Ukishajiridhisha kuwa mtu ni mjinga, usijaribu kubishana naye, kwani watu wanaweza kushindwa kuwatofautisha.
Mwache, endelea na shughuli zako....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishajiridhisha kuwa mtu ni mjinga, usijaribu kubishana naye, kwani watu wanaweza kushindwa kuwatofautisha.
Wajinga ni wengi na mfumo ndiyo unataka hivi,wajinga wawepo wengiKwa mfano Mtu (Bondia) wa hovyo na very Unprofessional Karim Mandonga (ambaye hata Kupigana hajui) na ana Upuuzi mwingi anashabikiwa na kusifiwa kila Kona huku akitrendi ila aliyempiga na anayejua Ngumi Bondia Kaoneka haimbwi, asifiwi, hashabikiwi na hata 'hatrendi' pia hadi Kuonekana ni Mshamba fulani hivi.
Naanza sasa kuamini kuwa kuna shida ndani ya Vichwa vya Watanzania wengi kama tunasapoti Mambo Hasi na Upuuzi mwingi wa Kimatukio katika Jamii yetu hii tukidharauliwa na kuitwa Majuha (Fools) tutakuwa tunakosewa Adabu na wanaotuita hivyo?
Inasikitisha mno tu na haingii Akilini!
jaribu kugoogle then nitakuja kukusaidiaOsintel ni nini mkuu?? msaada tafadhali
Wajinga ni wengi na mfumo ndiyo unataka hivi,wajinga wawepo wengi
Ili wasiweze kuhoji na kufatilia mambo ya msingi
Huoni kila leo watu wanapelekewa matamasha ya wasanii
Taifa limejaa mazuzu na hizi media ndiyo zinachangia kuongeza mazuzu
Ova
Aihitaji nguvu kubwa kumwepuka mjinga
Ulichoongea kina ukweliBongo hata maofisini ukiwa smart sana kichwani utapata maadui wengi....ila ukiwa farafara flani kila mmoja atakukubali,
Open source intelligencejaribu kugoogle then nitakuja kukusaidia
Ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano nayo ni sababu kuu pia.Hata Mimi nashangaa aisee.
Na yeye unamuweka kwenye kundi gani? La wajinga au wetevu?Bashite aliwahi kukosoa umaarufu wa hovyo wa pierre likwidi akaishia kudhihakiwa na kuoga matusi
Njia mojawapo ni hii hapa [emoji116]