Walikuwa ni Waislam waliokuwa na tamaa zao binafsi, hasad, naamini walikuwa na mpaka sasa wapo wengi Bakwata. Bakwata ni chombo cha serikali kilichoanzishwa na Nyerere, Muislam mwenye kufata Uislam kwa kumcha (kumuogopa) Allah, hakai pale aytajiona kabisa anakwenda kinyume na Uislam.
Hakuna cha Mufti Simba waka Chui, wote ni mafisi tu humo, kazi yao kuokoteza mizoga na mifupa ya ndugu zao wlio wafu.
Juzi juzi walimuita Sheikh Issa wa Masjid maamour wakampa kamati ya kupitia mahesabu, aliyoyakuta huko mwenyewe kaamuwa kuachia ngazi. Unafahamu kwanini>
Siyo nyingine, sasa yeye ndgedere aamuwe kesi ya nyani? Maan Sheikh Issa wanaomjuwa wanafahamu kuwa yeye nye ni mtumwa wa serikali katiaka ma informer wa (UWT) toka zamani sana,
Hilo aliwahi kusema Spearman, rafiki yake alliyemuingiza mjini Sheikh Issa.Huyu Spear alisilimu akawa anajuta sana mambo ya ujahilia aliyokuwa akiyafanya.
Jana sijuwi juzi nilikumbusha kisa alichopigwa kichwa Mbowe ujanani akasema kapigwa tofari, huy spear kwa vijana wa Dar, alikuwa ni katika kundi la kina vijana waliotokea Mwanza, lakina Sudi, Khalifa , SAedou, spear alikuwa mpigapiga picha mitaani madisco, na ma kwenye masherehe. Nnachompendea spear, ni kijana aliyekuwa anajituma na ana akili sana, sema hawa kina Issa ndiyo walikuwa wnampoteza, yeye kasilimu aachane na mambo ya kijinga akawakuta Waislm kinaIssa wanapiga mipango ya kupiga madili kwa kutapeli.
Namfahamu sana huyu mambo yake huyu Issa na kupitia Spear na kwengine.
Spear alikuja kumuoa rafiki yangu, binti moja la kichotara la Shinyanga na Iringa huko, akmsilimisha akampeleka kuhiji, siku hizo spear hapigi picha tena kapata line za National Housinhg.
Dar kuna watu jamani.