Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
RC siyo Bakwata wanaomiliki misikiti, visima vya kujitawazia na kuuza dawa za kienyeji kwenye misikiti.Sh8le zina sheria ya maeneo inayoh9dhi, kadome sheria za shule wizara ya elimu. Shule haitakiwi kuwa na zaidi ya eka 100. Labda iwe ni chuo cha kilimo au ufugaji, nazo pia zina kanuni ya ukubwa wa ardhi inazohodhi.
Sheria zifatwe ili vijana waanze kufaidika na ardhi yao.
BBT hoyeee.
RC ni taasisi ambayo ina miliki maeneo makubwa ya ardhi, Shule na Hospital. Ili uwe padri lazima uwe na degree, masters au Phd siyo ya dini ya ualimu, uanasheria, udaktari n.k
Sasa wewe umesoma elimu ya madrasa halafu elimu darasa la 7 upo pale Bakwata. Utaumwa na uchungu sana.
Nenda Mang'ola barazani ndiyo utajua nyie elimu inawasumbua sana. Mang'ola ni kijijini kbsa tena mashambani kbsa kuna kanisa kubwa na hospitali na hatua chache kuna msikiti mkubwa na kisima cha kujitawazia. Ndiyo utajua pale nyie mlitumia maka kufikri