Kwanini somo la Civics ndilo pekee ambalo haliundiwi combination "A" level katika masomo saba ya msingi Kidato cha Nne?

Hapana mkuu haujatoka nje ya mada. Tunathamini sana mchango wako pia kaka mkubwa.
 
Wakati wenzetu wanasafiri kwenda kwenye mwezi
Wanatengeneza robots
Wanatengeneza ndege
Wanapandikiza ini ,moyo meno nk
Wanatengeneza simu sisi tunashangaa mwalimu was biology kufundisha civics

Kweli tutafika jaman!!!?
Lazima tutafika tu mdogo wangu. Vipanga wa Civics lazima watazamwe kwa jicho la pili. Serikali isiwapuuze. Wao pia wapewe combination yao.
 
Ukisoma URAIA na ukija ktk mazingira halisi utaona jinsi gani tunavyodanganywa na Hawa wanaojiita WAZALENDO wa Nchi hii DEMOCRACY FREE AND FEAR ELECTION cjui Muhimili wa BUNGE
Mhhh...
 
Sawa mkuu
 
Wee mtoto usiongee Tena hvyo watu wakakusikia
Eti civics sio lelemama?????
Utakuwa slow learner weee

Ilaumesema mwenyewe elifeli masomo yote ukapata civics B

Sasa hesabu , phys na chemistry utasemaje Kama civ s so lele mama
You are totally out of context. Nimekusamehe bure tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…