Kwanini Tanzania ya sasa Watu wa hovyo kijamii na matukio ya hovyo ndiyo yanashabkiwa na 'Kutrendi' sana?

Ni kweli kabisa mkuu, Mimi ni mmoja wapo kwenye ile posti nilijaribu kutuma comment yenye content ya utani ilikuwa inasomeka hivi najinukuu hapa:.." Best airlines ni kwa ulaya na Bara Asia Africa tuna Air Sumbawanga".. mwisho wa kunukuu....,,Sasa likes na comments nilizopata ni nyingi sana tofauti na ninapo comment kitu cha msingi na mawazo yakinifu katika habari nyinginezo huwa hamna likes hata moja...hii ina thibitisha wazi kwamba watanzania wengi tunapenda utani na kufagilia Mambo ya kijinga kuliko vitu vya msingi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kweli mkuu...wajinga ndio wajanja na werevu na wenye weledi ndio wajinga
 
Yaani acha tu mkuu ukitaka watanzania wakupende sana act kama mjinga utapata wafuasi wengi sana lakini ukuonyesha una intelligent characters fulani huwezi kuwapata,hata page zenye mambo ya kijinga ndio zinapendwa sana huko fb,na insta
 
Sijui watu ni wamepoteza matumaini au kuna shida gani
 
Bongo hata maofisini ukiwa smart sana kichwani utapata maadui wengi....ila ukiwa farafara flani kila mmoja atakukubali,
On a serious note Ndugu ( Kiongozi ) Umesema ( Umeandika ) Jambo sahihi na la ukweli wa 100% kabisa.
 
Hata wewe ni wa hovyo
 
Sijui watu ni wamepoteza matumaini au kuna shida gani
Kama 90% ya Kizazi cha sasa kinatokana ( kimetokana ) na Mabao ya Vumbi la Kongo na Mundende unategemea Vichwani mwao ukute Madini kama ya Sisi 'Think Tanks' tuliozaliwa Awamu ya Baba wa Taifa Nyerere mpaka ile tu ya Hayati Mkapa?
 
Wajinga ni wengi na mfumo ndiyo unataka hivi,wajinga wawepo wengi
Ili wasiweze kuhoji na kufatilia mambo ya msingi
Huoni kila leo watu wanapelekewa matamasha ya wasanii
Taifa limejaa mazuzu na hizi media ndiyo zinachangia kuongeza mazuzu

Ova
Sikujua kuwa kumbe sometimes huwa unakuwa na Akili Kubwa hivi tofauti na nilivyokuzoea.
 
Naona Juha ( Fool ) unawaunga mkono Majuha ( Fools ) Wenzako. Hongera sana na Werevu ( Brainiacs ) tusio na Maendeleo yatokanayo na Upumbavu kama wako / wenu tumekuelewa.
 
Naona Juha ( Fool ) unawaunga mkono Majuha ( Fools ) Wenzako. Hongera sana na Werevu ( Brainiacs ) tusio na Maendeleo yatokanayo na Upumbavu kama wako / wenu tumekuelewa.

Baada ya kugundua hayo wewe mwerevu umechukua hatua gani? Werevu wako umekusaidia nini kama unakubali kuendeshwa na wajinga?
 
Baada ya kugundua hayo wewe mwerevu umechukua hatua gani? Werevu wako umekusaidia nini kama unakubali kuendeshwa na wajinga?
Uwerevu wangu mkubwa umenisaidia kujua kuwa kumbe Wewe si tu ni Juha ( Fool ) bali umekimbia Kitanda chako Hospitali ya Vichaa ( Mataahira ) ya Milembe Mkoani Dodoma.
 
Uwerevu wangu mkubwa umenisaidia kujua kuwa kumbe Wewe si tu ni Juha ( Fool ) bali umekimbia Kitanda chako Hospitali ya Vichaa ( Mataahira ) ya Milembe Mkoani Dodoma.

Haya umejua what does that help you? Ndo maana nasema wote mnaojiona werevu are just bigger fools maana werevu wenu hauwasaidii jambo lolote.

In the grand scheme of things, Mandonga, Pierre Liquid, na watu wote wanaoonekana vituko are smarter that nyie maana wamejua jamii waliyopo and acted accordingly kujikomboa na maisha yao. Nyie ni just keyboard warriors huku mkiendelea kuhenyeka.
 
A Fool is always supportive to fellow Fools.
 
Kutrend - Kiswahili
Kushabikiwa - kiingereza


Yote maneno ni Sawa huwezi kutrend bila kushabikiwa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ni ugumu wa maisha tu unaosababisha watu watafute mambo ya kuburudisha akili.

Wananchi wamekata tamaa hawana tumaini lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…