mhhh...Civics ni somo la lazima kwa kila mwanafunzi kuanzia kidato cha kwanza hadi cha 6, ikiwa na maana kwamba elimu ya uraia ina nafasi kubwa katika maendeleo na maisha ya mhitimu.
Acha kudanganya watu mkuu. Civics inafundisha zaidi ya local issues. Kuna international issues nyingi sana mule kama utapata mwalimu nondo mna-enjoy sana...Elimu hii ya uraia inaelezwa kiutaalam na masomo mengine ya Arts na kidogo kwenye business subjects, civics inabaki kuelezea juu juu tu haki ya mtu kama raia wa nchi husika.
Civics ni GS kwa A-levelmhhh...
Taja hizo issues tuone kama haziko kwa somo lolote...Acha kudanganya watu mkuu. Civics inafundisha zaidi ya local issues mkuu. Usiwadanganye watu...
Ninajua mkuu, lakini hawa wanaopata As za Civics tunawafanyaje kwa maana hawa ndio diplomats wetu...Civics ni GS kwa A-level
Sasa kama zipo katika somo lolote kuna haja gani ya kuwafundisha wadogo zetu kitu kimoja mara mbili?...Taja hizo issues tuone kama haziko kwa somo lolote...
HahahaaCivics ni somo la lazima kwa kila mwanafunzi kuanzia kidato cha kwanza hadi cha 6, ikiwa na maana kwamba elimu ya uraia ina nafasi kubwa katika maendeleo na maisha ya mhitimu.
Elimu hii ya uraia inaelezwa kiutaalam na masomo mengine ya Arts na kidogo kwenye business subjects, civics inabaki kuelezea juu juu tu haki ya mtu kama raia wa nchi husika.
Sasa Ukibobea kwenye Civics ni sawa na kuogelea kwa shallow water kisha ukajipa cheti cha kujua kuogelea
Inaonyesha uko shallow SanaAcha kudanganya watu mkuu. Civics inafundisha zaidi ya local issues. Kuna international issues nyingi sana mule kama utapata mwalimu nondo mna-enjoy sana...
Yap, Civics imeachiwa hizo concepts za juu juu tu pamoja na current issues. Huo umuhimu wake umebebwa na masomo mengineSasa kama zipo katika somo lolote kuna haja gani ya kuwafundisha wadogo zetu kitu kimoja mara mbili?...
Hahaa, Kwamba jamaa alipiga civics A o'level na GS akapiga AInaonyesha uko shallow Sana
Eti unafundishwa local issues
Hujui General studies ya advanced level ndio o level ni civics
Pia somo la civics linahusisha Sana current issues ndio maana wanasisitizwa Sana kusikiliza taarifa ya habari na kusoma magazeti
Il kuwa up to date na Mambo yanayotokea duniani
Inaelekea ndio somo ulilofaulu pekee
Mengine yalikushinda wewe
Civics sio taaluma Kama Sheria, uhasibu, daktari, ualimu, engeneer uandisbi was habari noNinajua mkuu, lakini hawa wanaopata As za Civics tunawafanyaje kwa maana hawa ndio diplomats wetu...
Sawa Mr. Genius...Inaonyesha uko shallow Sana
KabisaHahaa, Kwamba jamaa alipiga civics A o'level na GS akapiga A
Taaluma huanzia katika masomo. Anayefaulu vema biology ndio anategemewa kuja kuwa daktari mzuri...Civics sio taaluma Kama Sheria, uhasibu, daktari, ualimu, engeneer uandisbi was habari
Wanaofaulu sana civics wanapaswa kutazamwa kwa jicho la pili kama tunataka "Political Scientists" wazuri...Eti unafundishwa local issues
Hujui General studies ya advanced level ndio o level ni civics
Pia somo la civics linahusisha Sana current issues ndio maana wanasisitizwa Sana kusikiliza taarifa ya habari na kusoma magazeti
Il kuwa up to date na Mambo yanayotokea duniani
Honestly speaking, nilipata B moja tu ya Civics katika matokeo yangu ya kidato cha nne mwaka 2003, kisha nikawa na D tano pamoja na F tatuInaelekea ndio somo ulilofaulu pekee
Mengine yalikushinda wewe
Wewe endeleza ubishi wako humu JF lakini wanaofaulu sana Civics wanapaswa kupewa uzito wa kipekee. Civics sio lelemama ndio maana wengi hawapati AsKama ndugu una ka A k civics halafu eti unataka wakufikirie umepotea
Wee kaa na A yako ila hyo Civic inawasaidia watu wenye taaluma zao ktambua mabadiliko mbali mbali yanayotokea kwenye jamii zetu na Sheria mbalimbali zinazotuongoza raia ili kuendelea kutekeleza majukumu Yetu ya kitaaluma
Hata ndalichako amekusikiaWanaofaulu sana civics wanapaswa kutazamwa kwa jicho la pili kama tunataka "Political Scientists" wazuri...
DuuhHonestly speaking, nilipata B moja tu ya Civics katika matokeo yangu ya kidato cha nne, kisha nikawa na D tano pamoja na F tatu