mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Huyo mange atangaze ya huo USA ndiko aliko, ya huku awachie wa huku. Atwambie leo marekani wamekufa wa ngapi na watu weusi hawabaguliwi tena?
Wanaweka picha, hata hizo huzioni na wanaongea kiswahili and ni adobe?Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !
Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!
mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!
Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.
Najiuliza usahihi wa hizi taarifa mbona Serikali ipo kimya. Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.
Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,
Natumaini Serikali haijalala, ukimya huu unatia mashaka.
Tunahitaji ukweli Sasa!
Inategemea kama alikuwa na Corona au hakuwa nayo. Mama wa best friend wangu kazikwa Dodoma kijijini na watu wengi tu na hawakupewa masharti
Si huu ndio ujinga ninaousema!Angalia Zama za mwalimu na Sasa dunia imepitia changes nyingi mfano nchini mwetu watu walikuwa hawaruhusiwi kuwa na tv, radio moja kila taarifa zinazotolewa za mrengo flani utalinganisha na kipindi hichi Cha globalization kweli?
Pia kuhoji kitu si dhambi dunia hii watu wasingehoji na kwenda beyond tusingefikia hapa kitechnology, science na kiuchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja aendelee kuwadanganya kama mwanzo then akiona amepata followers wa kutoka anaingia gizani tena!! Kigogo2014 yeye yuko kazini kama kawaida yake! wenye akili timamu tulishamshitukia tayari.Mange Karudi kwa kasi ya 5G
Uongo huwa na nguvu pindi taarifa sahihi zinapofichwa,Hakuna maana ya kuficha takwimu,Hali halisi ni mbaya ,tusificheKuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !
Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!
mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!
Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.
Najiuliza usahihi wa hizi taarifa mbona Serikali ipo kimya. Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.
Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,
Natumaini Serikali haijalala, ukimya huu unatia mashaka.
Tunahitaji ukweli Sasa!
Aliweza Mwalimu sababu hakukuwa na social media alipozifungia akili za watu kwenye box.Alichokitaka ndicho kilichoandikwaSerikali inafunika jua kwa ungo, wacha watu wenye akili waishtue serikali kuwa haiwezi kudanganya watu wote kwa wakati wote
Wanapima wenyewe ipi pumba ipi mcheleNgoja aendelee kuwadanganya kama mwanzo then akiona amepata followers wa kutoka anaingia gizani tena!! Kigogo2014 yeye yuko kazini kama kawaida yake! wenye akili timamu tulishamshitukia tayari.
Aisee kuwabishia Mange na Kigogo inabidi ujipange!Ngoja aendelee kuwadanganya kama mwanzo then akiona amepata followers wa kutoka anaingia gizani tena!! Kigogo2014 yeye yuko kazini kama kawaida yake! wenye akili timamu tulishamshitukia tayari.
Si huu ndio ujinga ninaousema!
Kutokuwa na TV kuna sababu zake sio kwamba watu hawakuruhusiwa ili wasipate habari, hili hulijui au unapindisha maksudi.
Ni wapi ilipotangazwa familia iwe na radio moja. Ilikatazwa kuwa radio nyingi kwenye familia?
Halafu unataka tulinganishe wakati huo na sasa; bila shaka ungependa pia kusema Mwalimu alizuia internet isiwepo au alizuia hiyo 'globalization'? Wewe vipi una akili sawa?
Mwalimu Nyerere alizuia dunia isihoji ili wakati huo pasiwepo na internet na aina nyingine za kupashana habari...' mbona umeghafirika hivi mkuu 'canha' ni masibu gani yamekupata huko uliko toka mwanzo nilipokusoma hapa JF?
Naona nikuache, kwa sababu huna uwezo wa kuelewa ninachokueleza.Wewe ndo umechaganya madesa hapo nadhani hukuelewaa what I meant viti vingi Sana vilikuwa wanadhibitiwa na serikali hasa kipi kionyweshe vingine havionyweshi, pia fikra za mwenyekiti ndio ziliheshimiwa na vingi vilipigwa marufuku baada ya uhuru, ujue zamani kuwa na gari mpaka upate ruhusa ikulu, tv zenyewe ilikuwa ni anasa,
Hyo ya Nyerere na internet kipindi hicho almost dunia ilikuwa haijaanza kutumia.
Soma vizuri hiatoria kuanzia Uhuru Hadi tulipofikia Leo na mabadiliko yake au ulitaka tuendelee ka North korea
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona nikuache, kwa sababu huna uwezo wa kuelewa ninachokueleza.
Mfano mzuri ni huo wa 'internet' nilivyokupa bado hukuelewa maana yake hapo.
TV kutokuwepo wakati huo wewe unaona nongwa sana kwa vile huelewi 'priority' ilikuwa wapi kwa kuangalia uwezo uliokuwepo wakati huo; tuwe na TV ya watu hamsini kujifurahisha au tusomeshe watoto tupate wataalam wetu kwenye taifa letu.
Unaposhindwa kutenganisha umhimu wa haya inaonekana wazi kwamba kuna ufinyu fulani katika uelewa wa maswala.
Rudi kwenye mistari uliyoandika mwanzo katika bandiko nililoku'quote'; pengine sasa utaona ujinga uliouandika hapo baada ya kukufunua akili.
Zama hizo kulikuwa hakuna "Satellite tv" , sasa Mwalimu yake alikuwa anaangalia Tv ya wapi? Ya Zanzibar haikuwa inafika Dar.hyo ya tv ilikuwa mfano wa vitu vingi vilivozuiwa tu kwenye nchi za kijamaa ku control masses.