Kwanini Russia ilishindwa kumtetea Saddam Hussein wa Iraq ila sasa inamkingia kifua Bashar Al-Assad wa Syria?

Kwanini Russia ilishindwa kumtetea Saddam Hussein wa Iraq ila sasa inamkingia kifua Bashar Al-Assad wa Syria?

Kama miaka mitano tu Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?
Mpuuzi wewe
tapatalk_1599939312661.jpeg
 
Hakuna mwaka ambao Russia ilikuwa dhaifu kijeshi ndugu.

*Mwaka 1999 Warusi waliingia kosovo na kuchukua uwanja wa ndege wa kosovo huku majeshi ya Nato nayo yakiwa njiani kwenda kuchukua uwanja wa kosovo.

Majeshi ya Nato yalivyofika karibu na uwanja wa ndege wakakuta tayari Warusi wamechukua uwanja .General wa majeshi ya Nato akamwambia General wa Urusi kuwa vi vizuri mkaondoka na vikosi vyako uwanjani ili kuepusha mtafaruku,General wa Urusi akamwambia General wa Nato kuwa kama mnataka uwanja basi hamna budi kuanzisha vita na Urusi.General wa Nato akapiga simu Kwenye Makao makuu ya Muungano akaeleza kinachoendelea, akaambiwa arudishe majeshi nyuma.

* Mwaka 2008 Warusi walivamia Nchi ya Georgia na kuchukua baadhi ya maeneo ndani ya Georgia.

Sasa ni kipindi gani Warusi walikuwa dhaifu ndugu?
Soma zaidi kuhusu udhaifu wa jeshi la Urusi baada ya anguko la Soviet.. kwa mfano mwaka 1994-1996 enzi za Yeltsin chenchen war Russia ilitikiswa vilivyo na jihadist wa kichenchen..
Hilo lilimchukiza mno V Putin alipoingia miaka ya 99 akaamua kushughulikia wacchen vilivyo but bado hawakuwa katik ubora wa kijeshi Kama ulivyo leo.
Mwaka 2008 Russia waliingia Georgia wakiwa na silaha Kama drone zinazopiga kelele nzito Sana umbali wa karibu km 1 hivyo Basi wakaomba leseni ya kuproduce drone kutoka uyahudi..
Pia Russia walitunguana angani yaani" friendly fire" Mara nyingi zaidi ya walivyotungua ndege za Georgia.
Hata hivyo udhaifu huo kwa miaka ile ulikuwa mkubwa mno kupigana na adui mwenye nguvu nje ya Urusi..
Kwa taarifA zaidi Soma kuhusu weakness za jeshi la Urusi katika Georgia na chenchen
 
Kimsingi Hawa wenzetu vita zao zote ni vita za kimaslahi kiuchumi.Ukiona wako kimya maanake hawana maslahi hapo.
Mfano Marekani Hana rafiki wa kudumu Bali ana maslahi ya kudumu.
 
Rais Magufuli anafanya kazi kubwa sana mzalendo huyu.
 
Soma zaidi kuhusu udhaifu wa jeshi la Urusi baada ya anguko la Soviet.. kwa mfano mwaka 1994-1996 enzi za Yeltsin chenchen war Russia ilitikiswa vilivyo na jihadist wa kichenchen..
Hilo lilimchukiza mno V Putin alipoingia miaka ya 99 akaamua kushughulikia wacchen vilivyo but bado hawakuwa katik ubora wa kijeshi Kama ulivyo leo.
Mwaka 2008 Russia waliingia Georgia wakiwa na silaha Kama drone zinazopiga kelele nzito Sana umbali wa karibu km 1 hivyo Basi wakaomba leseni ya kuproduce drone kutoka uyahudi..
Pia Russia walitunguana angani yaani" friendly fire" Mara nyingi zaidi ya walivyotungua ndege za Georgia.
Hata hivyo udhaifu huo kwa miaka ile ulikuwa mkubwa mno kupigana na adui mwenye nguvu nje ya Urusi..
Kwa taarifA zaidi Soma kuhusu weakness za jeshi la Urusi katika Georgia na chenchen
Unachotakiwa kujua ndugu kuwa Vita vya Chechen havikuwa Vita vya kawaida ndugu tofauti na unavyojua...Dzhokhar Dudaye aliyekuwa kiongozi wa waasi wa chechen, alishawahi kuhudumu kama mkuu wa kikosi cha nuclear cha jeshi la sovieti ndani ya nchi ya Estonia na Ukraine , akiwa na cheo cha mega general.....pia alishapewa medali 2 kwa mchacho wake kwenye vita vya Afghanistan.

Pia aliyekuwa waziri wa ulinzi wa Urusi alikuwa rafiki mkubwa sana wa bwana Dzhokhar Dudaye,hii ikapelekea waasi wa chechna kuwa na nguvu kupita maelezo.
Pia viongozi waliyopelekwa kwa ajili ya vita vya chechen nao walifanya makosa mengi kama yale yaliyotokea kwenye winter war kati ya Warusi na jeshi la Finland.

Makosa kama haya ayakufanya Warusi kuwa dhaifu ndugu.
 
CHADEMA Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Eti ndugu zangu watanzania (wale tu mnaofuatilia siasa za kimataifa kwa muda mrefu kama mimi);

Kwanini Russia ilishindwa kumtetea Saddam Hussein wa Iraq ila kwa sasa inamkingia kifua Bashar Al-Assad wa Syria ilhali nchi hizi mbili zinapakana?

