Kwanini Serikali inaacha uvumi unaondelea kwenye mitandao uendelee?

Kwanini Serikali inaacha uvumi unaondelea kwenye mitandao uendelee?

Watanzania tumekuwa watu wa ajabu sana.
Tunaacha kusikiliza vyombo husika tumekimbilia kuwasikiliza mange na kigogo wanasema nini?.
[emoji16][emoji16][emoji16].
"Hali mbaya kweli kweli".
Ukimuuliza huyo mtu kwani kuna wagonjwa wangapi na waliokufa ni wangapi anakutukana.
Sasa Hali mbaya vipi wakati haujui hata wagonjwa ni wangapi.
Huyo mange atangaze ya huo USA ndiko aliko, ya huku awachie wa huku. Atwambie leo marekani wamekufa wa ngapi na watu weusi hawabaguliwi tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !

Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!

mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!

Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.

Najiuliza usahihi wa hizi taarifa mbona Serikali ipo kimya. Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.

Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,

Natumaini Serikali haijalala, ukimya huu unatia mashaka.

Tunahitaji ukweli Sasa!
Wanaweka picha, hata hizo huzioni na wanaongea kiswahili and ni adobe?
 
Kila ugonjwa na kifo sasa hivi imekuwa ni corona tu maana siku hizi magonjwa mengine yote yamesimama na kuiachia corona tu.

Mwaka jana watu waliumwa sana na wengine tulizika wapendwa wetu ila kwa kuwa hakukuwa na mastory ya corona basi haikuwa hatari ila tangu ziingie story za corona basi imekuwa balaa.
 
Sasa kama ni ukweli unataka wafanyaje? Wewe ndio unauita uzushi. Ila wao wanaona ni ukweli na ndio maana wapo kimya...
 
Hawana namna ya kuzzungumuzia ninajaribu kuangalia uwasilishaji wa habari wa mange kimambi na kigogo unaushahid wa kutosha. Akisema watu wanazikwa usiku utaona watu wanashushwa kwenye magar na na kuzikwa akisema razima atoe ushaid sasa serikali itakanusha vitu vilivyo wazi namna hii.

Na ninasema kwasasa mange na kigogo ninawaamini.kuliko.hata cnn. Na ndo tegemeo letu wanyonge. Sasa habrari nzur huwez ipata kutoka chanzo cha selikali yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 1994 Rwanda walikuwa wakifa watu kila kunapo kucha,redio na vyanzo vya habari vyote vilikuwa kimya
Serikali ilipo kuwa ikiulizwa ilikuwa ikijibu hali ni shwali kabisa na hakuna mauaji yoyote ila ni waasi tu wanao sumbua na wao wanazibitiwa.

Watu walikufa vibaya ,maiti barabarani zilizagaa ,nyumba zilikimbiwa ,mito ilikuwa ikisomba maiti za watu,kikubwa vifo vilikuwa vya kutisha anga lilikuwa chafu kupita maelezo ila ukweli ulifichwa mana wa kutoa taarifa hakuwepo,wote wenye dhamana hiyo walikuwa wakifurahia mauaji.

katika hali ya taharuki usitegemee sana serikali ikupe taarifa sahihi wakati wote au ujuzwe kila jambo kwa askari,serikali imesema kuna ugonjwa hivyo ni wajibu wa kila mmoja kuchukua tahadhari ikiwa ni pamoja na kujikinga.Taarifa za kina kigogo zinaweza kuwa ni za kweli au ni za uongo kutokana na nafasi walizo nazo .

Ila ukiwa unakula wali uking'ata jiwe usishangae mana huwa inatokea,ila wali ni ule ule.Chukua tahadhari tatizo la upumuaji linaua watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea kama alikuwa na Corona au hakuwa nayo. Mama wa best friend wangu kazikwa Dodoma kijijini na watu wengi tu na hawakupewa masharti

Ukitaka kuzika na watu wengi nduguyo peleka kijijini akafie huko, huko bado nguvu ya uzibiti ni ndogo. Kwa mjini ni ngumu, hata mmi niliend msiba kuko bado watu wanabembelezwa kuchukua tahadhali.
 
Angalia Zama za mwalimu na Sasa dunia imepitia changes nyingi mfano nchini mwetu watu walikuwa hawaruhusiwi kuwa na tv, radio moja kila taarifa zinazotolewa za mrengo flani utalinganisha na kipindi hichi Cha globalization kweli?
Pia kuhoji kitu si dhambi dunia hii watu wasingehoji na kwenda beyond tusingefikia hapa kitechnology, science na kiuchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si huu ndio ujinga ninaousema!

