Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

Christmas ndio sherehe ya kipagani.
Pasaka iko sahihi sema tunatumia Kalenda ya Kizayuni kufanya pasaka ila kwenye masiku tunatumia Kalenda ya Rumi .
Kwahiyo usihofu kula pasaka kwa raha zako.
Ila Christmas na ibada ya Jumapili ni asili ya upagani
 
Pasaka ina siku maaalumu kibliblia ni tarehe 14 kama sikosei..
But Council of Naecea Changed it
Wamepingana na Neno la Mungu

Ufunuo wa Yohana 22: 18. Namshuhudia kila mtu ayasikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mtu ye yote akiyaongeza, Mungu atamwongezea hayo mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki.
19. Na mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki
.
 
Wayahudi wao pasaka huwa lini?
Tarehe 14/01 kila mwaka..

Mambo ya Walawi 23:5

"Mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi wakati wa jioni, ni pasaka ya BWANA."

Hesabu 9:5

"Nao wakaishika Pasaka katika mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi, wakati wa jioni, katika bara ya Sinai vile vile kama hayo yote BWANA aliyomwagiza Musa, ndivyo walivyofanya wana wa Israeli."

Hesabu 28:16

"Tena,
mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi, ni pasaka ya BWANA."
 
Christmas ndio sherehe ya kipagani.
Pasaka iko sahihi sema tunatumia Kalenda ya Kizayuni kufanya pasaka ila kwenye masiku tunatumia Kalenda ya Rumi .
Kwahiyo usihofu kula pasaka kwa raha zako.
Ila Christmas na ibada ya Jumapili ni asili ya upagani
Pasaka ni sahihi lakini tarehe ndizo upagani
 
Yeah True kabisa!
 
Mpangilio upo sawa kwa siku ,tofauti ni mfumo wa majirani ikiwa saa , siku na miezi ya sasa.
Sio Kweli hata kidogo Mkuu!
Moja ya Hoja ya Council of naecea ni kutafuta Jina la Hiyo siku Na Majira yake..
Na Pasaka haikuwahi kuitwa Easter ilikuwa ikiitwa Pasaka Means Pass over..
 
Tarehe 14/01 kila mwaka..

Mambo ya Walawi 23:5

"Mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi wakati wa jioni, ni pasaka ya BWANA."

Hesabu 9:5

"Nao wakaishika Pasaka katika mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi, wakati wa jioni, katika bara ya Sinai vile vile kama hayo yote BWANA aliyomwagiza Musa, ndivyo walivyofanya wana wa Israeli."

Hesabu 28:16

"Tena,
mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi, ni pasaka ya BWANA."

au unaitwa Mwezi wa Abibu...

Kumbukumbu la Torati 16:1

"Utunze mwezi wa Abibu, ukamfanyie pasaka BWANA, Mungu wako, kwa kuwa ilikuwa ni mwezi wa Abibu alipokutoa Misri usiku BWANA; Mungu wako."
Daktari kumbuka hii kalenda ni ya mwezi na siyo ya jua kama hii Gregorian, so hiyo ya mwezi haiwezi kuwa fixed.
 
Pasaka ni sahihi lakini tarehe ndizo upagani
Iko hivi; Duniani kuna kalenda zaidi ya kumi ila kalenda maarufu zaidi ni hii ya Warumi ambayo Mataifa mengi tunatumia. Ni hii ambayo leo inasema ni April 01, 2024..
Pasaka iko kwenye kalenda ya Wayahudi, sasa sisi tunaifuata pasaka kwa mujibu wa kalenda yao na sio wao wanaifuata kalenda yetu.
Ni sawa na Mwarabu akuambie pesa yako uje uchukue tarehe 15. 01. 675, wewe utalinganisha kwenye kalenda yako ili upate kumbukumbu sahihi tu.
 
Daktari kumbuka hii kalenda ni ya mwezi na siyo ya jua kama hii Gregorian, so hiyo ya mwezi haiwezi kuwa fixed.
Ok Then leo ni Tarehe 22 mwezi wa Adar II mwaka 5784

In which pasaka pado Siku kadhaa kama Wiki Tatu ndp wayahudi Washerekee..
Pasaka itakuwa Itakuwa 14 mwezi Nissan 5784..

Umenielewa Mkuu?

Bado mwezi mzima Paska ndio ifanyike Ile original
Kama unaswali uliza
 
Iko hivi; Duniani kuna kalenda zaidi ya kumi ila kalenda maarufu zaidi ni hii ya Warumi ambayo Mataifa mengi tunatumia. Ni hii ambayo leo inasema ni April 01, 2024..
Pasaka iko kwenye kalenda ya Wayahudi, sasa sisi tunaifuata pasaka kwa mujibu wa kalenda yao na sio wao wanaifuata kalenda yetu.
Ni sawa na Mwarabu akuambie pesa yako uje uchukue tarehe 15. 01. 675, wewe utalinganisha kwenye kalenda yako ili upate kumbukumbu sahihi tu.
Tarehe ya kiyahudi leo ni tarehe 22 mwezi wa Adar II mwaka 5784..

Pasaka hufanyika mwezi wa Nissan
 
Christmas ndio sherehe ya kipagani.
Pasaka iko sahihi sema tunatumia Kalenda ya Kizayuni kufanya pasaka ila kwenye masiku tunatumia Kalenda ya Rumi .
Kwahiyo usihofu kula pasaka kwa raha zako.
Ila Christmas na ibada ya Jumapili ni asili ya upagani
Kuna kitu umeshindwa kuelewa mkuu. Hatusheherekei siku bro, tunasheherekea "tukio".

Pasaka tunayosheherekea inaitwa Passover na hata tukisheherekea mwezi wa 7 au 8 hatutakosea wala halitakuwa kosa kwani tunakumbuka tukio la "kazi njema ya msalaba ushindi juu ya mauti" tunasheherekea sasa kuwa mauti ya kiroho iliyotokana na anguko la Adam pale bustanini haina nguvu tena kwetu wanadamu kwani uzao wa mwanamke ametukomboa na mauti kupitia damu yake kama ambavyo Mungu alimuua mwanakondoo pale bustanini na kumvisha Adam na mkewe ili kumuondolea aibu.

Christmas naye tunasheherekea tukio la kuzaliwa kwa Yesu na hatusheherekei siku gani au muda gani kazaliwa. Msingi wa Christmas ni sherehe ya "PURIMU" wanayosheherekea wayahudi kila tarehe 14 na 15 mwezi wa "ADARI" ambao ni mwezi 12 (December) ambapo katika tarehe 14 na 15 wayahudi hufanya karamu na kupelekeana zawadi(Boxing day)
 
Pasaka imesetiwa lazima iwe siku ya jumapili , kwa hiyo mwakani inaweza kuwa tarehe za mbele, Mana mpaka Sasa bado hawajaiweka kwenye kalenda ya mwakani, Haina tarehe maalum ila Ina siku maalum
Ni wiki ya 18 toka mwaka uanze.
 
Back
Top Bottom