Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #81
Well said mkuu...Hao mabeberu wanatuzuga tu ila lwao ni moja tu. Tangu lini kuffaar akawa rafiki nasi isipokua kwa maslahi tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well said mkuu...Hao mabeberu wanatuzuga tu ila lwao ni moja tu. Tangu lini kuffaar akawa rafiki nasi isipokua kwa maslahi tu!
Umenena vema mkuu...Kwanini China na Russia wasisimame kidete kumsaidia palestina dhidi ya mayahudi kwa unyama wanaoufanyiwa!!!
Pumbavu weweMagufuli haitaji kupiga kampeni Mkuu hata akikaa ofisini lazima achaguliwe kwa kishindo Kazi zake zinambeba.
Kenge weweAjenda ya upinzani ni kupinga maendeleo na kumtukana Rais Magufuli.
Mpuuzi weweKama miaka mitano tu Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?
very true...Je ingetokea palestina ndio awafanyie unyama huo wayahudi unadhani nini kingetokea, dunia isingekaa kimya!!
Soma zaidi kuhusu udhaifu wa jeshi la Urusi baada ya anguko la Soviet.. kwa mfano mwaka 1994-1996 enzi za Yeltsin chenchen war Russia ilitikiswa vilivyo na jihadist wa kichenchen..Hakuna mwaka ambao Russia ilikuwa dhaifu kijeshi ndugu.
*Mwaka 1999 Warusi waliingia kosovo na kuchukua uwanja wa ndege wa kosovo huku majeshi ya Nato nayo yakiwa njiani kwenda kuchukua uwanja wa kosovo.
Majeshi ya Nato yalivyofika karibu na uwanja wa ndege wakakuta tayari Warusi wamechukua uwanja .General wa majeshi ya Nato akamwambia General wa Urusi kuwa vi vizuri mkaondoka na vikosi vyako uwanjani ili kuepusha mtafaruku,General wa Urusi akamwambia General wa Nato kuwa kama mnataka uwanja basi hamna budi kuanzisha vita na Urusi.General wa Nato akapiga simu Kwenye Makao makuu ya Muungano akaeleza kinachoendelea, akaambiwa arudishe majeshi nyuma.
* Mwaka 2008 Warusi walivamia Nchi ya Georgia na kuchukua baadhi ya maeneo ndani ya Georgia.
Sasa ni kipindi gani Warusi walikuwa dhaifu ndugu?
😀😀😀😀Mpuuzi wewe View attachment 1579121
Unachotakiwa kujua ndugu kuwa Vita vya Chechen havikuwa Vita vya kawaida ndugu tofauti na unavyojua...Dzhokhar Dudaye aliyekuwa kiongozi wa waasi wa chechen, alishawahi kuhudumu kama mkuu wa kikosi cha nuclear cha jeshi la sovieti ndani ya nchi ya Estonia na Ukraine , akiwa na cheo cha mega general.....pia alishapewa medali 2 kwa mchacho wake kwenye vita vya Afghanistan.Soma zaidi kuhusu udhaifu wa jeshi la Urusi baada ya anguko la Soviet.. kwa mfano mwaka 1994-1996 enzi za Yeltsin chenchen war Russia ilitikiswa vilivyo na jihadist wa kichenchen..
Hilo lilimchukiza mno V Putin alipoingia miaka ya 99 akaamua kushughulikia wacchen vilivyo but bado hawakuwa katik ubora wa kijeshi Kama ulivyo leo.
Mwaka 2008 Russia waliingia Georgia wakiwa na silaha Kama drone zinazopiga kelele nzito Sana umbali wa karibu km 1 hivyo Basi wakaomba leseni ya kuproduce drone kutoka uyahudi..
Pia Russia walitunguana angani yaani" friendly fire" Mara nyingi zaidi ya walivyotungua ndege za Georgia.
Hata hivyo udhaifu huo kwa miaka ile ulikuwa mkubwa mno kupigana na adui mwenye nguvu nje ya Urusi..
Kwa taarifA zaidi Soma kuhusu weakness za jeshi la Urusi katika Georgia na chenchen
Hili hasa ndilo jibu la Swali la mleta mada!Lakini kwa upande mwingine, Russia na Iraq hawakuwa Maswahib worth to risk kwa sababu, we all know, miaka michache tu nyuma Iraq alikuwa anapigana vita ya CIA dhidi ya Iran!
Hii Nchi imetoka mbali yale mawazo na ndoto za Nyerere yanaanza kutekelezwa na Rais Magufuli.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Eti ndugu zangu watanzania (wale tu mnaofuatilia siasa za kimataifa kwa muda mrefu kama mimi);
Kwanini Russia ilishindwa kumtetea Saddam Hussein wa Iraq ila kwa sasa inamkingia kifua Bashar Al-Assad wa Syria ilhali nchi hizi mbili zinapakana?
Tafadhali tazama ramani ndogo ya nchi za mashariki ya kati hapo chini;
View attachment 1575807
Ndio tuseme kuna unafiki unaendelea ndani ya baraza la usalama la umoja wa mataifa (UNSC)?
Russia na China walisusia kupiga kura turufu (VETO) jambo lilipelekea wanachama wengine wa baraza la usalama la umoja huo (U.S.A, France and the United Kingdom) kuridhia kwa pamoja uvamizi dhini wa Saddam Hussein wa Iraq. Kwanini Russia hao hao hawakususia kupiga kura ya VETO dhidi ya Syria ya Assad?
NB: Ninaomba mtu asije akaongelea ama kuuliza kwanini Russia haikumtetea Muammar Gadaffi kwa maana Iraq na Libya ni mbali sana ukilinganisha Iraq na Syria.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
[emoji260][emoji260][emoji260][emoji260]Hii Nchi imetoka mbali yale mawazo na ndoto za Nyerere yanaanza kutekelezwa na Rais Magufuli.
Huyo jamaa Chige anajitahidi sana katika kufafanuaHili hasa ndilo jibu la Swali la mleta mada!
Mwalimu wangu huyo hapa JF. Ingawa kuna kipindi nina mkorofisha...kwa misimamo yangu ...Ha ha haaa!Huyo jamaa Chige anajitahidi sana katika kufafanua
Dogo mimi sina jazba kama mtu ninayejadiliana nae ana-behave!! Tatizo langu mimi ni moja, na nitarejea Jukwaa la Siasa ambako ndiko huwa nakesha!!!Safi sana. Lakini Chige apunguze hulka ya kuwa na jazba pamoja na panic...
Ha ha ha haa ! Mkuu, nitake radhi ! Mimi ni pro- watanzania, waafrika, na watu wote wenye kuthamini ubinadamu ulimwenguni. Tena mimi ni pro- mtaka ustawi wa maendeleo chanya wa watu hao niliowataja. Ila kama kuwa mfuasi kindaki ndaki wa CCM na serikali yake kuna maanisha msimamo wangu huo wa ' pro-', hapo sina namna nakubaliana na wewe.Huyo @TUJITEGEMEE mwenyewe ni mfuasi kindaki kindaki wa CCM na serikali yake!! Kama nimeshawahi kukwaruzana nae basi ni katika ubinadamu wa kawaida kwa sababu sina tatizo na pro-CCM wala pro-govt kwa sababu this's politics!!!