Kwanini TFF mnaipeleka fainali Zanzibar?

Haya ndiyo madhara ya kuwaruhusu wanasiasa na makada wa chama tawala kuisimamia michezo. Shirikisho la mpira lingekuwa linasimamiwa na wataalamu wa mpira, ubabaishaji kama huu usingetokea.
Naunga mkono hoja
 
Wamezingua! Yaani Guede wanampeleka Zenji akichanganyikiwa na wale watoto wa kipemba nitakua na changu mimi!?
Watoto wa kipemba mabantam wamefyanta wakivaa kama viroba shepu mshumaa.
Wasikutishe mhaya mwenye wowowo lako.
 
Al Ahly Vs USM Alger.

Ilikuwa fainali ya CAF SUPER CUP.

Fainali hiyo haikupigwa Africa.

Na ni msimu uliopita tu
 
wales Karia ni TISS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…