Wale hufuata due procedure..Marekani, Australia zimejengwa na watu wote walioamua tu kwa hiyari zao kuwa ni Wamarekani(au waAust...)
Kama Tanzania inapendwa hivi basi tukaribishe hao wageni na kuwapa uraia na kuwaruhusu wachape kazi.
Nchi ina fursa nyingi hii, abundant. Warete wareteeeeeeee!!!
Angalia Arnold Schwarzenegger aliyoupata uraia wa US kutoka Austria hadi kuja kuwa governor wa California.
Bongo rushwa nyingi CDF yuko sawa , napenda diversity ila watu wafuate utaratibu sahihi.