Kwanini Tanzania tu mtu anakuwa hana woga wa kusema mitandaoni?

..chuki hii imetokana na ukatili wa Magufuli.

..alipokuwa madarakani aliwafanya baadhi ya ndugu zetu wajisikie kama raia wa daraja la pili.

..Rais SSH anatakiwa arudishe UTU na UPENDO kwa Watz wote, na sio kwa wana-CCM peke yao.
Waache wavune walichopanda. Huwezi kupanda mahatage ukavuna kunde
 
Kijana yeyote akishakuwa na mentality za CCM automatically anageuka rubbish,wewe angalia mtu yeyote mwenye affiliation na hicho chama akiwa anajenga hoja kwenye jambo lolote,ni ujinga mtupu
Anakuwa mchawi na muuaji. Mtu mwenye ubinadamu hawezi kusapoti matendo ya kiccm
 
Kwahiyo wanaoandika mtandaoni hawakai mitaani?.Kilichoko mitandaoni ndicho hicho hicho kilichoko mitaani,kama wewe unaweza kulijua jambo kupitia mtandao jua na mwingine ambaye humjui anaweza kujua vile vile.kwa mfano unadhani ni magroup mangap ya whatsap yanashare habari za hapa na pale na hata za hapa JF,hivyo ndivyo mitandao inavyorahisisha kupashana habari ata kama sio watu wote mtaani wataongea ila hiyo haimaanishi kwamba hawana taarifa au hawajui chochote.
 
Kweli? 😉

Mimi na wanyaturu dugu moja.
Bwana Richard asante kwa kutupa taarifa kuwa Wakati Wa Mwinyi akiwa Ulinzi walikuwa pamoja na Kwandikwa. Hii inanipa picha kuwa kilichofanyika Oktoba 2020 kule zanzibar na maeneo mengi hapa bara anakijua vizuri. It will cost them for several tens years
 
Hahaha sisi tunaishi twiter ndivyo wanvyojipa moyo
 
Nimekuja kugundua mitandao imejaa watu wenye tatizo la Afya ya akili.

Ukiwa na shughuli za kukuweka busy, majukumu mpaka ukashindwa kuwa online ndio utajionea hali tofauti kabisa.
Hapa ulipo sio mtandaoni?? Una matatizo ya afya ya akili? huna shughuli za kufanya?
😅😅🤣Hivi ukiwa mwanaccm ndio kusema kichwa kinajaa maji?
 
Anakuwa mchawi na muuaji. Mtu mwenye ubinadamu hawezi kusapoti matendo ya kiccm
Wanalishana Ujinga mtupu.Eti waziri anatumwa na Rais kwenda kuchukuwa dawa ya mitishamba ya kutibu COVID kwa ndege kwa gharama za fedha za walipa kodi alafu anakuja na kuitisha press kutumbia eti dawa hii ni nzuri sana na kule madagascar dawa hii inatolewa na rais mwenyewe-what a shame? 🤣 🤣 🤣
 
Hapa ulipo sio mtandaoni?? Una matatizo ya afya ya akili? huna shughuli za kufanya?
😅😅🤣Hivi ukiwa mwanaccm ndio kusema kichwa kinajaa maji?
Kwahiyo mitandao imejaa makada wa vyama vya siasa ?

Kila aliye mtandaoni lazima awe kada wa chama cha siasa ?
 
Anakuwa mchawi na muuaji. Mtu mwenye ubinadamu hawezi kusapoti matendo ya kiccm
Suala ninaloliona ni jinsi gani upinzani washindwa kujitengeneza upya na kimkakati kulingana na wakati.

Nimeandika sana hapa ila naona sieleweki.

Mimi mwenyewe binafsi sipendi serikali inayofanya mambo yake kinguvu au kimabavu.

Lakini pia serikali na upinzani wanashindwa kueleza ni kwa vipi wanashindwa kukaa meza moja wakazungumza?

Nimemwelewa sana Tundu Lissu kwamba anajitahidi kupata info kupitia wasaidizi wa raisi, lakini hakuna ushirikiano wa kimkakati kati yake na Mbowe.