Kutokuwa na TV kuna sababu zake sio kwamba watu hawakuruhusiwa ili wasipate habari, hili hulijui au unapindisha maksudi.
Ni wapi ilipotangazwa familia iwe na radio moja. Ilikatazwa kuwa radio nyingi kwenye familia?

Halafu unataka tulinganishe wakati huo na sasa; bila shaka ungependa pia kusema Mwalimu alizuia internet isiwepo au alizuia hiyo 'globalization'? Wewe vipi una akili sawa?
Mwalimu Nyerere alizuia dunia isihoji ili wakati huo pasiwepo na internet na aina nyingine za kupashana habari...' mbona umeghafirika hivi mkuu 'canha' ni masibu gani yamekupata huko uliko toka mwanzo nilipokusoma hapa JF?
 
Leo wakili mmoja huko Arusha kakamatwa kwa kuleta uzushi
 
Mange Karudi kwa kasi ya 5G
Ngoja aendelee kuwadanganya kama mwanzo then akiona amepata followers wa kutoka anaingia gizani tena!! Kigogo2014 yeye yuko kazini kama kawaida yake! wenye akili timamu tulishamshitukia tayari.
 
Kuna taarifa zinatolewa na watu wawili huko INSTAGRAM kuhusu mfululizo wa vifo vinavyosabbishwa na Covidn19...watu Hawa Ni Mange Kimambi na Ki.gogo !

Taarifa hizi zinatisha na kwa mujibu wa wachangiaji Hawa watu wanapelekewa na Watanzania wenzetu!
Hali inatisha na kuogofya ...!

mfano jioni hii Kigogo ameleta picha ya mtu ameanguka barabarani Moshi mjini.Akaongeza kuwa Casualty Depart.Tumbi imefungwa baada ya madaktri 3 na nesi 4 kuaga Dunia!

Jana na juzi waliposti mazishi ya usiku Dar.

Najiuliza usahihi wa hizi taarifa mbona Serikali ipo kimya. Ni kitu gani hiki,hizi Watanzania wote wangekuwa Ni watumiaji wa hii mitandao Hali ingekuwaje.

Hawa watu Wana maelfu ya wafuasi ,hizi taarifa zikiachwa hivihivi bila kuzungumziwa watu wataziamini.,

Natumaini Serikali haijalala, ukimya huu unatia mashaka.

Tunahitaji ukweli Sasa!
Uongo huwa na nguvu pindi taarifa sahihi zinapofichwa,Hakuna maana ya kuficha takwimu,Hali halisi ni mbaya ,tusifiche
 
Serikali inafunika jua kwa ungo, wacha watu wenye akili waishtue serikali kuwa haiwezi kudanganya watu wote kwa wakati wote
Aliweza Mwalimu sababu hakukuwa na social media alipozifungia akili za watu kwenye box.Alichokitaka ndicho kilichoandikwa
 
Ngoja aendelee kuwadanganya kama mwanzo then akiona amepata followers wa kutoka anaingia gizani tena!! Kigogo2014 yeye yuko kazini kama kawaida yake! wenye akili timamu tulishamshitukia tayari.
Wanapima wenyewe ipi pumba ipi mchele
 
Ngoja aendelee kuwadanganya kama mwanzo then akiona amepata followers wa kutoka anaingia gizani tena!! Kigogo2014 yeye yuko kazini kama kawaida yake! wenye akili timamu tulishamshitukia tayari.
Aisee kuwabishia Mange na Kigogo inabidi ujipange!
 
Wewe ndo umechaganya madesa hapo nadhani hukuelewaa what I meant viti vingi Sana vilikuwa wanadhibitiwa na serikali hasa kipi kionyweshe vingine havionyweshi, pia fikra za mwenyekiti ndio ziliheshimiwa na vingi vilipigwa marufuku baada ya uhuru, ujue zamani kuwa na gari mpaka upate ruhusa ikulu, tv zenyewe ilikuwa ni anasa,
Hyo ya Nyerere na internet kipindi hicho almost dunia ilikuwa haijaanza kutumia.
Soma vizuri hiatoria kuanzia Uhuru Hadi tulipofikia Leo na mabadiliko yake au ulitaka tuendelee ka North korea
Si huu ndio ujinga ninaousema!

Kutokuwa na TV kuna sababu zake sio kwamba watu hawakuruhusiwa ili wasipate habari, hili hulijui au unapindisha maksudi.
Ni wapi ilipotangazwa familia iwe na radio moja. Ilikatazwa kuwa radio nyingi kwenye familia?

