The real hate is online. And that's the online political community which is controlled by a small group of people with naked political interests difficult to fulfill.
Ukitaka hii online hate ife, wakabidhi CHADEMA madaraka.
Nakuthibitishia hii nchi wananchi kila mtu anapambania maisha yake, hata hili unalodhani ni hot au mambo ya tozo hakuna anayejali.
Mwezi wa 7, nilikuwa Dar, nikaja Kilimanjaro, nikaenda Arusha na nimezunguza sana katani, vijiji na tarafa.
Ukitaka kujua hakuna anayejali USIWE na BANDO.
In short nchi hii sasa hivi wajanja wameshajimilikisha vimisukule kwaajili ya manufaa yao. Wasanii, wanasiasa na viongozi wa dini, hakuna namna yoyoye unayoweza.kuua HATE kutoka kwa kundi fulani kama hutaweza kumpa MMILIKI wa kundi husika maslahi yake.