Pre GE2025 Kwanini suala la uraia wa Watanzania wageni waliopo Serikalini linatokea sasa wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wale hufuata due procedure..

Angalia Arnold Schwarzenegger aliyoupata uraia wa US kutoka Austria hadi kuja kuwa governor wa California.

Bongo rushwa nyingi CDF yuko sawa , napenda diversity ila watu wafuate utaratibu sahihi.
 
Tatizo la mtanganyika ni ujinga,chuki dini,na ukanda hii inchi hii haitapata maendeleo na ipo siku dhambi ya ubaguzi kwa raia wajinga haita iacha salama itasambaratika kwa kanda,maana ubaguzi haujawahi kihistoria kuacha salama taifa lolote lile duniani
 
Mataifa tajiri duniani yamekuzwa kiuchumi na wahamiaji hata 🇺🇸 walienda Irish huko na Italians
Leo wajinga wachache wanaona kuwa na watu aina moja ili wazidi kuwanyonya na kuwakandamiza kwa sababu ni wa aina moja
Usiwaahangae wanaogopa mpaka watanzania waliopo nje kuwapa dual citizenship kwa woga
Kumbe hawajui hakuna anaewaza siasa bali biashara tu
 
Taifa hili ni la ajabu sana,ni ukweli mtupu wanataka waendelee kuwatawala watu wa aina moja ,mataifa makubwa duniani yanaruhusu watu kutoka mataifa mengine duniani kuja kwenye mataifa yao,sisi tumebakia nasiasa za kijima za karne ya 15 ,na tumesahau mipaka iliyowekwa ni ya kikoloni na hata hao wanaowabagua wenzio na tukiangalia gene pool yao usikute awana asili yoyote ya utanganyika tukirudi nyuma kwa generation tatu za mababu zao unakuta mababu zao wanaasili ya zambia,Tatizo la mtanganyika ni ujinga na kuhadaiwa kisiasa,sehemu yoyote yenyemuingiliano maendeleo makubwa lazima yawepo
 
Wale hufuata due procedure..

Angalia Arnold Schwarzenegger aliyoupata uraia wa US kutoka Austria hadi kuja kuwa governor wa California.

Bongo rushwa nyingi CDF yuko sawa , napenda diversity ila watu wafuate utaratibu sahihi.
Kweli, utaratibu muhimu
 
Wapuuzi sana hao
 
Hii ni vita katı ya Tanzania na Jamhuri ya Wapigaji.

Ni vita ambayo imebidi ıtokee baada ya kifo cha hayati JPM.

Vita hii ilikuwa chini ya kapeti ila maji yamezidi kimo.

Watanzania ndo wa kuamua ili tusonge mbele twahitaji CCM mpya ya wazalendo dhidi ya hii Jamhuri ya wapigaji au la.

Kwa sababu ikiwa CDF kaamua kujitokeza kwa kauli, basi vita ipo.
 
Na kweli kuna kitu kikubwa na lazima tusonge
Hawa wapigaji wadhibitiwe kwa pamoja
Hii ni vita haswa
 
Kuna watu fulani kutoka arabuni....
 
Sasa umemweka hapo Gen Mkunda inaonesha hujui anatoka wapi.
Kazi ipo kubwa sana Saa 100 anaelezwa suala la msingi yeye yuko kwenye uchaguzi.....suo kazi ya Jeshi ulinzi....kulinda kura....
 
Mkimbizi hafu unalikwamisha taifa dawa yake ni kufukuzwa , hata wewe inaonekana ni mkimbizi , na unawatetea wanao likwamisha taifa , kiufupi ni kwamba taifa linahitaji wazalendo
 
Kwa sisi ambao wazazi wetu ni watu wa nchi mbili tofauti tunaamua kukaa kimya ila Mmechelewa sana!
Wewe ndo yule uliye enda jeshini kwa mujibu wa Sheria , inabidi tuufatilie uraia wako, na mmetumwa na nani kuja Tz
 
Wahamiaji wanatakiwa waongeze tija katika taifa sio kuwa mzigo au kusababisha mitafaruku zaidi.
 
Wahamiaji wanatakiwa waongeze tija katika taifa sio kuwa mzigo au kusababisha mitafaruku zaidi.
Wameleta shida gani, ni ajabu sn bdo unawaamini viogozi mafsadi na wajinga.
Nchi makini ina deal na majasusi sio kusumbua raia wake
Unajua hapa lengo lao sio wakimbizi wa mtaani, bali wanatafuta kusumbua raia wenye nguvu ya ushawishi Kisiasa.
Vyvyte wafanye lakini mm naamini wanafanya ujinga.

Wapambabe na majasusi ya nchi jiran, sio raia na viongozi weny asili ya nchi jirani
 
Nadhani CDF amemtahadharisha Mama kuwa Uraia uwe ni kigezo muhimu cha Wagombea katika ngazi mbali mbali kwenye chaguzi zinazokuja ndani ya CCM! Tutegemee waombaji kunyimwa fomu za kugombea na wengine wakienguliwa katika nafasi zao kwa kigezo cha Uraia!
Nawaza lakini!
 
Wahamiaji wanatakiwa waongeze tija katika taifa sio kuwa mzigo au kusababisha mitafaruku zaidi.
Hilo halina ubishi mkuu, na asiesaidia taifa katika maendeleo aondoke
Mkuu wapo wengi wenye nia ya kuwekeza ila vigezo na rushwa inawakatisha tamaa na wanaondoka na hela zao na kuhamia jirani

Kweli hakuna anaetaka mzigo nchini
 
Una ID nyingi

Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…