadamu wa kawaida kwa sababu sina tatizo na pro-CCM wala pro-govt kwa sababu this's politics!!!
Na wapo
wafuasi kibao wa CCM, ingawaje na wenyewe sometimes wanakera, but I know this's politics!! Majority ya hawa wanapigania chama na Rais wa JMT wakati wafuasi wa JPM wanampigania John wa Kanda ya Ziwa!!
Nitakwaruzana na mfuasi wa kweli wa chama fulani only if amenizingua manake wafuasi wa vyama vya siasa bhana wakati mwingine utadhani mazuzu!!!
Na watu aina hiyo, yaani Wafuasi wa kweli wa CCM/govt ni nadra sana kukuta wakitumia lugha chafu kulinganisha na wafuasi wa Magufuli wanaotokana na maono yale yale ya akina Gwajima "Tumpiganie Msukuma mwenzetu"!
Trust me, mtu wa ina hiyo kwangu ni ADUI ni rahisi sana kukwaruzana nae kwa sababu tayari nina negative perception towards watu wa aina hiyo!!
Turudi upande wako sasa!!
Sometimes we dogo mzinguaji sana... and I know you know it kwamba unazingua! Sema uzuri wake huwa huna jaziba!! Kule Twitter kuna mpuuzi mmoja anajiita Usalama wa Taifa... yule jamaa sijui robot! Kwanza anazingua sana lakini hata umpe vitasa namna gani, jamaa huwa akasiriki, ndo kwanza kesho yake anazidi kuwakera!!!!
Watu aina hiyo huwa hawajijui tu lakini kimsingi ni walemavu!!!!
Anyway, sasa unajua ni wapi unapozingua?!!
Nahisi ukiona uzi wako una mamia ya comments ndo unajiona kama unajaza pesa mfukoni hivi, matokeo yako, utakuta unaanzisha ubishi makusudi ili mradi tu uzi uendelee kuwa active!!!
Anyway, from blogging point of view, hakuna ubaya katika hilo, and it's advisable lakini kwavile najua unafanya makusudi ndo maana usishangae nikikuzingua!!