Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Kama walimu wenye masters ndio reasoning yenu iko hivi, bora nibaki na VETA yangu.
Baki tu hukohuko maana inaonekana una kimbelembele SanašŸ˜„ unaumia kwenye Mambo ambayo hata hayakuhusu...Sasa masters ww inakuhusu nn mpaka uanze kutoa mapovu hapa
 
Wengi wa watumishi wa Umma wana masters kama Fashen tu lakini kichwani ni weupe pee!

Yaani hawajiwezi katika kujenga hoja, kufanya uchambuzi wa hoja, kutetea wala kuibua kwenye Ulimwengu wao!

Halafu ujuaji mwingiii!

Hawasomi vitabu mbalimbali kuimarisha viwango vyao vya ufahamu,

Yaani!
Tukiwasema tunaonekana tuna wivu na masters zao.
 
Tukiwasema tunaonekana tuna wivu na masters zao.
Sasa si umbea huo unasema yanakuhusu nn ww..achana na habari za umbea umbea aisee..huko veta ukiendekeza umbea hzo mashine syo nzur tulia na kazi yako
 
Habari.

Kwasasa dunia inafanya mapitio ya mitaala ya kufundshia/kujifunza huko mashuleni, huku swala la elimu za walimu ambao ndio wadau wa mitaala hiyo likiwa gizani. Kwa mfano, kwa Tanzania muundo wa kiutumishi wa walimu wa shule za msingi na sekondari unaanzia elimu ya cheti hadi shahada ya kwanza tu, ambapo mwalimu akiwa na shahada ya pili (masters/PhD), mfumo haumtambui kimasilahi na kimuundo, tofauti na nchi zingine kama Kenya, South Africa, Nigeria, Zimbabwe na kwingineko.

Serikali ingelitazama hili swala kwa jicho la utatu kwa kuwaandalia muundo wa kiutumishi na kimasilahi walimu wenye shahada ya pili (masters/PhD) waliopo huko mashuleni. Ifikie kipindi sasa iwe ni kawaida kumwona mwalimu mwenye PhD anafundsha shule za msingi huko. Hii ishu italeta mapinduzi makubwa sana kwenye idara ya elimu na ualimu hasa huko mashuleni, tofauti na sasa ambapo mwalimu akishapata shahada ya pili tu huanza kuomba kuhamia idara zingine ambapo anaona atapata maslahi kulingana na elimu aliyonayo. Wakati huo elimu yake (masters/PhD) ingetambulika kimuundo na kimasilahi, angepata utulivu kituoni pale alipokuwa anafundisha bila kutafuta fursa mahali pengine.

Napenda kuwasilisha.
Shid ni mindset tu..!! Mtu haombi kuhama huko kwenye idara kisa maslahi pekee..!! Kuna wakati anajiona anafundisha darasa moja na wa certificate..!!
 
Ila achana na maisha ya Watu deal na maisha yako Ni aibu mwl wa veta unakuwa mbea mbea au umelewa mkuu
Aisee, uko na frustration sana kuwa na masters na unafundisha buhigwe shule ya msingi.


Endelea kupayuka, ndio unapona mkuu.
 
Aisee, uko na frustration sana kuwa na masters na unafundisha buhigwe shule ya msingi.


Endelea kupayuka, ndio unapona mkuu.
Aisee nilikuwa sijaangalia jina lako kumbe unaitwa "DA HUSTLA" haya mbona majina ya mateja ndo maana huelewi tunasingzia mashine kumbe bangi zimekuzuru.
 
Back
Top Bottom