Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

Mi siwezi kufa kwa korona, nyie ndo mtakufa, na jiwe anajua vizuri tunavyomsema, hujui tu ambavyo anapita jf kila siku anapata hasira

Wewe una mkataba na mungu sio, na kma unajua wewe huwezi kufa basi ujue wengine nao hawatakufa kama unavyowaza,
Pili kumsema ni chuki yko na roho mbaya labda ulishaguswa sehemu ulokuwa unafisadi nchi, au unatumika kama msaliti tu, dua laoko hakina madhara kwa nchi.
 
Aiseee !!
 

Haha ndo kisingizio hua jiwe anatumia kuwaaminisha vilaza kua tatizo sio letu tatizo ni mabeberu alafu machizi mnaamini, tatizo mabeberu huku mikataba yote tulisaini wenyewe?

Mkataba na mungu yupi? Hakuna mungu, huyu wenu aliletwa na hao mnaoita mabeberu au hujui kabla hawajaja mlikua mnaomba mitini? Wamekuja wakawaambia kuna yesu mkawaiga alafu leo mnajifanya mnamjua kuliko wao 😂 your stupidity amazes me sometimes.
 
... Naomba kuuliza hili, mamlaka ya Rais wa Jamhuri hayawezi kumzuia waziri wa afya kutoa data za Corona? Maana kila akitoa waziri wa Znz idadi inajumlishwa na wa Tanganyika while Tanzania Corona sio issue sana!

Wakati nchi nyingi duniani zinapambana vilivyo na hii pandemic sie kwetu hapa tuna utaratibu ambao naona na viongozi wakuu wameamua kujitoa ufahamu na kuhimiza tutumie tiba za kujipika motoni ili virus wafe kabisa!

Hata wanaojiita wanasayansi sasa nao wanaogopa kusema ukweli wa kisayansi!

NB: Corona is real! Stay home, stay safe, epuka mikusanyiko, mnaopenda kusali makanisani/misikitini subirini Corona iishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NNaomba nikuhakikishie na niwahakikishie wengine wanaohisi Huna AKILI kua hawajakose
Kwa jinsi hali ilivyo wewe ndio huna akili mkuu,

Hai ingii akilini ni binadamu wa aina gani anayejisikia raha kila anapoamka kusikia vifo vya binadamu wenzake, yaani tena analazimisha apewe hizo taarifa kila siku. Huko ni kukosa utu na ni dalili tosha ya kutokuwa na Akili.
 
Mimi kila MwanaCCM na mtu yeyote mwenye mahaba na makufuli kama wewe, akipatwa na coronavirus huwa nafanya sherehe kubwa sana na familia yangu. Hatuwezi kuendeshwa na WEHU wachache kama ninyi.
You must be sick in your head, huwezi ukawa na utimamu wa akili na utu kama utakuwa na hulka ya kupenda kusikia kila siku ni binadamu wenzako wangapi wamefariki.

Haiingii akilini eti mtu anadai kabisa kupewa taarifa za vifo kila siku, tena anahesabu wenzake ni wangapi wameondoka, that is inhumane and very sick.

Awareness pekee inatosha kabisa, na Serikali imelifanya hivyo, matangazo ya namna ya kujikinga na nini mtu anapaswa kufanya yapo kibao.
 
Nadhani taarifa za Coronavirus ni lazima zitangazwe na kupelekwa WHO kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunacompile mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunacompile mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo hakuna mwanaCCM huko ambaye amepigwa na corona, ili tuanze shamrashamra hapa?
 
Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Kuna giza nene linaendelea kwenye Taifa la Tanzania. Hizi data tunazopewa zinatupa wasiwasi sana. Mkificha data pasipo kusema ukweli mnamfurahisha nani? Mbona nchi zingine zinasema bila wasiwasi! Au kwa kuwa tumekosa ela kutoka IMF na WB? Lakini tulishatangazia ulimwengu kuwa sisi ni MATAJIRI, Tena mkutano wa SADC tulisema matajiri wanakutana.

Siku chache zilizopiata mkuu wa nchi alisema kuna wagonjwa 100 ambao wamepona lakini siku mbili kabla waziri wa afya alisema wagonjwa waliopona ni 11. Sasa tumwamini nani?
Badda ya hapo waziri akaendeleza kutoka 100 na kuendelea ili kumrithisha mzee wa nchi.

Mbaya zaidi mitaani tunasikia kuna vifo vingi vinatokea ikisadikiwa imesababishwa na Corona, watu wanashuhudia watu wakizikwa usiku, mazishi zingine zinafanywa na serikali (manispaa) hata pasipo kuhusisha ndugu, nyumba zinafungiwa utepe na kuwekwa vitisho kuwa mtu haruhusiwi kufika hapo na kadhalika. Tetesi zingine zinasema hospitali nyingi zimezidiwa na wagonjwa, na kuna cases nyingi za vifo ambazo waziri amekalia hataki kutangaza.
Kumbuka wahenga walisema mficha uchi.....................................................
Lenye mwanzo halina......................................................
Bandu bandu...........................................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…