Hili kwenye upinzani ni tatizo kubwala kiufundi.

Pia Zitto na Mbatia ni sehemu ya tatizo kubwa la kiufundi kwa Upinzani.

Sidhani kama wengi wanaelewa ninachokiongea.
 
Naona umeshawataja watakaofuatia kwenda kwa mwendazake.

Heee huu uzi na subscribe kabisa..mnaweza kuwa mpo kazini.
 
Hawa wezi wa kura wakifa ni jambo la kheri sana na tutawatangaza kwenye mitandao sana tu.
 
Kwani watu walioko Twitter, Facebook na Instagram wanaendeshwa na matukio na harakati zinazofanana ?
 

..inawezekana pia " Mama " is not in full control of our government. Kuna mambo yanafanyika ambayo ni kinyume na muelekeo ambao " Mama " alieleza kwamba anataka kuufuata.
 
..inawezekana pia " Mama " is not in full control of our government. Kuna mambo yanafanyika ambayo ni kinyume na muelekeo ambao " Mama " alieleza kwamba anataka kuufuata.
Unafahamu ndugu, watanzania walo wengi ni wanafiki sana.

Kwa mfano mtu anaanza kuruhusu watu kusafiri kufuja fedha za walipa kodi na hakuna anaekemea jambo hilo.

Au mtu anaruhusu DC wa moja ya zile wilaya za mkoa wa Pwani aondolewe ili zile hoteli, viwanda na mambo mengine yaendelee, je watanzania wanafahamu mambo haya?

Inajulikana Kisarawe kuna mahoteli ambayo yaingiza fedha kigeni kule na zote zilikuwa hoi wakati wa JPM.

Ila ukisema muelekeo ambao mama alieleza anataka kuufuata ni ule mwelekeo wa kuwaruhusu wahujumu uchumi wa nchi hii waendelee kuihujumu nchi hii?

Au muelekeo wa wale ambao wanaona mtu kama Manji hafai kuendelea kufanya biashara zake chafu Tanzania?

Imefika wakati watanzania waambiwe ni nini chaendelea, ili watambue kuwa nchi yao imerudi kabla ya 2015.

Hivi vitendo vya kihuni, ujambazi, na pengine kukolimbana kunakofanywa sasa hivi ni lazima vikomeshwe.
 
Unachopaswa kukizingatia ni kwamba hakuna utawala uliokuwa wa kiovu na ambao haupaswi kuigwa kwa lolote kama utawala wa MEKO,MEKO kupitia kina sabaya amepora wafanyabiashara hela zao halali,Amebambikia kesi watu kushinda rais yeyote yule,Watu wamepotea na kuuwawa isivyo kawaida,watu wametekwa na wengine wamepigwa risasi hadharani,viongozi wa dini wametukanwa makanisani,wanawake wamedharauliwa hadharan,au ni 2015 ipi unayo izungumza wewe? Mama akiturudisha hata mwaka 1961 sawa tu lakini siyo kwa mambo ya hovyo ya MEKO unayejaribu kumtetea.MEKO ndo muhujumu uchumi wa kwanza-Hela za kujenga Interchange ya ubungo iliyotajwa na CAG kwamba ilitumiwa vibaya ilikwenda wapi? Trilion 1.5 ambazo hazijulikani zilipo alizipeleka wapi?
 
Magaidi yana umoja mno .

Anayeangushwa na konyagi alafu akasingizia amepigwa na wasiojulikana ni gaidi tu.
 

Zito na Mbatia tangia lini ni wapinzani?
Lisu na Mbowe wana character tofauti sana! Mbowe ni mtulivu Lissu bado anahasira na hawazi kwa umakini sana! Ndani ya upinzani ccm imajaza watu kibao tusiwalaumu hawa wajiita wapinzani wanakitu ila mazingira sio fair bado!
 

..Na Watz lazima waelezwe kwamba " magu-nomics " was not working, and we were about to sink economically.

..Watz wanataka kuishi kwenye nchi ya HAKI, inayoongozwa kwa sheria na katiba, na siyo matakwa ya mtu mmoja na genge lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…