Kwanini Shia wanapigwa vita sana na Wasunni kama vile sio Waislamu?

Kitendo cha kukaidi maagizo ya Allah tayari wameshaukana uislam, Muhammad hakujiveka utume bali Allah alimpa utume kupitia Jibril,
Mashia wanasema Jibril alifanya hiyana alitumwa apeleke utume kwa Husseyn (mjukuu wa Mtume) na yeye akampa Muhammad, dhambi ya pili ni kumshuhudia uongo Malaika wa Allah yaan Jibril afanye hiyana ageuze amri ya Mola wake akamsimike Utume mtu ambaye hakupewa amri hiyo? kama haitoshi bado wakamsingizia uovu mkubwa mke wa Mtume bi Aysha, na mengine mengi,

MASHIA sio WAISLAM period.
 
Ugomvi umehamia huku tayari atapasuliwa mtu hapa sio muda mimi nawachora tu nikiwa nimevaa Kanzu yangu hii nilionunua kwa Pesa nyingi
 
Nguzo sita za uislamu ziko kwenye Quran?
 
Nataka
Kujua kuhusu huo ugomvi wao

Mwaga nondo hizo usisahau kunitag
 
Swali langu kwa nini mnawaona washia sio waislamu kwa kutofata hayo, lakini hapo hapo huwa mnasemaga waislamu walikuwepo kabla ya Muhammad?
Iko hivi, mimi sipo hapa kubishana masuala ya DINI nilikuja kumjibu mtoa mada kuhusu swali lake,
Kama umejiandaa kutunisha misuli na kufura noooope, Mariposa yupo sitting room kwake anaangalia movie huku anashushia glass ya wine mdogo mdogo,πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³

SorryπŸ˜ƒ
 
Mkuu unaweza kutupa source ya haya madai dhidi ya Shia uliyoyaweka hapa.

Halafu huu utamaduni wa jibril kumpa utume Muhamad imekaaje? Mbona mitume wengine hawakupewa utume na jibril?

Lakini cha muhimu naomba source ya madai yako dhidi ya Shia nijisomee mwenyewe
 
ACHA UPOTOSHAJI !!!
SHIA WANAMTAMBUA MTUME MUHAMMAD KWA 100%
NYIE MAMLUKI ACHENI MAMBO YA WAISLAM WACHANGIE WAISLAM

Shia Muslims believe that Muhammad is the final messenger of Allah, a core tenet shared with all Muslims. They affirm his prophethood, the divine origin of the Qur'an, and his role in establishing Islam.
Key details regarding this belief include:
  • Fundamental Faith: Shia Muslims testify that "there is no god but Allah and Muhammad is His messenger" as part of their profession of faith, although it may be accompanied by a phrase affirming Ali as the wali of God.
  • Seal of the Prophets: Shia theology firmly considers Prophet Muhammad to be the Khatam an-Nabiyyin or final prophet in the chain of divine guidance.
  • Reverence: Shia Muslims hold a deep reverence for the Prophet Muhammad and his family (Ahl al-Bayt).
  • Follow the Sunnah: Shia Muslims follow the teachings, traditions, and examples (Sunnah) of the Prophet Muhammad.
Differences between Shia and Sunni Muslims regarding the Prophet focus on the succession (Imamate) rather than his role as the messenger
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Hata wewe mariposa

Unaamini huo ujinga !?
 
Hapa anasema washia sio waislamu kwa kutofata hixo nguzo, lakini huwa wanasemaga Adam alikua muislam, sijui alifata nguzo zipi
Nakujibu hii ya mwisho kisha niendelee na starehe yangu,
Uislam umeundwa kwa nguzo 5,
1. Kutoa shahada
2. Kuswali sala 5
3. Kutoa Zaka
4. Kufunga Ramadhani
5. Kuhiji (kwa mwenye uwezo)

Nguzo za IMANI zipo 6
1. Kumuamini Allah
2. Kuamini Malaika wake
3. Kuamini Vitabu vyake
4. Kuamini Mitume yake
5. Kuamini siku ya mwisho
6. Kuamini Qadar/Uwezo wa Allah

Nenda kawasome Mashia vizuuuri nenda kausome Uislam vizuuri hapo ndio utapata jibu kua Mashia ni Waislam ama sio Waislam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…