Halafu unataka tulinganishe wakati huo na sasa; bila shaka ungependa pia kusema Mwalimu alizuia internet isiwepo au alizuia hiyo 'globalization'? Wewe vipi una akili sawa?

Mwalimu Nyerere alizuia dunia isihoji ili wakati huo pasiwepo na internet na aina nyingine za kupashana habari...' mbona umeghafirika hivi mkuu 'canha' ni masibu gani yamekupata huko uliko toka mwanzo nilipokusoma hapa JF?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cariha kwa hili la Mwalimu wengi wenu mmelishwa uongo na mahasimu wa Mwalimu. Kama umemsoma vizuri Kalamu1 hoja yake ni kwamba maelezo yako hayako sahihi.

Anadhani huujui uwezo wa Mwalimu. Unajua Mwalimu aliweza kuisimamisha dunia mara kadhaa wakati anahutubia hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa? Unajua kwamba Margaret Thatcher alisalimu Amri mbele ya Mwalimu kuhusu suala la Makaburu wa Afrika ya kusini kutengwa kwenye Jumuiya ya madola?

Unaujua mchango wa Mwalimu kwenye kuchagiza China kurudishiwa Kiti chake kwenye baraza la Kudumu la umoja wa Mataifa? Huko kote walikubaliana na hoja zake kwa kuwa tu walikuwa hawana Tv ama kulazimishwa kukubaliana na Mwalimu?
 
Wewe ndo umechaganya madesa hapo nadhani hukuelewaa what I meant viti vingi Sana vilikuwa wanadhibitiwa na serikali hasa kipi kionyweshe vingine havionyweshi, pia fikra za mwenyekiti ndio ziliheshimiwa na vingi vilipigwa marufuku baada ya uhuru, ujue zamani kuwa na gari mpaka upate ruhusa ikulu, tv zenyewe ilikuwa ni anasa,
Hyo ya Nyerere na internet kipindi hicho almost dunia ilikuwa haijaanza kutumia.
Soma vizuri hiatoria kuanzia Uhuru Hadi tulipofikia Leo na mabadiliko yake au ulitaka tuendelee ka North korea

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona nikuache, kwa sababu huna uwezo wa kuelewa ninachokueleza.
Mfano mzuri ni huo wa 'internet' nilivyokupa bado hukuelewa maana yake hapo.

TV kutokuwepo wakati huo wewe unaona nongwa sana kwa vile huelewi 'priority' ilikuwa wapi kwa kuangalia uwezo uliokuwepo wakati huo; tuwe na TV ya watu hamsini kujifurahisha au tusomeshe watoto tupate wataalam wetu kwenye taifa letu.

Unaposhindwa kutenganisha umhimu wa haya inaonekana wazi kwamba kuna ufinyu fulani katika uelewa wa maswala.

Rudi kwenye mistari uliyoandika mwanzo katika bandiko nililoku'quote'; pengine sasa utaona ujinga uliouandika hapo baada ya kukufunua akili.
 
Hyo ilikuwa opinion yangu sio Sheria pia kuamini eti watu kutumia tv kungefanya watu wasiende shule Ina relate vipi na maendeleo au ndo kushikiwa akili na watu wachache majority wawe mbumbumbu, hyo ya tv ilikuwa mfano wa vitu vingi vilivozuiwa tu kwenye nchi za kijamaa ku control masses.
Naona nikuache, kwa sababu huna uwezo wa kuelewa ninachokueleza.
Mfano mzuri ni huo wa 'internet' nilivyokupa bado hukuelewa maana yake hapo.

TV kutokuwepo wakati huo wewe unaona nongwa sana kwa vile huelewi 'priority' ilikuwa wapi kwa kuangalia uwezo uliokuwepo wakati huo; tuwe na TV ya watu hamsini kujifurahisha au tusomeshe watoto tupate wataalam wetu kwenye taifa letu.

Unaposhindwa kutenganisha umhimu wa haya inaonekana wazi kwamba kuna ufinyu fulani katika uelewa wa maswala.

Rudi kwenye mistari uliyoandika mwanzo katika bandiko nililoku'quote'; pengine sasa utaona ujinga uliouandika hapo baada ya kukufunua akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hyo ya tv ilikuwa mfano wa vitu vingi vilivozuiwa tu kwenye nchi za kijamaa ku control masses.
Zama hizo kulikuwa hakuna "Satellite tv" , sasa Mwalimu yake alikuwa anaangalia Tv ya wapi? Ya Zanzibar haikuwa inafika Dar.
 
Back
Top Bottom