Hao wanaokesha walishapata chanjo, maambukizi ya UKIMWI je, sijui yatakuwaje?

Everyday is Saturday 😎
 
Hizo sarakasi za kusema kuna kovidi sio kwa ajili ya kulinda wananchi, ni agenda nyingine (mikopo na kuondoa lawama kutoka kwa mataifa mengine).
 
Tunafanya Mambo ya kufilisika Sana na kujiona kana kwamba sisi ni wateule wa MUNGU Mambo mengine jamani tufanye Kama tuko Karne ya 21 hadithi za kubuni zitatumaliza mpaka tupoteze wangapi ndipo tushituke tunajificha kwa kufumba macho katika Zama hizi majanga nchi yetu SIYO mageni walio chukua tajadhari magonjwa kama kipindupindu tauni ndui homa ya bonde la ufa hawakua na MUNGU? mama TOA neno uchungu wa wanao unaujua mama yetu.
 
Covid inazungumziwa mtandaoni tu lakini kwenye jamii watu hawana habari kabisa kuwa hili ni janga.

Hii inaonesha Watanzania walio wengi wameamua kupuuza maelekezo ya wataalam. Mkusanyiko wa Kariakoo na kwenye daladala ni mkubwa kuliko wa mkesha.

Kiufupi, safari hii covid inazungumwa tu na government officials lakini usimamizi wake hakuna. Watu hawana hofu tena. Hakuna maji tiririka wala sanitizer.

Labda mpaka madhara makubwa yatokee kwenye jamii.
 
Nadhan tuombe ili likiongozi lake linyooshwe na covid 19 ndio watajua kuwa covid ipo.

Dikteta jpm aliipata flesh sasa hawa kenge their days are numbered and comming
Mwenge ni uchawi, mwenge ni laana. Nchi hii haiendelei sababu ya lidude mwenge.
Linakula mabilioni ya fedha za wananchi bila sababu yoyote ya maana.
View attachment 1845388
 
Mwenge ni uchawi, mwenge ni laana. Nchi hii haiendelei sababu ya lidude mwenge.
Linakula mabilioni ya fedha za wananchi bila sababu yoyote ya maana.
View attachment 1845388
Baba mchungaji kumbe unafaaa sana vip ssa Baba mchungaji unatukan MAMLAKA INAYOTAWALA JE MAAANDIKO HAYASEMI TII MAMLAKA INAYOTAWALA?
 
ila chakula cha usiku cha BAWACHA ni sawa
 
Hakuna cha maana kwenye huo unaoitwa Mwenge ni kupiga hela ufuska na kuambukizana magonjwa hasa UKIMWI na kwa sasa hivi UVIKO 19, haya ni mambo ya kizamanai sana yaani watu wanaacha kuwaza mambo ya maana na yenye tija kwa nchi wanaingia kwenye mkumbo wa mwenge usiokua na maana wala sababu yoyote, haka kanchi kana shida nyingi sana ni ni basi tu
 
Baba mchungaji kumbe unafaaa sana vip ssa Baba mchungaji unatukan MAMLAKA INAYOTAWALA JE MAAANDIKO HAYASEMI TII MAMLAKA INAYOTAWALA?
Kutii sio kuwa zezeta. Kutii ni pamoja na kushauri ili turudi kwenye mstari ulio nyooka ili tumpendeze Mungu na wanadamu wenzetu waje kujifunza kupitia sisi
 
Nadhan tuombe ili likiongozi lake linyooshwe na covid 19 ndio watajua kuwa covid ipo.

Dikteta jpm aliipata flesh sasa hawa kenge their days are numbered and comming
Hivi huyo aliwaaminisha kuwa Magufuli kafa kwa corona ni nani maana katumia udhaifu wa chuki zenu kwa Magufuli ndio akaingiza hiyo imani hapo hapo, naita imani kwa kuwa hakuna sababu za msingi zenye kuelezea japo dalili tu zenye kuonesha kuwa kifo cha Magufuli kinahusika na corona.
 

Hilo liko wazi kikubwa tumuombe tu mungu atuepushe huku tukiendelea kuchukua tahadhari
 
Hilo liko wazi kikubwa tumuombe tu mungu atuepushe huku tukiendelea kuchukua tahadhari
Pamoja na kujua Mungu yupo,naungana na wewe kuwa tahadhari ni muhimu mfano kuondoa mikesha ya Mwenge.
 
Maneno mazuri sana. Ila nikama unampigia mbuzi gitaa
 
Kanisa la wapi?
 
Wote tunafahamu Mwenge wa Uhuru ni moja ya tunu za Taifa letu. Kwa kuwepo kwa mbio za mwenge nchi nzima siyo tu ni utaratibu, lakini ni hamasa kwa jamii kujenga uzalendo...
Hii ni hatari kwa chama chetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…