Kwanini Tanzania tu mtu anakuwa hana woga wa kusema mitandaoni?

Kwanini Tanzania tu mtu anakuwa hana woga wa kusema mitandaoni?

Free nation with free right to speak under Democracy, wacha kuingikia uhuru wa kujieleza....tena sio hayo tu kuna list ya watu wakitaka hawa watangulie mbele za haki
...zungu yule wa tozo
...hamis kingwala
...ndugulile
....mwigulu
....ndugai
....maushungi mzenjibar
......Igp
hii ni list ya mkeka ambayo watu wa jamuhuri ya twitter wamekuwa wakiombea itiki, so serkal haina neno kwa hik knachoendelea, acha wafu wazike wafu wao haya ni maneno yao si yangu......
 
Suala ninaloliona ni jinsi gani upinzani washindwa kujitengeneza upya na kimkakati kulingana na wakati.

Nimeandika sana hapa ila naona sieleweki.

Mimi mwenyewe binafsi sipendi serikali inayofanya mambo yake kinguvu au kimabavu.

Lakini pia serikali na upinzani wanashindwa kueleza ni kwa vipi wanashindwa kukaa meza moja wakazungumza?

Nimemwelewa sana Tundu Lissu kwamba anajitahidi kupata info kupitia wasaidizi wa raisi, lakini hakuna ushirikiano wa kimkakati kati yake na Mbowe.

Hili kwenye upinzani ni tatizo kubwala kiufundi.

Pia Zitto na Mbatia ni sehemu ya tatizo kubwa la kiufundi kwa Upinzani.

Sidhani kama wengi wanaelewa ninachokiongea.
Unakaaje meza moja na mtu aliyeehuka ana ameshika mapanga yuko tayari kukata kichwa?

Hii scenario unayoeleza ni rahisi kuiandika lakini kuutekeleza ni ngumu sana. Extent walipofikia Serikali na ccm ni ile ya Somalia, Drc, Sudani na Rwanda
 
Free nation with free right to speak under Democracy, wacha kuingikia uhuru wa kujieleza....tena sio hayo tu kuna list ya watu wakitaka hawa watangulie mbele za haki
...zungu yule wa tozo
...hamis kingwala
...ndugulile
....mwigulu
....ndugai
....maushungi mzenjibar
......Igp
hii ni list ya mkeka ambayo watu wa jamuhuri ya twitter wamekuwa wakiombea itiki, so serkal haina neno kwa hik knachoendelea, acha wafu wazike wafu wao haya ni maneno yao si yangu......
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom