Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Kama walimu wenye masters ndio reasoning yenu iko hivi, bora nibaki na VETA yangu.
Baki tu hukohuko maana inaonekana una kimbelembele Sana😄 unaumia kwenye Mambo ambayo hata hayakuhusu...Sasa masters ww inakuhusu nn mpaka uanze kutoa mapovu hapa
 
Tukiwasema tunaonekana tuna wivu na masters zao.
 
Tukiwasema tunaonekana tuna wivu na masters zao.
Sasa si umbea huo unasema yanakuhusu nn ww..achana na habari za umbea umbea aisee..huko veta ukiendekeza umbea hzo mashine syo nzur tulia na kazi yako
 
Shid ni mindset tu..!! Mtu haombi kuhama huko kwenye idara kisa maslahi pekee..!! Kuna wakati anajiona anafundisha darasa moja na wa certificate..!!
 
Ila achana na maisha ya Watu deal na maisha yako Ni aibu mwl wa veta unakuwa mbea mbea au umelewa mkuu
Aisee, uko na frustration sana kuwa na masters na unafundisha buhigwe shule ya msingi.


Endelea kupayuka, ndio unapona mkuu.
 
Aisee, uko na frustration sana kuwa na masters na unafundisha buhigwe shule ya msingi.


Endelea kupayuka, ndio unapona mkuu.
Aisee nilikuwa sijaangalia jina lako kumbe unaitwa "DA HUSTLA" haya mbona majina ya mateja ndo maana huelewi tunasingzia mashine kumbe bangi zimekuzuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…