Tafadhali tazama ramani ndogo ya nchi za mashariki ya kati hapo chini;

View attachment 1575807

Ndio tuseme kuna unafiki unaendelea ndani ya baraza la usalama la umoja wa mataifa (UNSC)?

Russia na China walisusia kupiga kura turufu (VETO) jambo lilipelekea wanachama wengine wa baraza la usalama la umoja huo (U.S.A, France and the United Kingdom) kuridhia kwa pamoja uvamizi dhini wa Saddam Hussein wa Iraq. Kwanini Russia hao hao hawakususia kupiga kura ya VETO dhidi ya Syria ya Assad?

NB: Ninaomba mtu asije akaongelea ama kuuliza kwanini Russia haikumtetea Muammar Gadaffi kwa maana Iraq na Libya ni mbali sana ukilinganisha Iraq na Syria.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Hii Nchi imetoka mbali yale mawazo na ndoto za Nyerere yanaanza kutekelezwa na Rais Magufuli.
 
Safi sana. Lakini Chige apunguze hulka ya kuwa na jazba pamoja na panic...
Dogo mimi sina jazba kama mtu ninayejadiliana nae ana-behave!! Tatizo langu mimi ni moja, na nitarejea Jukwaa la Siasa ambako ndiko huwa nakesha!!!

Mimi sikatai always nampa Magu vitasa, but nothing personal!!

Sasa basi, pale jukwaani, kuna wafuasi wa vyama na wafuasi wa watu!

Ni nadra sana unikute natoleana povu na Wafuasi wa CCM! Narudia, "Wafuasi wa CCM"! Wanaonikera mimi sio Wafuasi wa CCM bali Wafuasi wa Magu!!! Ukiwa mfuatiliaji mzuri wa siasa ni rahisi sana kufahamu Wafuasi wa CCM na Wafuasi wa Magu!!!

Hawa Wafuasi wa Magu wananikera sana kwa sababu majority hawana agenda na badala yake wanasukumwa na ukabila!!!

Hata kwenye mijadala, hukuti wakitoa hoja za maana! Trust me, kama nakuona unafanya jitihada kuongea kwa hoja hata kama naamini sio hoja ya msingi, katu hutanikera! Na hata ukinikera kwa sababu naona unanisumbua, nitajitahidi kukuvumilia!!

Lakini unakuta boya linaibuka from nowhere, hakuna anachoweza kuandika: "We jamaa unamchukia sana Magufuli"! Wtf! Nimchukie Magufuli kwa sababu zipi!!! Mtu kama huyo lazima nimpe vitasa tu!!

Huyo TUJITEGEMEE mwenyewe ni mfuasi kindaki kindaki wa CCM na serikali yake!! Kama nimeshawahi kukwaruzana nae basi ni katika ubinadamu wa kawaida kwa sababu sina tatizo na pro-CCM wala pro-govt kwa sababu this's politics!!!

Na wapo wafuasi kibao wa CCM, ingawaje na wenyewe sometimes wanakera, but I know this's politics!! Majority ya hawa wanapigania chama na Rais wa JMT wakati wafuasi wa JPM wanampigania John wa Kanda ya Ziwa!!

Nitakwaruzana na mfuasi wa kweli wa chama fulani only if amenizingua manake wafuasi wa vyama vya siasa bhana wakati mwingine utadhani mazuzu!!!

Na watu aina hiyo, yaani Wafuasi wa kweli wa CCM/govt ni nadra sana kukuta wakitumia lugha chafu kulinganisha na wafuasi wa Magufuli wanaotokana na maono yale yale ya akina Gwajima "Tumpiganie Msukuma mwenzetu"!

Trust me, mtu wa ina hiyo kwangu ni ADUI ni rahisi sana kukwaruzana nae kwa sababu tayari nina negative perception towards watu wa aina hiyo!!

Turudi upande wako sasa!!

Sometimes we dogo mzinguaji sana... and I know you know it kwamba unazingua! Sema uzuri wake huwa huna jaziba!! Kule Twitter kuna mpuuzi mmoja anajiita Usalama wa Taifa... yule jamaa sijui robot! Kwanza anazingua sana lakini hata umpe vitasa namna gani, jamaa huwa akasiriki, ndo kwanza kesho yake anazidi kuwakera!!!!

Watu aina hiyo huwa hawajijui tu lakini kimsingi ni walemavu!!!!

Anyway, sasa unajua ni wapi unapozingua?!!

Nahisi ukiona uzi wako una mamia ya comments ndo unajiona kama unajaza pesa mfukoni hivi, matokeo yako, utakuta unaanzisha ubishi makusudi ili mradi tu uzi uendelee kuwa active!!!

Anyway, from blogging point of view, hakuna ubaya katika hilo, and it's advisable lakini kwavile najua unafanya makusudi ndo maana usishangae nikikuzingua!!
 
Huyo @TUJITEGEMEE mwenyewe ni mfuasi kindaki kindaki wa CCM na serikali yake!! Kama nimeshawahi kukwaruzana nae basi ni katika ubinadamu wa kawaida kwa sababu sina tatizo na pro-CCM wala pro-govt kwa sababu this's politics!!!
Ha ha ha haa ! Mkuu, nitake radhi ! Mimi ni pro- watanzania, waafrika, na watu wote wenye kuthamini ubinadamu ulimwenguni. Tena mimi ni pro- mtaka ustawi wa maendeleo chanya wa watu hao niliowataja. Ila kama kuwa mfuasi kindaki ndaki wa CCM na serikali yake kuna maanisha msimamo wangu huo wa ' pro-', hapo sina namna nakubaliana na wewe.

Tuko pamoja, Mkuu.
 
Back
Top Bottom