Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

Wengi wa watumishi wa Umma wana masters kama Fashen tu lakini kichwani ni weupe pee!

Yaani hawajiwezi katika kujenga hoja, kufanya uchambuzi wa hoja, kutetea wala kuibua kwenye Ulimwengu wao!

Halafu ujuaji mwingiii!

Hawasomi vitabu mbalimbali kuimarisha viwango vyao vya ufahamu,

Yaani!
 
Wengi wa watumishi wa Umma wana masters kama Fashen tu lakini kichwani ni weupe pee!

Yaani hawajiwezi katika kujenga hoja, kufanya uchambuzi wa hoja, kutetea wala kuibua kwenye Ulimwengu wao!

Halafu ujuaji mwingiii!

Hawasomi vitabu mbalimbali kuimarisha viwango vyao vya ufahamu,

Yaani!
Kama una Elimu ndogo lazima ujihami, tafuta nafasi ukasome maana inaonyesha unajilinganisha na mtu mwenye masters, mkuu aliyesoma amesoma tu, inaonyesha mtaanza kuwaloga huko 🤣🤣
 
Kama una Elimu ndogo lazima ujihami, tafuta nafasi ukasome maana inaonyesha unajilinganisha na mtu mwenye masters, mkuu aliyesoma amesoma tu, inaonyesha mtaanza kuwaloga huko [emoji1787][emoji1787]
Uko sahihi mkuu. Hawa vilaza wanapenda kujitetea sana. Halafu wengi wao wana vyeo halafu wana degree moja.
 
Yani Eti mambo yakiwa ni yale yale business as usual halafu Eti mtu kwakuwa kufanya ajuavyo kaleta cheti cha masters aongezewe mshahara au apandishwe cheo?

Mpime kichwani sasa uone hiyo master’s degree kama ina reflect nyongeza ya ufahamu wake kwenye utendaji katika kuleta tija, hakuna tofauti na mwenye Diploma!

Wanafikiri sawa, wanatenda sawa mwenye masters na mwenye diploma.


Hapana aisee !

Tujisikie kuwiwa katika kutumikia Wananchi wa Taifa hili.

Kama Watumwa wasio na faida!
Kwani wewe utapungukiwa na Nini iwapo wataongezewa mshahara, wivu wa Nini aisee si naww uende ukasome tu au uwezo huna
 
Tafuta fomu ya ukaguzi, uisome halafu uje uje ututhibitishie kuwa diploma hawezi fanya ukaguzi wa shule ili watolewe wawekwe master. na kama wewe ni mkaguzi unatetea ugali wako.
Hizo Elimu ni kwa ajili ya kutofautisha rank za utawala tu, majukumu ni yaleyale tangu mkoloni.
Kukagua mazingira,vyoo, idadi ya vipindi vilivyofundishwa,visivyofundishwa, uwepo wa zana vitabu nk.
Tuache kukuza nambo. Sekta ya elmu ina mambo ya kawaida sana na ndio maana hata wale hawajasomea ualimu wanafundisha miaka na miaka.
Kwenye fani zingine hiki kitu hakipo. Imeahi ona mtu hajasomea sheria anakuwa nwabasheria ? Kwenye sekta ya elimu wamejaa tele jwa kuwa mambo yayofanyika yapo simple ila mnakuza tu kisa mmesoma hizo master.
Pole mkuu inaonyesha siku ukisikia masters degree inawekewa muundo wa kiutumishi utachanganyikiwa kabisa, jikubali acha kuonea wivu vitu usivyo na uwezo navyo..umeshindwa kusoma tulia
 
Kwa kuzingatia Aina ya Walengwa/Wateja/Wanafunzi, Ukubwa wa kazi yenyewe na Mazingira tuliyopo KAZI YA UALIMU WA MSINGI NA SEKONDARI elimu ya DIGRII MOJA INATOSHA. zaidi zaidi hao walimu walipaswa kujikita kwenye kwenda kujipatia mafunzo mafupi ya Mbinu za ufundishaji. Elimu ya Masters nk nk hazina nafasi kwa Kiwango hicho cha kazi. Workload ya Ualimu haiiitaji hizo Masters zenu. Msilazimishe kuuua sisimizi kwa AK 47
huku primary na secondary kumeoza , hawa wa degreee weng wa uwezo mdg sn , suala la mtu kusomea uwalimu waliongezee credits sio failures maana nmeona takataka nyng sn huko mtu hajui circles anairuka swali linakuja wanafer darasa zima , Kabla ya kufikilia mastars tuanze na hz degree hazina tofaut na certificate ni wanajua ty kuvaa zaid ya watu wa certificate ila in reality ni zero kbs , Wakishindwa hizo Masters ziende huko secondary na primary
 
kwa upeo wako ila ingesaidia sana kuliko hawa wasiojuwa magazijuto mpk afundishwe na mwalimu mwenyej ( CERTIFICATE ) kuna uozo huko kama hujui unaeza type ivo
Mkuu unajua wanachosoma huko PhD?

Kama ungejua usingethubutu kusema wafundishe primary au secondary
 
Kuwa na cheti ni jambo moja lakini uwezo wa kuwa na maarifa ya kufanya kazi yenye kuleta tija ya kupimika ni swala lingine ambalo ndio msingi wenyewe!
 
Usishangae kwenye kazi mtu mwenye FTC akachukuliwa akaachwa Engineer.

Tija ktk kazi ni ufunguo kuliko vyeti ( makaratasi).
 
Kuwa na cheti ni jambo moja lakini uwezo wa kuwa na maarifa ya kufanya kazi yenye kuleta tija ya kupimika ni swala lingine ambalo ndio msingi wenyewe!
Wewe huna mamalaka hayo yakupima ufanisi wa mtu kulingana na Elimu hayo ni majungu tu kazini unajifanya unajua kuliko wenye miongozo ya kazi
 
Back
Top Bottom