Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Ndege wanaofanana huruka pamojaJoseph Gwajima
Luhanga Mpina
Hersi Said
Arafat Haji
Byabato
Mpango
Majaliwa
Polepole
Lissu
Heche
Butiku
Warioba
Na wengine kibao ambao wanampa challenge hataki kufanya nao kazi why?
Huyu mama anawataka wakina Babu Tale na Msukuma!
Sasa namwambia atadondoka nao mwaka huu Kama hakuna reform hakuna uchaguzi
Na reform zikifanyika ni nyumbani!!
No reform no Election