Kwanini tukienda hospitali zile fomu za NHIF hawafungi hesabu pale chini?

Wameongeza jambo lingine mda huu unajanlzishwa form ikiwa empty Yani haijajazwa vipimo Wala dawa ukiuliza kopy yako wanakwambia ngoja utibiwe kwanza at the end unatibiwa copy upewi wanakabaki sasa na form yako umetibiwa maralia ila wao Sasa wanandika umelazwa nk
 
wewe una hasara gani si umetibia bure waache wapambane na bima weww sepa
na hapa hasa ndipo tatizo linapoanzia, kuamini kuwa unatibiwa bure. Ile sio bure ikiwa wewe ama aliefanya upate hiyo kadi anakatwa pesa za mchango kila mwisho wa mwezi.

Imani hii hii imejengwa na wahudumu katika baadhi ya hospitali, kuhisi kuwa kila anaetumia kadi ya Bima ni fukara anaetibiwa bure na hapaswi kuhudumiwa vizuri.
 
Nikosa, waambie wakupe wacopy form yako ni mali yako. Wakikataa wasiliana na bima namba zao zipo kila hospitali.
 
Kwa ni wewe unapata hasara ipi hesabu isipofungwa?
 

Wapi nimekuandama ndugu? Wapi nimekwambia nimetishika? Tofautisha wewe kutaka kunitisha na mimi kutishika. Mawili hayo ni tofauti.

"Kwamba mara kadhaa umenitaarifu kuwa nitafungwa? Hiyo siyo tahadhali. Hicho ni kitisho.

Kwamba kama Nina maswali nipige simu? Huo ni mtego. Ndiyo maana natembea na ID ya kimchongo Kwa hisani ya JF.

Kama una majibu maswali zaidi nimekwambia yapo huku:

Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali upi?

Hatupendi NHIF ifilisike kama mfuko wa umma tunaokatwa kuulipia sisi. Hatutaki mfuko huu utumike kama bomba la kutuibia sisi pesa.

Kwani serikali imewekeza Nini kwenye NHIF?
 
Oooh mmeondoa mfumo wa zamani wa makaratasi?
Mf nimeenda hospital wakanipa dawa bila kunitibu, dawa zenyewe ni za 10000 ila nikatumiwa ujumbe nimetumia 300,000 hapo inakuwaje?
 
Hili tatizo lipo Bochi,Rabinsia, Masana
 
NHIF ukiwaedekeza Kama una kakituo kako, utafirisika asubuhi tu.

Mfano:

Kidonge Cha Paracetamol, wao wanalipa Tsh 20 kimoja.

Magnesium, Chlorpheni Tsh 10 kwa kidonge.

Wound dressing/stitches Tsh 2000.

Na bado ukitoa huduma nusu ya Pesa utakadai ITAKATWA utapewa nusu kwa vijisababu kibao.

Sasa ukikomaa nao, ndani ya miezi 6 tu utajikuta hata pesa ya KULIPA DAWA au kulipa wafanyakazi HUNA.
 

Attachments

  • Polish_20230304_110144728.png
    111.6 KB · Views: 4
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna watu wewe furahi nao tu, utafanyaje sasa.

Kuna kinachoitwa kucheka Kwa kujitekenya. JF hata ID 100 si ruksa? Hakuna cha ajabu.
 
NHIF inadharaulika kila sehemu. Ni Bima isiyokuwa na hadhi kabisa.
Sababu kubwa NI WABABAISHAJI SANA. Hawkosi sababu ya KUKATAA KULIPA Madai.

Kuna baadhi ya Hospitali zimetenga kabisa MADIRISHA na WAHUDUMU MAALUM kwaajili ya wanachama wa NHIF lakini kila wakati sababu haziiishi.

Kwa lugha rahisi, NHIF hawataki kabisa KULIPA huwa wanalipa kwa Basi tu.
 
Umetahadharishwa unasema nimekutishaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, chief tufanye umeshinda sawa braza.
 
Kuna kinachoitwa kucheka Kwa kujitekenya. JF hata ID 100 si ruksa? Hakuna Cha ajabu.
Aisee, ndio maana nikakwambia usikurupuke kujitengenezea majibuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Mimi JF nimeanza kuchangia juziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, hao wengine hata kujua hawanijui. Boss usikurupuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…